Recent content by chenjichenji

  1. chenjichenji

    JamiiForums Tanzania Mzee wangu kaacha dawa za presha presha yake Iko 200/93 pr 46

    Shida ni kwamba anaweza akapigwa na 'stroke' halafu akaanza kuwapa shughuli ya kumhudumia upyaaaaa....ingekuwa uhakika kwamba "ataamsha" chap kwa haraka hapo ungesema poa tu wamkaushie!.
  2. chenjichenji

    JamiiForums Tanzania Mbona sijawahi kuona tangazo la Safari Lager au Serengeti Lite kwenye chaneli za Azam?

    Kwamba ni lazima atangaze pombe na kamari!?.
  3. chenjichenji

    JamiiForums Tanzania Huyu kijana sitakuja kumsahau kwa alichokifanya

    Tunasubiri 'part 2'!
  4. chenjichenji

    JamiiForums Tanzania Bili yako ya maji mwezi Februari inaendana na uhalisia wa matumizi yako?

    Meter inasomaje?. Ilipoishia na ilipo sasa!?.
  5. chenjichenji

    JamiiForums Tanzania Watu wengi wa Dar wanaishi makazi duni sana

    Kwani hiyo ishu ni maeneo gani mkuu?.Maana nipo zangu Msamvu hapa nataka nipande gari chap nije Kariakoo huko!
  6. chenjichenji

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mrejesho: Wazee wenzangu wa 60+

    60+ au 6+?.
  7. chenjichenji

    JamiiForums Tanzania Ukiachana na Samsung na LG, ni TV gani nzuri na imara?

    Hapo ni kweli inabidi acheze pata potea. Mimi nilidunda na ALITOP karibia miaka miwili baadae nikawaachia madogo sasa hivi nipo na HAIER inaenda mwezi wa sita sasa na bado inadunda tu.
  8. chenjichenji

    JamiiForums Tanzania Nimepewa lift nikiwa na mtoto wangu, roho imeniuma sana

    Hahahaaaaaa.... Mzee wa martial arts!.
  9. chenjichenji

    JamiiForums Tanzania Niliharibiwa, nimepata uraibu wa kutamani Wanaume. Naomba msaada niweze kuacha

    Hahahaaaaaa hivi we jamaa zimo kweli
  10. chenjichenji

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Anayetuhumiwa kumuua mwanariadha Rebecca Cheptegei naye aaga dunia akiwa hospitali

    Dahhhhh.... Mbona chanzo cha ugomvi sio hicho bob!?.
  11. chenjichenji

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Umri wangu ni miaka 37. Sina nguvu za kiume imara, siwezi kurudia round ya pili

    Kabisa maana ni topic inayojitegemea.
  12. chenjichenji

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Umri wangu ni miaka 37. Sina nguvu za kiume imara, siwezi kurudia round ya pili

    Hiyo namba 5 ungeiandika kwa herufi kubwa mkuu!.
  13. chenjichenji

    JamiiForums Tanzania Gamond: Azam ndio kipimo sahihi Kwa Yanga kuliko simba

    Umenikumbusha magazeti ya Alaasiri na Dar Leo... Utakutwa kichwa cha habari "OSAMA AKAMATWA"!. Ukisoma ndani kumbe aliyekamatwa ni bwana Husein Sharif a.k.a OSAMA wa Mtoni kwa Azizi Ali!!!.
  14. chenjichenji

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Muonekano wangu unanitesa mahusiano yangu hayadumu

    Pole sana kwa muonekano mzuri...
Back
Top Bottom