Recent content by checheitworks

  1. C

    JamiiForums Tanzania Samsung wajifunze kwa Apple

    Kila simu ina udhaifu wake na ubora wake hakuna simu ipo perfect kabisa kushinda nyingine. Ndio mana matumizi na mapenzi ya utumiaji simu yamegawanyika. Kuna baadhi ya nchi unakuta hakuna watu wanaopenda samsung. Wao ni iphone na kuna sehemu unakuta wenyewe ni samsung lakini iphone hawana time.
  2. C

    JamiiForums Tanzania Samsung wajifunze kwa Apple

    Ukiona fundi kafungua Iphone 6,6plus au 7 kwa ajili ya kubadili kioo, alafu badae Fingerprint haifanyi kazi. Hapo fundi anakuwa alikosea kwenye kuhamisha ila button ya fingerprint. Kuna hitaji umakini kiasi kwenye kila kazi unayofanya hasa kwenye kubadili kioo. Hakikisha unapo maliza kufungua...
  3. C

    JamiiForums Tanzania The king makers

    Thebold huko watsaap ni kiasi gani kujiunga?
  4. C

    JamiiForums Tanzania Behind the curtain: September 11

    Jamani hizi story mbona mimi sipati nisome niende wapi
  5. C

    JamiiForums Tanzania Behind the curtain: September 11

    Mkuu nakuomba na Mimi uni Add please
  6. C

    JamiiForums Tanzania Hii ndio Kigoma halisi, ukisikia nyingine ujue photocopy

    Haya tunasubiri bukoba na kwenu
  7. C

    JamiiForums Tanzania Hii ndio Kigoma halisi, ukisikia nyingine ujue photocopy

    Ujiji kuna Nyumba za Nyasi ungeweka Picha kama ushahidi. Mana kigoma mjini asilimia kubwa nyumba zina bati. Hizi research ambazo haxina evidence ni Abunuas
  8. C

    JamiiForums Tanzania Kwa mageneus tuuu

    Jibu ni 39
  9. C

    JamiiForums Tanzania Kwa mageneus tuuu

    8+11=39
Back
Top Bottom