Nyerere kutangazwa kuwa mtakatifu

Hivi Magobe unaujua Ukatoliki vizuri au unafuata mkumbo tu ndugu yangu?
1. Je unajua ya kuwa amri kumi za MUNGU wakatoliki wamezibadilisha kwa kuondoa ile ihusuyo kuchonga sanamu na kuigawa mara mbili ile ya kumi ili ku-maintain namba kumi?

2. Unajua kuwa mafundisho ya wakatoliki ni kwamba Maria baada ya kumzaa YESU hakuzaa watoto wengine (uongo wa wazi)?

3. Unajua mafundisho ya wakatoliki ni kuwa hakuna kuokoka duniani (denial to what JESUS brought to humankind)?

4. Unajua wakatoliki hawakubaliani na matendo makuu ya miujiza ya MUNGU?

5. Unajua ya kuwa wakatoliki wanaamini kuwa pombe ni sakrament takatifu (quote from Pengo).

6. Unajua zinaa kwa wakatoliki ni halali tu na ndo maana tunaona vijana wanafungishwa ndoa huku mdada wa watu akiwa hoi na mimba ya miezi nane

etc.
Je bado utasema hii dini ni ya MUNGU kweli au inamfuata shetani kwa umbrella ya Ukristo?

etc.

Haya yote ni garbage!

1. Je unajua ya kuwa amri kumi za MUNGU wakatoliki wamezibadilisha kwa kuondoa ile ihusuyo kuchonga sanamu na kuigawa mara mbili ile ya kumi ili ku-maintain namba kumi?

Wakatoliki hawakuondoa Amri yoyote. Huo ni uongo mkubwa. Biblia ina Amri zote Kumi za Mungu. Kilichofanyika ni kuziandika kwa namna zinavyoweza kukumbukwa katika 'catechesis'. Mfano, unapomfundisha mwanafunzi ili aweze kukumbuka vizuri unatumia 'summary form' na kumpa 'refence' ili aweze kwenda kwenye chanzo mwenyewe.

Katika mafundisho, of course, Kanisa haliwezi ku'reproduce' Biblia nyingine. Ila inatumia 'summary' ili iwe rahisi kwa wale wanaofundishwa kuelewa. Kwa hiyo, Kwenye Katekismu (yaani, kitabu kinachotoa 'summary' ya mafundisho makuu ya imani na 'reference' zake) vitu vimeelezwa kwa kifupi lakini kama mtu anataka kujua uhalisia wake anasoma kwenye Biblia yenyewe.

2. Unajua kuwa mafundisho ya wakatoliki ni kwamba Maria baada ya kumzaa YESU hakuzaa watoto wengine (uongo wa wazi)?

Baada ya kumzaa Yesu, Maria hakuzaa watoto wengine kutokana na mapokeo (watu waliorithishwa maelezo kuhusu maisha ya Maria). Biblia imesema ndugu/jamaa zake Yesu - haikusema watoto wa Maria. Na katika jamii yao kaka/ndugu/jamaa ilikuwa inatumika pia katika maana jinsi tunavyoitumia sisi.

Mfano, mtu anasema "huyu ni dada yangu" na ukimwuliza ni dada tumbo moja na wewe? Anasema hapana, "ni mtoto mjoma, wa mama mkubwa/mdogo au wa baba mkubwa/mdogo. Kitu ambacho ungeweza kusema ni kwamba katika ku'interpret' baadhi ya vifungu vya maandiko matakatifu jumii moja ya watu inaweza kutofautiana na nyingine katika kile kinachoitwa 'schools of thought'.

Mfano, lugha zilizotumika katika tafsiri za Biblia mpaka tupate nakala tulizo nazo kwa Kiswahili leo ni Kiebrania na Kigriki, Kilatini, Kifaransa, Kiingereza na Kiswahili (na lugha zingine za kibantu kama Kihaya, Kisukuma, Kikerewe, nk walau kwa hapa Tanzania). Ukumbuke kuwa Yesu alitumia lugha ya Aramaic na waandishi wa mwanzo waliandika kwa Kiebrania na Kigriki kutegema 'adressees' wao.

