Recent content by chemiche

  1. C

    JamiiForums Tanzania Ten foods you didn't know could be frozen: How avocados, coffee and eggs can last for six months

    Enzi za Mwalimu miaka ya 1970's, pale Bwawani Hotel Zanzibar (wakati huo ni hoteli ya kitalii pekee mjini ZNB), walijaribu kuhifadhi nyama ya Bata Mzinga (Turkey) kwa muda mrefu. Basi, watalii kibao walipata food poisoning kali mpaka ikawa habari ya kimataifa. Kweli kuweka vyakula muda mrefu na...
  2. C

    JamiiForums Tanzania Tanzia: Mtanzania Andrew Sanga amefariki dunia huko Houston Marekani

    Rest in peace Andrew Sanga.
  3. C

    JamiiForums Tanzania TANZIA: Leticia Nyerere afariki dunia

    Rest in eternal peace Dada Leticia Nyerere. Poleni sana wanafamilia.
  4. C

    JamiiForums Tanzania Mapendekezo ya wananchi: Muundo wa Baraza la Mawaziri kwa Serikali ya Awamu ya Tano

    Sounds like it could happen.
  5. C

    JamiiForums Tanzania Samia Suluhu ni Makamu wa Rais wa Kwanza wa Kike

    Hongera kwa Mh. John Pombe Magufuli kuchaguliwa na wananchi kuwa Rais, na Mh. Mama Samia Suluhu kuwa Makamu wake. Akina Mama, pigeni vigelegele! Tumepiga hatua kwa Mama Samia Suluhu kuwa Makamu wa Rais wa Kwanza wa nchi katika historia ya Tanzania! Akina Mama Juu, Juu Zaidi! :A S crown-2:
  6. C

    JamiiForums Tanzania Kifo cha Filikunjombe, Lowassa alia

    Yaani niliposoma taarifa kuhusu kifo cha Mh. Deo sikuamini macho yangu! Ilibidi nipige simu TZ kuuliza kama ni kweli. Rest in peace Mh. Deo Filikunjombe Mbunge wetu wa Ludewa. Waliomtangulia kuf wakiwa Mbunge wa Ludewa ni Mh. Horace Kolimba na Prof. Dk. Crispin Che-Mponda Hauli. Rest in...
  7. C

    JamiiForums Tanzania Tanzia: Msanii mkongwe, mzee Kankaa afariki dunia

    May he rest in peace. Amen.
  8. C

    JamiiForums Tanzania Tanzia: Dr Alleck Che-Mponda hatunae tena

    Asanteni sana. Baba amezikwa kijijini , Ilela, Manda, siku ya April 8, 2015.
  9. C

    JamiiForums Tanzania Uso wenye mafuta mengi; Ushauri mafuta gani nitumie?

    Usiku tumia Calamine Lotion. Pimples zitakauka.
  10. C

    JamiiForums Tanzania hisia za mapenzi

    Kama hana reaction inamaana hakupendi! Full Stop!
  11. C

    JamiiForums Tanzania Uke kutoa maji mengi wakati wa kujamiiana, Je, ni tatizo?

    My Dear, hakikisha unakunywa maji au kinywaji chochote baada ya tendo maana unaweza kupatwa na Dehydration!
  12. C

    JamiiForums Tanzania Barabara mpya ya Msata-Bagamoyo inasambaratika hata kabla ya ufunguzi

    What shoddy work! Serikali itachukua hatua gani hapo?
  13. C

    JamiiForums Tanzania Kwanini Levina Mukasa alijiua UDSM?

    Asante sana kwa aliyeleta mada hii. Hii kesi ilinigusa sana pamoja na wana TAMWA wenzangu. Rest in peace Levina Mukasa.
  14. C

    JamiiForums Tanzania Namna ya kutengeneza Lasagna

    Unahitaji, nyama ya kusaga, cheese, tomato sauce na lasagne sheets, yaani kama tambi. Pia oven ya kupikia.
  15. C

    JamiiForums Tanzania Dar Airport among worst in Africa

    Tanzania should really work on improving the quality of it's International airports. It's the first thing an international traveler sees and usually is the first impression.
Back
Top Bottom