Recent content by chenzeniii

  1. C

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe achunguzwa kuvuna PAP

    Zitto kabwe mwakan agombee kama mgombea binafsi hata chadema hawamtaki
  2. C

    JamiiForums Tanzania Ningekuwa Maalim Seif, ningejitoa kwenye serikali ya Umoja wa Kitaifa Zanzibar

    Maaalim SEIF ndiye rais wetu hapa Zanzibar tunaiman naye bado
  3. C

    JamiiForums Tanzania Mwakyembe amehamishwa yeye na Treni yake

    Kweli unabadilisha mawaziri bado miezi 6 huyu kikwete ana washauri wabovu sana
  4. C

    JamiiForums Tanzania Mwakyembe amehamishwa yeye na Treni yake

    Huyu mwakyembe katolewa kule ili madawa ya kulevya yapite , bandar hela za bure zirudi au
  5. C

    JamiiForums Tanzania Upande wa mchumba wangu kuna vichaa tisa, je nimuoe?

    Kazi ipo jaman ndiyo kwanza nasikia leo hyooo
  6. C

    JamiiForums Tanzania Serikali yasitisha mafunzo ya JKT

    Mafunzo yaendelee tuzalishe panya road wengi tu
  7. C

    JamiiForums Tanzania Wajue wagombea urais 2015 kupitia CCM na UKAWA

    Urais -lowassa Makamu - rostam aziz
  8. C

    JamiiForums Tanzania Ngasa kwenda Afrika ya Kusini ni sahihi

    Kaenda kuoa huyooo hana jipya kishachuja
  9. C

    JamiiForums Tanzania Ndoto za mapenzi

    Mwambie huyo jini atumie kondomu basi
  10. C

    JamiiForums Tanzania Mwanamke kama unataka kumnasa mwanaume mwenye sifa fanya hivi

    Wewe gori kipa alafu unataka kuolewa (mama wa nyumbani )
  11. C

    JamiiForums Tanzania Joshua Nassari asema licha ya kujiuzulu Prof. Muhongo bado ana maswali ya kujibu kwa watanzania

    Hivi huyu joshua nassar anatumiaga akili kweli tok kaingia bungen kaongea nini la maana pale kazi kuoa tu
  12. C

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu ndani ya mkasi EATV

    Namshukuru hata Edward lowassa kwa kuzipa kipaumbele shule za kata na mm nikasoma humooo lakini ananguvu ya kuingia ikulu jamaa sema tatizo ana rundo la ufisadi
  13. C

    JamiiForums Tanzania Ukawa na katiba pendekezwa

    Walisusa kwa sababu CCM waliweka mapendekozo yawananchi pembeni leo lissu kaongea vizur sana kwenye mkasi show
  14. C

    JamiiForums Tanzania Arusha Jiji zima Hakuna Kituo Cha TV ?

    Wachaga wapo ila tv hakunaa toshaaa
  15. C

    JamiiForums Tanzania Ukawa na katiba pendekezwa

    Unataka ipite katiba mbovu baadae mseme na UKAWA walipiga kura, sio???
Back
Top Bottom