Na pia kumbuka siku moja mama na "jamaa zake Yesu" walikuwa wanamtafuta na wakati huo alikuwa hekaluni akiwafundisha watu. Mara wakampekelea ujumbe kuwa anahitajika na mama yake na ndugu zake. Yeye akawauliza "Mama yangu na ndugu zangu ni nani? Ni wale wanaolisikia Neno la Mungu na kulishika. Hao ndio mama yangu, ndugu zangu..."

Je, unataka kwa kusema hivyo, kila anayelishika Neno la Mungu alimzaa Yesu au ni ndugu wa damu kabisa na Yesu au ni 'metaphor'? My friend, when reading the Bible don't be lost in the morphology of the narrative but what is behid it - the meaning of it.

3. Unajua mafundisho ya wakatoliki ni kuwa hakuna kuokoka duniani (denial to what JESUS brought to humankind)?

Understanding ya Wakatoliki na siyo denial ni kwamba Mungu ndiye anayewaokoa watu. Na huyo Mungu anawakoa hao watu muda wowote (wanapotubu na kutenda mema anyotaka) hapa duniani na pia hata baadaye watakapoenda Mbinguni. Kanisa linapinga wanaojifanya wameokoka na hali matendo yao ni ya kibaguzi, kudharau wengine, kudhani kuwa ni wao tu wanaomjua Mungu na kumtumikia kama Mungu anavyotaka.

Hawa hawajaokoka chochote! Waliookoka wanaonekana kwa matendo yao na hawahitaji mapaka waseme wameokoka. Hawa wana upendo wa kweli, ni wanyenyekevu na kweli Mungu yu pamoja nao. Wanaweza wakawa baadhi ya Walokole au dhehebu jingine lolote. Cha muhimi hapa ni neema ya Mungu ndani ya mtu na siyo 'lebal' (kuokoka au Ulokole). No one acan monopolise or domesticate God! God is for all and blesses anyone who accepts his Word and live by it.

4. Unajua wakatoliki hawakubaliani na matendo makuu ya miujiza ya MUNGU?

Siyo kweli pia! Wakatoliki wanaamiini miujiza inatendeka na kwa namna nyingi! Ila Kanisa Katoliki haliamini miujiza inayouzwa, inayotumiwa kuwarubuni watu na mtu kujifanya Mungu mdogo au kuwa fulani anaupendeleo na anaongea na Mungu 'direct'. Kitu ambacho Kanisa linafanya ni 'caution' - kuwa mwangalifu la sivyo mtu anaweza kuamini hata garbage.

Kuponywa ni matakwa ya Mungu na siyo mpaka fulani aseme 'pona'. Kama miujiza tunayosikia ni ya kweli, basi hapa duniani kusingekuwapo na haja ya kuwa na hospitali na ukimwi usingemaliza ndugu zetu kiasi hicho. Hata tusingeishi kwenye umaskini wa kupindukia kiasi hiki.

Maana watu wangeenda tu kwa hao watenda miujiza na kuponywa mara moja. Sasa hospitali zinajengwa kwa nini? Kanisa Katoliki linaaamini Mungu amewaumba binadamu na kuwashirikisha katika uumbaji wake (kupitia 'marriage institution') na pia katika matendo mema na vipaji vya watu (wengine waponyaji wa kweli).

Ndiyo maana kuliko kuamini tu fulani ana kipaji cha uponyaji, Kanisa lina namna yake ya kuthibitisha - mfano, unyenyekevu na imani ya huyo mponyaji na upendo wake na maisha yake kwa ujumla. Lakini kama mponyaji anaanza kutumia uponyaji wake kama nguvu yake mwenyewe na kuanza tabia za ajabu ajabu (kama kichaa), Kanisa haliamini uponyaji huo unatoka kwa Mungu hata kidogo!

