Du Kama hivyo ndivyo basi nyumba ndogo ni noma,nyumba kubwa tubadilike,tusifanye mazoea,tujitahidi kuboresha ,kesho fanya zaidi ya jana.Ingawa kwa upande mwingi hawa watu pia huwa hawaridhiki,kila ukijitahidi,pepo la nyumba ndogo likishamwingia basi,ukiigundua hii anatafuta nyingine.Msaka gamba...