Recent content by Check-Mate

  1. Check-Mate

    JamiiForums Tanzania Wazee wenzangu wa Martial Arts Special Thread

    Nimejaribu sana kutafuta dojo ya jiujitsu lakini sija pata bahati kwa hapa Dar. Nilienda mpaka ubalozi wa Brazil labda watuunganishe na Master wa Brazilian Jiujitsu lakini sikufanikiwa. Jiujitsu origin yake ni Japan lakini napenda ile ya Brazil. Sijui kuna anaye jua wapi wanafundisha kwa hapa Dar?
  2. Check-Mate

    JamiiForums Tanzania Mwakyembe aanika tuhuma za vigogo TPA, awafukuza kazi

    Mheshimiwa usipunguze mwendo endelea na kasi hii manake bandarini walizidi na wizi! Naona malipo yanaanza hapa hapa duniani kwa hawa fisi wa TPA.
  3. Check-Mate

    JamiiForums Tanzania Fiery Zanzibaris call Mzee Mwanakijiji ‘mwendawazimu chakari'!

    Wazanzibar ni watu wa ajabu sana. Wana ubinafsi wa kijinga. Muungano uvunjwe na waachiwe na hicho kiinchi chao wabaki kua kama Swaziland.
  4. Check-Mate

    JamiiForums Tanzania Ridhiwan, Lowassa waelezea utajiri wao

    hahaha. dah. hiyo kali. Nimecheka mpaka basi!
  5. Check-Mate

    JamiiForums Tanzania Mwakyembe azuia watumishi wizara yake kupanda daraja la kwanza kwenye ndege

    Source: www.mwananchi.co.tz
  6. Check-Mate

    JamiiForums Tanzania Kampuni ‘iliyomng’oa’ waziri Nundu yaibukia Bagamoyo

    Juzi nilsoma uzi humu jf kuhusu huu mradi na nilijua nimesoma vibaya nilipoona hiyo kampuni imepewa mradi wa bagamoyo. Lakini kama sikosei hii kampuni ilitaka kujenga hizo gati mbili kwa $250 million lakini TPA ilitaka kuchukua mkopo wa $500 million kutoka Exim bank.
  7. Check-Mate

    JamiiForums Tanzania Ujenzi wa Miradi hii Bagamoyo ni wa Lazima Kiasi Hiki?

    Hii kampuni china merchant si ndio ile iliyomng'oa Mh. Nundu au nimesoma vibaya??Imekuaje wamepewa tena kujenga bandari ya bagamoyo?? Siasa za bongo bwana.
  8. Check-Mate

    JamiiForums Tanzania Magufuli, barabara zimefadhiliwa au ni mkopo?

    Ndio maana national debt letu linazidi kila kukicha. Halafu tunategemea kuendelea!
  9. Check-Mate

    JamiiForums Tanzania Hujuma zaanza 'Train ya Mwakyembe'

    Haya ndio mambo ya kuanzisha vitu bila ya proper planning. Idea ilikua nzuri lakini ingebidi waboreshe infrastructure ya hizi treni ili kupunguza matatizo wanayopata watu hivi sasa kama huu wizi. Inabidi wachukue hatua haraka kusimamisha huu wizi amasivyo hii treni haiwezi hata ku break-even.
  10. Check-Mate

    JamiiForums Tanzania Utatu wenye utata: Umri, Pesa na Mapenzi

    Hii issue imenigusa mpaka nimeamua kuweka my first comment. Mimi nipo kwenye the same situation in the sense that mpenzi wangu amenizidi umri kwa miaka 2 na tunapendana na kuheshimiana kuliko hata nilivyokua na mpenzi wangu wa zamani ambaye nilimzidi ki-umri. Kama kweli unampenda kwa dhati na...
Back
Top Bottom