Msigwa vs Sosopi (Uenyekiti wa Kanda ya Nyasa) Demokrasia ya CHADEMA ipo chini ya Mbowe

Kijana kwanza umeandika habari yako kwa povu kweli,then umeishia kufanya personal attack badala ya kutoa mada yenye critical thinking and still you call yourself a great thinker!!??sijui umetumwa o umejituma.na hili liliwacost sana uchaguzi uliopita mlipospend almost your entire campaign kuponda wapinzani wenzenu,mkajisahau sana na kumwachia adui nafasi ya kujinadi na kumpa ushindi kiulaini na naona ndo siasa unazoendeleza humu..time will tell that ulikuwa uko bize kupost ujinga badala ya kukinadi chama chako kwa njia nzuri,mwisho mtaangukia pua kama last time.
 
Yaani kati ya watu uliowataja kuwa ni viongozi wa hako kaAct tunamjua Anna Mgwira tu naye alipata kura 80,000 nchi nzima.KWA HIYO SINA HATA HAJA YA KUJADILI PUMBA NYINGINE ULIZOLETA.
Jiwe la gizani limekupata na wewe?
 
Kijana kwanza umeandika habari yako kwa povu kweli,then umeishia kufanya personal attack badala ya kutoa mada yenye critical thinking and still you call yourself a great thinker!!??sijui umetumwa o umejituma.na hili liliwacost sana uchaguzi uliopita mlipospend almost your entire campaign kuponda wapinzani wenzenu,mkajisahau sana na kumwachia adui nafasi ya kujinadi na kumpa ushindi kiulaini na naona ndo siasa unazoendeleza humu..time will tell that ulikuwa uko bize kupost ujinga badala ya kukinadi chama chako kwa njia nzuri,mwisho mtaangukia pua kama last time.
Ukweli utatuweka huru wewe jipe moyo wakati ni ukuta!
 
Hopeless ACT as mnatia aibu sana
...
Mnaanza kutunga yenu as if Mbowe atapiga kura ya Veto
 
ACT pamoja na kusimamisha wagombea kwenye majimbo yote nchini waliambulia mbunge mmoja, tena mwenye chama chake ..
Povu jingine! ACT kwenye uchaguz wake wa kwanza 2015 iliweka Historia kuanzia kupata kiti cha mbunge kuongoza Hslmashauri,madiwani 50 kutoka halmashauri 11 mbalimbali nchini na kushika nafasi ya 3 kwa mgombea Urais! Tupo kwenye safari ya ujenzi wa chama kilicho anzishwa 2014! Nawewe upo kwenye chama kilichozaliwa 1992! Alafu unajidai kimafanikio? Povuuuuuu
 
Hopeless ACT as mnatia aibu sana
...
Mnaanza kutunga yenu as if Mbowe atapiga kura ya Veto
Sijaandika kwa niaba ya ACT mimi ni mtu huru niliye kwenye chama cha ACTwazalendo haya ni maoni yangu juu ya ka Sacoss ka Mtei!
 
Mimi ni mwana ACT na sijawachana kama chama cha ACTwazalendo ila ninawachana live kama mzalendo na mpenda Demokrasia
 
Ninaona niwaeleze wanajukwaa kuhusu uenyekiti wa Kanda ya nyanda za juu kusini mtapigana vikumbo,mtagombana ila Demokrasia ya Chadema ipo kwa pilato Mbowe! Mnajifanya hamjui kuwa Chama chenu kina ugonjwa wa kutoheshimu Demokrasia? Sosopi ni Mchunga ng'ombe na Msigwa ni Mchungaji wa kanisa bado hamjajua mshindi nani? Poleni Sana pilato wenu ataamua ugomvi.

DEMOKRASIA NI MSINGI WA CHAMA CHA ACT PEKEE:

Ulikuwa unamjua Ado Shaibu(Katibu wa itikadi mawasiliano na uenezi Taifa)? Ni kijana na Sura mpya inayochomoza katika siasa za Tanzania.

Uliwategemea akina Edna Sunga? Anna Mghwira? Ester Kyamba? na wanawake hodari katika siasa mpya za hoja Tanzania?

Mbali na Zitto Kabwe mnayemfahamu vizuri je? Mlitegemea kuwa kwa umaarufu wa Moses Machali aliyehamia ccm kwanini hakuwa na Cheyo kikubwa ACT? Aliongozwa kwenye Ngome ya vijana na vijana wapya Licapo Bakar,Edna Sunga, na wengine.

Habibu Mchange na wanachama maarufu wengi wapo ACT na wanaongozwa na katibu wa itikadi mawasiliano na uenezi ngazi ya Taifa ambaye ni kijana Ado Shaibu ila hakuna FIGISUFIGISU kwakuwa Demokrasia ni msingi wa Chama cha ACT wazalendo.

Nyinyi hata kwenye uteuzi ni FIGISUFIGISU,kwenye uchaguzi wa Chama FIGISUFIGISU,Kashafa kibao zikiwemo rushwa,na ubaguzi wa ukabila na ukanda.

INGEKUWA MOSES MACHALI AMEHAMIA CHADEMA ANGEPEWA UKURUGEZI NDANI YA CHAMA ILA ACTwazalendo unapewa au kuungwa mkono kwa majukumu utakayo yamudu iwe uteuzi au katika Uchaguzi wa Chama.TULICHAGUA DEMOKRASIA,SIASA ZA HOJA NA KUACHANA NA GENGE LA PILATO MBOWE.

Zingatia kuwa Kama wakuu wa Chama wanakuwa wakwanza kuminya Demokrasia ndani ya Chama ya MSINGWA NA SOSOPI sio ya ajabu kwamba tayari mshindi yupo mifukoni mwa MBOWE.

KARIBUNI TUJENGE CHAMA CHA UPINZANI KITAKACHOKUWA CHETU WANACHAMA SIO CHA MTU AU KIKUNDI CHA WATU.
Watanzania ban baada yakuwaza maisha yako unaanza kujadili unafk tuu umekujaa
 
Hapa unapigia debe act au nini? Na kama unaelezea act, cdm inaingiaje?
 
We nae una kaz ya kupambanisha opposition parties baada ya kujadili hali ya uchumi ya nchi y2 na kupeana mawazo jins ya kujikwamua ww unawaza ACT VS CHADEMA
 
Back
Top Bottom