5. Unajua ya kuwa wakatoliki wanaamini kuwa pombe ni sakrament takatifu (quote from Pengo).

Katika Biblia kitu ambacho hakikukatazwa directly, Kanisa linatoa msimamo wake na kuwaacha waamini wachague wao wenyewe kipi kinafaa. Mfano, ndani ya Kanisa katoliki kuna jumuia za Wakristo hawanywi pombe wala kuvuta sigara.

Ni vizuri. Lakini kuna wanaokunywa pombe na kuvuta sigara ila kwa hawa Kanisa linawataka waangalie pombe na sigara zisiwafanye watende dhambi, waharibu afya zao au wawe maskini na kushindwa kutunza familia zao. Kwa mtu anaykunywa pombe au kuvuta sigara hata kula chakula Kanisa linasema lazima kuwe na kiasi (moderation). Kwa hiyo, siyo kweli kwamba Kanisa linaamini pombe ni sakramenti. Hiyo ni 'formulation' yako tu.

6. Unajua zinaa kwa wakatoliki ni halali tu na ndo maana tunaona vijana wanafungishwa ndoa huku mdada wa watu akiwa hoi na mimba ya miezi nane etc.

Haya sasa ni mawazo yako. Kanisa liko 'strict' katika ndoa. Wanaofungishwa ndoa wakiwa wajawazito mara nyingi huwa ni wale walioficha kama mdada ni mjamzito au Kanisa limeona pamoja na kwamba mdada ni mjamzito wahusika wamekiri hivyo na wameomba waoane. Kwa sababu kinachomfanya mtu kuwa mdhambi siyo ujauzito bali ni tendo baya linaloharibu uhisiano kati yake na Mungu na watu wenzake.

Lakini pia kuna kujirekebisha. Tuchukue mtu amezini halafu akatubu na akasema amekosa na anaomba asamehewe. Mungu atamsamehe huyo mtu. Lakini je kama mtu amezini na kutubu na kama baadaye akagundua ni mjamzito kwani mimba huwa inatoka? Hapana!

Ndiyo maaana hata kama huyo mdada kutokana na uzinzi wake amepata ujauzito na kama ametubu na kulihakikishia Kanisa ametubu litamruhusu aendelee na imani yake. Kwani hao wanapjiita wameokoka huwa wameokaka kutoka nini kama hawajakosa? Je, mdada mjamzito akiokoka huwa mnamkataa? Na lini mnaamini mtu huokolewa muda wowote au ni baada ya kujifungua?

Je bado utasema hii dini ni ya MUNGU kweli au inamfuata shetani kwa umbrella ya Ukristo? etc

Hata kuwahukumu wengine ni dhambi tayari - ni kumfuata shetani! Kwa hiyo, kusema tu hayo uliyosema hakuwezi kulifanya Kanisa Katoliki (Wakatoliki wote duniani au Tanzania wawe wanamfuata shetani na eti Walokole kama na wewe ni mmojawapo) wawe tu ndio wanaomfuta Mungu wa kweli. Imani ni zaidi tu ya kufikiri na kusema. Imani maana yake ni nguvu ya Mungu na namna Mungu mwenyewe anavyowaongoza binadamu kama anavyotaka yeye.

Hivyo, kipimo chako cha wokovu siyo kipimo cha Mungu na mtazamo wako kwa Kanisa Katoliki siyo mtazamo wa Mungu. Ninachoweza kusema ni kwamba: we are all striving to serve God in truth. Certainly, we'll differ in many things but as long as it is God who serves no one can judge others as unworthy while he or she is also to be judged by God whether he or she has honestly served Him in truth.

Kwa hiyo, mheshimiwa: imani siyo tu unayoweza kusema kuhusu dini au dhehebu la wengine bali jinsi wewe mwenyewe unvyoishi na kumpendeza Mungu katika haki na ukweli.
 
Magobe you are talking nonesense. Inaonekana huujuwi Ukatoliki wewe. Search hata kwenye internet utaujua vizuri ukatoliki.

