Masikini_Jeuri
JF-Expert Member
- Jan 19, 2010
- 6,827
- 1,310
#behaviorist mbna cjaona text yako ukinipiga sound
haya majina mengine bhana!
#behaviorist mbna cjaona text yako ukinipiga sound
ni haki yake kukumbia, we unapanda mbegu then unamwambia atoe? kaona huna malengo. kama unamtaka mtolee mahari na mfunge ndoa ataona kweli unampenda. mkono mtupu haulambwi uncleeeNilikuwa na mpenzi wangu tulipendana sana ila katika mahusiano yetu ilitokea siku moja nilikuwa na mihemko kweli kweli nikafanya mambo na ndio siku aliopata mimba ila tulikuja flash na tukaendeleza maisha.
Ikaja ikatokega nyingine hapo ndo akawa mkali ikafikia kipindi akataka tuachane sababu akiendelea kuwa na mimi nitakuja kumtoa kizazi nikamuomba msamaha yakaisha ila amekuwa akitumia ile sababu mara kwa mara kuninyima papuchi yake.
Now amenikimbia kabisa ubaya zaidi nilimwambia mimba umenisingizia baada ya kuja sikia alikuwa na katabia ka umalaya bila kuwa na uhakika now hataki mazoea na mimi kabisa na bado nampenda natamani funga nae ndoa.
SIJUI NIFANYAJE
Zidi kusihi kuna siku atakuelewa tuNilikuwa na mpenzi wangu tulipendana sana ila katika mahusiano yetu ilitokea siku moja nilikuwa na mihemko kweli kweli nikafanya mambo na ndio siku aliopata mimba ila tulikuja flash na tukaendeleza maisha.
Ikaja ikatokega nyingine hapo ndo akawa mkali ikafikia kipindi akataka tuachane sababu akiendelea kuwa na mimi nitakuja kumtoa kizazi nikamuomba msamaha yakaisha ila amekuwa akitumia ile sababu mara kwa mara kuninyima papuchi yake.
Now amenikimbia kabisa ubaya zaidi nilimwambia mimba umenisingizia baada ya kuja sikia alikuwa na katabia ka umalaya bila kuwa na uhakika now hataki mazoea na mimi kabisa na bado nampenda natamani funga nae ndoa.
SIJUI NIFANYAJE
Hiv ungejickiaje kama angekuwa ni mama ako baba ako amekataa mimba??? Halafu unaonyesha una roho ya kinyama yan umeshirik dhambi ya mauaj na unakuja kusema mbele ya kadamnas? Nenda katubu kanisan kwanza halafu ndo urud hapa.Kama ilikuwa hutaki watoto si ukaoe mwanaume mwenzio wamejaa kibao fb ya nini kumharibia kizazi mtoto wa mwenzio.
Hujui unachotaka maana ushakana mimba, ushamuita malaya na hapo hapo unajidai unampenda. Watu kama nyinyi ndo mnatia dosari jina la wanaume wote.
Behaviourist rudia tongozo hakuona message yakombna cjaona text zako ukinipiga sound
Hahahahaha mambo ya pmKumbe wewe ni dume mkuu???! Am sorry nilikutongoza PM!
Aiseee si ameshajua ni mwanaume mwenzakeBehaviourist rudia tongozo hakuona message yako
But jamaa kasema hakuona msg, bora arudie tuAiseee si ameshajua ni mwanaume mwenzake
anaonekana ataka tongozo ngoja atongozwe tenaBehaviourist rudia tongozo hakuona message yako