Wengi wanaosoma JF ni watu wenye ajira na elimu zao. Wengine wapo majuu na wengine nchini.
Nachoamini mimi nikuwa ujumbe muhimu hauwafikii walengwa vijijini ambao kila uchaguzi mkuu ni dole kwa CCM wakati watu wa mijini na wengi wa JF hawapigi kura. Ndo mana hamna mabadiliko hata ya polepole...
Kikwete ni Kikwete. akipunguza kuhudhuria misiba basi atasafiri sana la ataenda kubembea au kutoa maagizo mazito. sasa bora lipi? Kuishi Tanzania bora muda mwingine uwaze wewe na familia yako haya mambo ya kuwazia nchi inakwendaje na raisi yukoje anafanya nini ni stress.
Fidel80 asante na idumu hii forum.
Kyachakiche asante na nitokako ni jambo.
Limbani asante nawe.
Bao3 asante kaka.
Kibongoto kweli wanajamii ni wakarimu nawe asante.
Nyani Ngabu asante na kweli jamiiforums inanikosha kuona upeo wa watu kwenye mambo kadhaa na kupata habari motomoto na kuliwaza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.