Tuanze na amri za MUNGU

A. Amri za MUNGU zimebadilishwa na za wakatoliki hizi hapa.

1. I am the LORD your God:
you shall not have
strange Gods before me.

2. You shall not take
the name of the LORD your God in vain.

3. Remember to keep holy the LORD'S Day.

4. Honor your father and your mother.

5. You shall not kill.

6. You shall not commit adultery.

7. You shall not steal

8. You shall not bear false witness
against your neighbor

9. You shall not covet
your neighbor's wife

10. You shall not covet
your neighbor's goods

Za kwenye Biblia hizi hapa

1. I am the LORD your God,
who brought you out
of the land of Egypt,
out of the house of bondage.

2. You shall have no other gods before me.
You shall not make for yourself a graven image,
or any likeness of anything that is in heaven above,
or that is in the earth beneath,
or that is in the water under the earth;
you shall not bow down to them or serve them;
for I the LORD your God am a jealous God,
visiting the iniquity of the fathers
upon the children to the third and the fourth
generation of those who hate me,
but showing steadfast love to thousands of those
who love me and keep my commandments.

3. You shall not take
the name of the LORD your God in vain;
for the LORD will not hold him guiltless
who takes his name in vain.

4. Remember the sabbath day, to keep it holy.
Six days you shall labor, and do all your work;
but the seventh day is a sabbath to the LORD your God;
in it you shall not do any work, you, or your son,
or your daughter, your manservant,
or your maidservant or your cattle,
or the sojourner who is within your gates;
for in six days the LORD made heaven and earth,
the sea, and all that is in them,
and rested the seventh day;
therefore the Lord blessed the sabbath day and hallowed it

5. Honor your father and your mother,
that your days may be long in the land
which the LORD your God gives you.

6. You shall not kill.

7. You shall not commit adultery.

8. You shall not steal

9. You shall not bear false witness
against your neighbor.

10. You shall not covet your neighbor's house;
you shall not covet your neighbor's wife,
or his manservant, or his maidservant,
or his ox, or his ass,
or anything that is your neighbor's


Angalia kuanzia amri ya pili utaona mabadiliko hapo. Amri ya pili inayohusu kuchonga sanamu imeondolewa ili kuhalalisha misanamu iliyojaa makanisani kwenu na amri ya kumi imegawanywa mara mbili.
 
2. Kuhusu Maria kuzaa watoto wengine hakika mmedanganywa nani mkadanganyika. Unataka kutwambia Joseph hakumuoa Maria baada ya kumzaa YESU? Na kama alimuoa ina maana MUNGU alifunga tumbo la Maria asizae watoto wengine? Ukweli ni kwamba Maria aliolewa na Joseph na akazaa watoto wengine. Hebu tuone Biblia inasemaje

Did Mary give birth to other
children after Jesus was born?



The Bible is very specific in saying that Mary, the mother of Jesus, did have other children after Jesus was born. The Bible says that Jesus was her
FIRSTBORN and Joseph did not know her intimately UNTIL she gave birth to Jesus. The Bible does not say that she remained a virgin, nor does the Bible say that Jesus was her only child. This teaching that suggests that Mary remained a virgin is antibiblical. Mary did not remain a virgin. This is for certain.

For a woman to remain a virgin while being married to her husband would be considered a sin by God's standards. God created marriage. The two become one flesh and the bed is undefiled in marriage. Mary and Joseph were married in every sense of the word. Joseph took Mary to be his wife, not a roommate. Had she remained a virgin her entire married life, this would have been very dysfunctional. It would have displeased her husband and the Lord.

The Bible says that Jesus was her FIRSTBORN and
Joseph knew her not
(intimately) TILL she gave birth to Jesus. The Bible specifically says that Jesus had brothers and even mentions their names. Jesus had sisters too. Scriptural references are below:

Mathew 1:25: And [Joseph] knew her not till she had brought forth her
firstborn son: and he called His name JESUS.

Mathew 12:46-47: While he yet talked to the people, behold, his mother and his brethren stood without, desiring to speak with him. Then one said unto him, Behold, thy mother and thy brethren stand without, desiring to speak with thee.

