Nimesoma china na kuishi huko kwa kipindi fulani, naipenda China na hata watoto wangu nimewapa majina ya kichina, wakwanza Che-lee wapili Su-Yang
Napenda siasa zake na sera yake ya uchumi, nazaidi uzingatiaji wa sheria za nchi na ulinzi wa katiba yao,
Watu wananidhamu ile mbaya, ukila...
Hii thread nadhani ndio maarufu tangu mwaka huu uanze, nimejifunza mengi na ninaendelea kujifunza,
Sidhani kama hii itaisha leo au kesho, huenda mpaka 2015
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.