Recent content by Cheque Number

  1. C

    JamiiForums Tanzania Msemaji wa Serikali: Rais Magufuli hakukataa kuongeza mishahara ya watumishi wa umma bali posho za Madiwani

    Serikali inatumia nguvu nyingi sana kukanusha baadhi ya kauli zinazotolewa na baadhi ya maafisa wandamizi wa serkali. Nadhani ifike mahali serikali itekeleze yale yaliyotarajiwa na wananchi wake wakiwemo watumishi wa umma mfano, kupandisha mishahara kwa mujibu wa taratibu za kiutumishi (annual...
  2. C

    JamiiForums Tanzania Ombi: Namna ya kuhamia Dodoma na CDA kukopesha viwanja

    Kwani watumishi wanaohamia Dom kutokea Dar wana umaalum gani mpaka wakopeshwe viwanja na mbwembwe kibao? Ni kusema wote wana nyumba Dar? Hamjawahi kupanga nyumbani huko? Ikiwa watumishi walioko Dom hawajawahi kukopeshwa viwanja na CDA sasa wataanzaje kwa hao wanaotoka Dar? Let us be realistic...
  3. C

    JamiiForums Tanzania Q & A ya Mhe. Rais & Mhe. Abdallah Possi

    Ndugu Pasco sidhani kama ni sahihi kuthibitisha kauli yako ya kuwa hatuna wanawake wa kutosha wenye sifa za kuteuliwa kuwa wabunge kwa premises kwamba mpaka sasa wameteuliwa wawili tu dhidi ya wanaume sita. Ieleweke kwamba raisi halazimishwi kufanya teuzi hizo kwa mara moja bali anafanya hivyo...
  4. C

    JamiiForums Tanzania Tuacheni Kumlaumu Rais Kuteua Wanaume, TZ Hatuna Wanawake Wenye Sifa na Vigezo vya Kuteuliwa!

    Mayalla kwetu ni njaa! (jokes) Mkuu Paskali, strictly speaking tafsiri yako ya neno at least kama ulivyouitumia kwenye uzi huu sio sahihi. Unaposema ...at least five... maana yake ni kwamba angalau/wasiopungua watano. Mathematically, neno at least linaweza kutumika badala ya greater than or...
  5. C

    JamiiForums Tanzania Q & A ya Mhe. Rais & Mhe. Abdallah Possi

    Mkuu Paskali salaam Nasita kukubaliana na kauli yako ya mwisho kuwa Tanzania hatuna wanawake wenye sifa ya kuwa wabunge. Maana sifa ya kuwa mbunge ndio sifa kuu ya kuteuliwa kuwa mbunge. Hivi kweli mkuu Paskali ukiambiwa utafute wanawake watatu wenye sifa ya kuwa wabunge utakosa nchi nzima...
  6. C

    JamiiForums Tanzania Sheikh Ponda, Chagua kimoja kati ya siasa na Dini

    Ajabu kweli!
  7. C

    JamiiForums Tanzania Sheikh Ponda, Chagua kimoja kati ya siasa na Dini

    Mkuu Asante kwa kuleta hoja yako mezani, hoja ambayo kimsingi umeeleza hisia zako. Kuna mambo machache yanaibuka katika hoja yako yanayodhoofisha hoja yako. Kama ulivyoona kwenye bold hapo juu, kwanza umejikita kwenye hoja kwamba kumjulia mtu hali (sio lazima awe mahabusu) basi ni jambo la...
  8. C

    JamiiForums Tanzania Kuwa Balozi ni lazima uwe kada wa chama tawala?

    Uko kimihemko zaidi ;-)
  9. C

    JamiiForums Tanzania Kuwa Balozi ni lazima uwe kada wa chama tawala?

    Asante mkuu, imekaa vizuri hii
  10. C

    JamiiForums Tanzania Kuwa Balozi ni lazima uwe kada wa chama tawala?

    Asante boss, nimekupata vema
  11. C

    JamiiForums Tanzania Kuwa Balozi ni lazima uwe kada wa chama tawala?

    Asanteni sana, nimeipenda mfano wako mkuu hahahaaa
  12. C

    JamiiForums Tanzania Kuwa Balozi ni lazima uwe kada wa chama tawala?

    Ufafanuzi please mkuu...
  13. C

    JamiiForums Tanzania Kuwa Balozi ni lazima uwe kada wa chama tawala?

    Wakuu salaam! Kuna jambo ambalo linanitatiza and I real need to know it. Hivi kuwa balozi wa nchi ni lazima uwe kada wa chama kitakachokuwa madarakani? Kwamba kuna uhusiano wa moja kwa moja wa majukumu ya kibalozi na pengine utekelezaji wa ilani ya chama tawala? Ninauliza hivi kwa kuwa...
  14. C

    JamiiForums Tanzania Sherehe za Uhuru 9 December 2016

    Hizi ni stress ama ni kitu gani?
Back
Top Bottom