Mathew 13:55-56 Is not this the carpenter's son? is not his mother called Mary?
and his brethren, James, and Joses, and Simon, and Judas? And his sisters, are they not all with us? Whence then hath this man all these things?

Mark 3:31-32: There came then
his brethren and his mother, and, standing without, sent unto him, calling him. And the multitude sat about him, and they said unto him, Behold, thy mother and thy brethren without seek for thee.

Mark 6:3: Is not this the carpenter,
the son of Mary, the brother of James,
and Joses, and of Juda, and Simon? and are not his sisters here with us?

And they were offended at him.

Luke 2:7: And she brought forth her
FIRSTBORN son, and wrapped him in swaddling clothes, and laid him in a manger; because there was no room for them in the inn.

Luke 8:20-21 And it was told him by certain which said,
Thy mother and thy brethren stand without, desiring to see thee. And he answered and said unto them, My mother and my brethren are these which hear the word of God, and
do it.

John:7:3:
His brethren therefore said unto him, Depart hence, and go into Judaea, that thy disciples also may see the works that thou doest.
 
naona kama una jibu ni bora kukaa kimya kuliko kububujika matusi bila mpango.

kama ulivyosema nahitaji elimu na sio maoni. Sasa nielimishe nijuwe na sio kunitusi.


usihuzunike ndivyo walivyofundishwa hawa ,

damu yake huyu iko hivyo

huyu tuachie sisi tu maana anavyoipiga ndiyo tunavyoicheza na ndio MAANA katuweka katika ignore list YAKE KWA HOFU YA KUPEWA UKWELI
 
Magobe you are talking nonesense. Inaonekana huujuwi Ukatoliki wewe. Search hata kwenye internet utaujua vizuri ukatoliki.

Tuanze na amri za MUNGU

A. Amri za MUNGU zimebadilishwa na za wakatoliki hizi hapa.

1. I am the LORD your God:
you shall not have
strange Gods before me.

2. You shall not take
the name of the LORD your God in vain.

3. Remember to keep holy the LORD'S Day.

4. Honor your father and your mother.

5. You shall not kill.

6. You shall not commit adultery.

7. You shall not steal

8. You shall not bear false witness
against your neighbor

9. You shall not covet
your neighbor's wife

10. You shall not covet
your neighbor's goods

Za kwenye Biblia hizi hapa

1. I am the LORD your God,
who brought you out
of the land of Egypt,
out of the house of bondage.

2. You shall have no other gods before me.
You shall not make for yourself a graven image,
or any likeness of anything that is in heaven above,
or that is in the earth beneath,
or that is in the water under the earth;
you shall not bow down to them or serve them;
for I the LORD your God am a jealous God,
visiting the iniquity of the fathers
upon the children to the third and the fourth
generation of those who hate me,
but showing steadfast love to thousands of those
who love me and keep my commandments.

3. You shall not take
the name of the LORD your God in vain;
for the LORD will not hold him guiltless
who takes his name in vain.

4. Remember the sabbath day, to keep it holy.
Six days you shall labor, and do all your work;
but the seventh day is a sabbath to the LORD your God;
in it you shall not do any work, you, or your son,
or your daughter, your manservant,
or your maidservant or your cattle,
or the sojourner who is within your gates;
for in six days the LORD made heaven and earth,
the sea, and all that is in them,
and rested the seventh day;
therefore the Lord blessed the sabbath day and hallowed it

5. Honor your father and your mother,
that your days may be long in the land
which the LORD your God gives you.

6. You shall not kill.

7. You shall not commit adultery.

8. You shall not steal

9. You shall not bear false witness
against your neighbor.

10. You shall not covet your neighbor's house;
you shall not covet your neighbor's wife,
or his manservant, or his maidservant,
or his ox, or his ass,
or anything that is your neighbor's


Angalia kuanzia amri ya pili utaona mabadiliko hapo. Amri ya pili inayohusu kuchonga sanamu imeondolewa ili kuhalalisha misanamu iliyojaa makanisani kwenu na amri ya kumi imegawanywa mara mbili.


