Recent content by cheetah255

  1. cheetah255

    JamiiForums Tanzania Full Time: Yanga SC 2-0 Simba SC | Ligi Kuu NBC | Benjamin Mkapa Stadium | 25.06.2025 | Yanga Bingwa

    Mwenye link au app inayo onyesha derby please share.
  2. cheetah255

    JamiiForums Tanzania Prof. Eliza Mwakasungula aliyekuwa DVC (Academic) Mzumbe alifanya kosa gani?

    HOD alifanya nini tena, kwa pale SOPAM yule Dr ni mtu wa maana sana.
  3. cheetah255

    JamiiForums Tanzania Prof. Eliza Mwakasungula aliyekuwa DVC (Academic) Mzumbe alifanya kosa gani?

    Binafsi nimepita SOB na postgraduate SOPAM Dr. Mwakasungula ni mmoja kati ya hazina kubwa kwa taifa pamoja na Dr. Lyatonga bila kumsahau Dr. Kinemo, wote hawa ni wanawake wa shoka kutoka Mzumbe University. Pengine mleta mada ana mambo yake personal ndiyo maana kaja kumchafua Daktari apa jukwaani.
  4. cheetah255

    JamiiForums Tanzania Siku ngumu sana kwa Yanga leo Simba inapoingia fainali ya kombe la shirikisho la CAF

    Kila laheri makolo lolote liwakute uko bondeni, mapaka FC, Dundukaz.
  5. cheetah255

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya usaili TRA 2025

    Mbona Human Resource Officer II hawajatoa au ndiyo wanawapanga wajomba zao
  6. cheetah255

    JamiiForums Tanzania Mfahamu David Ernest Silinde: The Quest of Visionary led Leadership

    Naona Silinde umeanza kujisafisha katika harakati za kuelekea November 2025, ila kama umechelewa ivi si unajua yule aliyewapokea wasaliti hayupo tena. Alafu hapo lumumba kuna wenyeji watakuoneshenyi waamiaji rangi zote mwaka huu.
  7. cheetah255

    JamiiForums Tanzania Manchester City hatofungwa leo, msije mkasema sijawapa tahadhari

    Hii App iko poa sana salute mkuu.
  8. cheetah255

    JamiiForums Tanzania Manchester City hatofungwa leo, msije mkasema sijawapa tahadhari

    Mwenye link ya hii match plz
  9. cheetah255

    JamiiForums Tanzania Full time: Simba SC 1 - 0 Bravos do Maquis FC | CAF CC | Benjamin Mkapa Stadium | 27-11-2024

    Mwenye link ya live streaming
  10. cheetah255

    JamiiForums Tanzania Jaribio la kumteka Deogratius Tarimo (Deo Bonge) huko Kiluvya, na Maswali tata

    Wakija komaa nao tu ata police pambana nao.
  11. cheetah255

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huyu shangazi amenichanganya akili, inabidi nizae naye

    Miaka70 kwa 37 huyo ndiye atakuwa chanzo Cha kifo chako.
  12. cheetah255

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huyu shangazi amenichanganya akili, inabidi nizae naye

    Unazini na mjukuu wako na unamita shangazi?.
  13. cheetah255

    JamiiForums Tanzania Second batch HESLB 27/10/2023

    Nimewafanyia wanafunzi wengi application wengine wamepata batch 1 na wengine hawakupata ila account zao zimebadilika leo, pia kuna wengine account zao zimekataa kuwa hawaku submit application.
  14. cheetah255

    JamiiForums Tanzania Second batch HESLB 27/10/2023

    Batch2 imetoka ila allocation haionekani lakini ukiona dashboard imebadilika inakupeleka kwenye SIPA na DIDIs ujue tayari usubiri allocation tu.
  15. cheetah255

    JamiiForums Tanzania FT | Yanga SC 2-0 Singida Fountain Gate | NBC Premier League | Benjamin Mkapa Stadium | 27.10.2023

    3 points za gamondi scoreboard 3-0.
Back
Top Bottom