GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 63,449
- 127,624
Aliigiza kwenye ile tamthilia ya Chusi, Jumba la Dhahabu.
Mimi Tamthilia Zangu Ni Ligi Za Ulaya Tu Na Kuwa Humu JF 24/7.
Aliigiza kwenye ile tamthilia ya Chusi, Jumba la Dhahabu.
Si Vibaya Nikisema Pole Japo Simjui. Tafadhalini Tuwekeeni Basi Maelezo Yake Ya Kutosha Ili Tuweze Kumfahamu Vizuri Marehemu Mzee Wetu.