Jazba haiwezi kumfanya mtu aongee 'sense'. Kama ndivyo ulivyofundishwa umedanganywa! Kabla ya kujadili ningeomba usome tena post yangu na kuielewa na siyo kujibu kile ulicho nacho kichwani mwako.

Amri Kumi za Mungu zinapatikana Exodus 20 & Deutronomy 5: Nimeweka sources mwisho wa kila kitabu nilichotumia. Sources zote zinatoka kwenye Catholic Online Bible. Baada ya kusoma hizi Amri za Mungu ndipo niambie jinsi gani Wakatoliki wamepunguza na uonyeshe wamepunguzaje.

A. Exodus 20:

1 Then God spoke all these words. He said,
2 'I am Yahweh your God who brought you out of Egypt, where you lived as slaves.
3 'You shall have no other gods to rival me.
4 'You shall not make yourself a carved image or any likeness of anything in heaven above or on earth beneath or in the waters under the earth.
5 'You shall not bow down to them or serve them. For I, Yahweh your God, am a jealous God and I punish a parent's fault in the children, the grandchildren, and the great-grandchildren among those who hate me;
6 but I act with faithful love towards thousands of those who love me and keep my commandments.
7 'You shall not misuse the name of Yahweh your God, for Yahwehwill not leave unpunished anyone who misuses his name.
8 'Remember the Sabbath day and keep it holy.
9 For six days you shall labour and do all your work,
10 but the seventh day is a Sabbath for Yahweh your God. You shall do no work that day, neither you nor your son nor your daughter nor your servants, men or women, nor your animals nor the alien living with you.
11 For in six days Yahweh made the heavens, earth and sea and all that these contain, but on the seventh day he rested; that is why Yahweh has blessed the Sabbath day and made it sacred.
12 'Honour your father and your mother so that you may live long in the land that Yahweh your God is giving you.
13 'You shall not kill.
14 'You shall not commit adultery.
15 'You shall not steal.
16 'You shall not give false evidence against your neighbour.
17 'You shall not set your heart on your neighbour's house. You shall not set your heart on your neighbour's spouse, or servant, man or woman, or ox, or donkey, or any of your neighbour's possessions.'
18 Seeing the thunder pealing, the lightning flashing, the trumpet blasting and the mountain smoking, the people were all terrified and kept their distance.
19 'Speak to us yourself,' they said to Moses, 'and we will obey; but do not let God speak to us, or we shall die.'
20 Moses said to the people, 'Do not be afraid; God has come to test you, so that your fear of him, being always in your mind, may keep you from sinning.'
21 So the people kept their distance while Moses approached the dark cloud where God was.
22 Yahweh said to Moses, 'Tell the Israelites this, "You have seen for yourselves how I have spoken to you from heaven.
23 You must not make gods of silver to rival me, nor must you make yourselves gods of gold.
24 "You must make me an altar of earth on which to sacrifice your burnt offerings and communion sacrifices, your sheep and cattle. Wherever I choose to have my name remembered, I shall come to you and bless you. 25 If you make me an altar of stone, do not build it of dressed stones; for if you use a chisel on it, you will profane it.
26 You must not go up to my altar by steps, in case you expose your nakedness on them." '


