Recent content by Chellenge Yunus

  1. Chellenge Yunus

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti CHADEMA Taifa Mhe. Freeman Mbowe akiwa mbele ya Bunge la Uingereza

    Jamani kuzungumza kingereza sio issue sana, ndio maana ukienda kusoma ufaransa, uchina, urusi na kwingineko utasoma kwa lugha za kwao. Ukijua kingereza kuombea maji kinatosha.
  2. Chellenge Yunus

    JamiiForums Tanzania Tafakuri: Rais Magufuli hakutafakari kuhusu suala la kurudisha machinga katikati ya mji

    Kwa hilo Mh. Rais hakuwatendea haki wateule wake hasa kwenye suala la wamachinga wa Mwanza, ameliamua kisiasa zaidi kuliko kisheria. Kiujumla amewapa wakati mgumu sana watendaji wake. Kwenye suala la wachimbaji wadogo namuunga mkono.
  3. Chellenge Yunus

    JamiiForums Tanzania Waziri Kairuki ameweka pingamizi mahakamani juu ya vijana 3000 waliofukuzwa kazi June 2016

    Tunaomba chanzo vinginevyo admin/kiongozi wa jf huyu afuatiliwe, wanaoweza kuleta sintofahamu ndani taifa hili.
  4. Chellenge Yunus

    JamiiForums Tanzania Maajabu ya wilaya ya Rombo-Kilimanjaro

    Mbunge Joseph Selasini wa CHADEMA tangu 2005.
  5. Chellenge Yunus

    JamiiForums Tanzania Wanaume kulala fofofo mara tu baada ya tendo la ndoa

    Ukweli ni kwamba, tendo moja la ndoa ni sawa na kukimbia km kati ya 7 hadi 10, hivyo unachoka sana hasa kwa wenye umri wa miaka kuanzia 45 na kuendelea. Na kama mnabisha basi yeyote kati yenu afanye tendo hilo mara tatu, halafu aende akafanye kazi yoyote ngumu kama ataweza.
  6. Chellenge Yunus

    JamiiForums Tanzania Asante Magufuli kumfunza mdogo wangu Ujasiriamali

    Safi sana kijana, maana mtoto umleavyo ndivyo akuavyo.
  7. Chellenge Yunus

    JamiiForums Tanzania Anayefahamu sifa za mabinti wa Kinyaturu

    Kauli ya wengi ni kweli kabisa. Dada zenu ni warahisi mno kama kule kwetu kuna wamakonde. Wana msemo wao "chalumbile Mungu chakumemena" maana yake ni alichoumba Mungu ni cha kula.
  8. Chellenge Yunus

    JamiiForums Tanzania Anayefahamu sifa za mabinti wa Kinyaturu

    Ni wewe mwenyewe, ila kila kabila lina tatizo lake, ila nijuavyo mimi makabila mengi ya kanda ya kati, ni wepesi sana hawajui kukataa mwanamme. Hivyo ndio desturi yao kuhusu tabia zingine sijui.
  9. Chellenge Yunus

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri: Mpenzi wangu alinisaliti wakati nipo masomoni

    Tafadhali kijana mke sio bikra, mke ni sawa na msingi wa nyumbani kwa maana msingi ukiwa imara basi na nyumba itakuwa imara. Hapo namaanisha kuwa msingi ndoa ni tabia yake kama alifanya kosa huko nyuma lakini tabia yake nzuri basi haimwondolei kuwa mke bora. Hivyo msamahe tu ni mambo ya dunia...
  10. Chellenge Yunus

    JamiiForums Tanzania Kwa hii kashfa, Mchungaji Anthony Lusekelo (Mzee wa Upako) atajisafishaje?

    Hiyo ndio post Happy Katabazi
  11. Chellenge Yunus

    JamiiForums Tanzania Kwa hii kashfa, Mchungaji Anthony Lusekelo (Mzee wa Upako) atajisafishaje?

    Hii "kashfa" Mchungaji Lusekelo alias Mzee wa Upako, Bulldozer, tingatinga na kiboko ya mapepo atachomokaje?<br /><br />Mzee wa Upako amekumbwa na kashfa ya ulevi na kuleta vurugu kwa majirani zake huko Kawe nyumbani kwake,jirani na ilipo Radio Times.<br /><br />Inaandikwa katika mitandao kuwa...
  12. Chellenge Yunus

    JamiiForums Tanzania Gavana: Serikali imeanza kutoa mitaji kwa Mabenki na Taasisi za Kifedha zilizoyumba

    Hivi mnaijua hiyo inayoita T-bill au Govt Bond inavyofanya kazi au kukurupuka na kuropoka tu. Ni serikali inapohitaji pesa kutoka kwenye mzunguko ndio inatoa (issue) hizo T-bill au Govt Bond. Lakini taasisi za fedha zinapohitaji pesa za kuongeza mitaji yao zinatakiwa kukopa kutoka Benki Kuu...
  13. Chellenge Yunus

    JamiiForums Tanzania Msigwa vs Sosopi (Uenyekiti wa Kanda ya Nyasa) Demokrasia ya CHADEMA ipo chini ya Mbowe

    Bado hata ACT sio wa kuwaamini ki-hivyo.
  14. Chellenge Yunus

    JamiiForums Tanzania Kwa hii kashfa, Mchungaji Anthony Lusekelo (Mzee wa Upako) atajisafishaje?

    Hata mahubiri yake huwa yanaukakasi pale anapobeza, watu masikini au hohehae, na anasema eti mchungaji aendeshe PASSO, huwa nawaangalia wale waumini wake wanapomshangilia huwa najisemea kweli watanzania uwezo wetu wa kufikiri ni mdogo mno sio kwenye imani za kidini wala siasa ilimradi...
Back
Top Bottom