Source: http://www.catholic.org/bible/book.php?id=5





B. Deutronomy 5:

1 Moses called all Israel together and said to them, 'Listen, Israel, to the laws and customs that I proclaim to you today. Learn them and take care to observe them.
2 'Yahweh our God made a covenant with us at Horeb.
3 Yahweh made this covenant not with our ancestors, but with us, with all of us alive here today.
4 On the mountain, from the heart of the fire, Yahweh spoke to you face to face,
5 while I stood between you and Yahweh to let you know what Yahweh was saying, since you were afraid of the fire and had not gone up the mountain. He said:
6 ' "I am Yahweh your God who brought you out of Egypt, out of the place of slave-labour.
7 ' "You will have no gods other than me.
8 ' "You must not make yourselves any image or any likeness of anything in heaven above or on earth beneath or in the waters under the earth;
9 you must not bow down to these gods or serve them. For I, Yahweh your God, am a jealous God and I punish the parents' fault in the children, the grandchildren and the great-grandchildren, among those who hate me; 10 but I show faithful love to thousands, to those who love me and keep my commandments.
11 ' "You must not misuse the name of Yahweh your God, for Yahwehwill not leave unpunished anyone who uses his name for what is false.
12 ' "Observe the Sabbath day and keep it holy, as Yahweh your God has commanded you.
13 Labour for six days, doing all your work,
14 but the seventh day is a Sabbath for Yahweh your God. You must not do any work that day, neither you, nor your son, nor your daughter, nor your servants -- male or female -- nor your ox, nor your donkey, nor any of your animals, nor the foreigner who has made his home with you;
15 so that your servants, male and female, may rest, as you do. Remember that you were once a slave in Egypt, and that Yahweh your God brought you out of there with mighty hand and outstretched arm; this is why Yahweh your God has commanded you to keep the Sabbath day. 16 ' "Honour your father and your mother, as Yahweh your God has commanded you, so that you may have long life and may prosper in the country which Yahweh your God is giving you.
17 ' "You must not kill.
18 ' "You must not commit adultery.
19 ' "You must not steal.
20 ' "You must not give false evidence against your fellow.
21 ' "You must not set your heart on your neighbour's spouse, you must not set your heart on your neighbour's house, or field, or servant-man or woman -- or ox, or donkey or any of your neighbour's possessions."
22 'These were the words Yahweh spoke to you when you were all assembled on the mountain. Thunderously, he spoke to you from the heart of the fire, in cloud and thick darkness. He added nothing, but wrote them on two tablets of stone which he gave to me.
23 'Now, having heard this voice coming out of the darkness, while the mountain was all on fire, you came to me, all of you, heads of tribes and elders,
24 and said, "Yahweh our God has shown us his glory and his greatness, and we have heard his voice from the heart of the fire. Today we have seen that God can speak with a human being and that person still live.
25 So why should we expose ourselves to death again? For this great fire might devour us if we go on listening to the voice of Yahweh our God, and then we should die.
26 For what creature of flesh could possibly live after hearing, as we have heard, the voice of the living God speaking from the heart of the fire?
27 Go nearer yourself and listen to everything that Yahweh our God may say, and then tell us everything that Yahweh our God has told you; we shall listen and put it into practice!"
28 'Yahweh heard what you were saying to me, and he then said to me, "I have heard what these people are saying. Everything they have said is well said.
29 If only their heart were always so, set on fearing me and on keeping my commandments, so that they and their children might prosper for ever! 30 Go and tell them to go back to their tents.
31 But you yourself stay here with me, and I shall tell you all the commandments, the laws and the customs which you are to teach them and which they are to observe in the country which I am giving them as their possession."
32 'Keep them and put them into practice: such is Yahweh's command to you. Stray neither to right nor to left.
33 Follow the whole way that Yahweh has marked for you, and you will survive to prosper and live long in the country which you are going to possess.'


Source:

http://www.catholic.org/bible/book.php?id=5






 
Ni kwa nini watu wanashindwa kuelewa daraja za utakatifu? Ni vigezo gani vitatumika kumpa utakatifu mwalimu Nyerere mbele za mungu pamoja kuwatumiakia watu. Utakatifu ni swala zito, yawezekana yapo mazuri aliyofanya yakampa umaarufu, lakini utakatifu huwezi kuupata kwa sababu ya umaarufu bali matendo. Mtakatifu hawezi kuweka watu vizuizini, mtakatifu hawezi kuamrisha majeshi yaivamie nchi nyingine na kuua raia wasio na hatia. Mtakatifu hawezi kuwa kiongozi wa serikali za kidunia. NYERERE akiuwa mwanasiasa tu, hana sifa ya kuwa mtakatifu. Alifanya mengi yasiyompendeza mungu.
 
Lazima wampe utakatifu kwa mambo aloyafanya hapa Tanzania ya kudidimiza watu fulani ! sasa hiyo ni kama Ahsante yake ! sijui itakuwaje pale watakapotaka Julius Nyerere International Airport ibadilishwe iitwe St Julius kivumbi hapo !
 
Rais Yoweri Museven ametoa kaul ya kijinga sana.kuwa tuzud kumwombea J.K. Nyerere ili awe mtakatifu. Hiyo ni kaul ya kijinga ambayo hutegemew itolewe na mtu msomi kama yeye.Tanzania tuna matatizo meng sana kias kwamba kipaumbele chetu si kumfanya nyerere awe mtakatifu.kitu ambacho pia hakiwezekan maana Kwa mujib wa Biblia kila mtu anahukumiwa kwa matendo yake akiwa hai.tutaendelea kumheshimu nyerere lakin hatutakuwa na muda wa kumwombea awe mtakatifu.na tunajua nyerere angekuwepo leo asingekubaliana na utawala wa Y.Museven. aache kutusanifu
 
Hii habar iandike tena halafu nitakuja kuchangia,inaonesha kuna kitu kizuri unataka ku present

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Ndugu yangu Punguza chuki za kijinga,

Mwalimu Julius Nyerere atapewa utakatifu na watu wa imani yake yaani wakatoliki, hivyo asiemkatoliki hilo halimuhusu,

Ni sawa leo hii waislamu Watanzania na duniani wamempa hadhi Shehe Hassan Bin Amir kwa Walii hadhi iliyosawa na "Mtakatifu"

Sijajua hapa kinachowaumiza sana nini?

Kama wewe ni mkatoliki nenda kanisani kapinge mpango huo lakini kama sio mkatoliki unapoteza mda wako tu ndugu,

Rais Museven ametoa kauli hiyo kuwahimiza wakatoliki wenzake kumuombea mwalimu Julius Nyerere awe Mtakatifu

Ya kaisari muachie Kaisari na ya Mungu muachie mungu!
 
Rais wa Uganda Yoweri Kaguta Mseveni amewahimiza wakatoliki wa Tanzania na duniani kwa ujumla kuzidisha maombi kwaajili ya mchakato wa Utakatifu wa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere,

Akizingumza zaidi amesema kuwa Mwalimu Julius Nyerere kuwa Mtakatifu ni Heshima ya juu sana kwa Wakatoliki wa Tanzania na dunia nzima, hivyo ni vema kuzidisha maombi ili mchakato wa Mwalimu Julius Nyerere kutoka kuwa MWENYE HERI hivi sasa, aende kuwa MTAKATIFU ambayo ni hadhi ya juu kabisa ya muamini ukatoliki!

Yakaisari muachieni Kaisari na ya Mungu muachieni Mungu!
 
Ndugu yangu Punguza chuki za kijinga,

Mwalimu Julius Nyerere atapewa utakatifu na watu wa imani yake yaani wakatoliki, hivyo asiemkatoliki hilo halimuhusu,

Ni sawa leo hii waislamu Watanzania na duniani wamempa hadhi Shehe Hassan Bin Amir kwa Walii hadhi iliyosawa na "Mtakatifu"

Sijajua hapa kinachowaumiza sana nini?

Kama wewe ni mkatoliki nenda kanisani kapinge mpango huo lakini kama sio mkatoliki unapoteza mda wako tu ndugu,

Rais Museven ametoa kauli hiyo kuwahimiza wakatoliki wenzake kumuombea mwalimu Julius Nyerere awe Mtakatifu

Ya kaisari muachie Kaisari na ya Mungu muachie mungu!

yericko pengine unadhan na wewe ni sehem ya nyerere sabab ya hilo jina la mwisho. Museven hajasema Waroma.kasema WATANZANIA. mimi ni MTANZANIA labda kama utanivua iraia leo. hata Waroma wana mambo meng ya kuombea tumia akil kidogo.museven unadhn leo hii nyerere angekuwepo Museven angekuwa ktk Good terms naye kwa namna anavyoendesha nchi? pia ndugu jaribu kutumia kichwa chako unaposoma post read btn the lines.kuna chuki gan nmeonesha kwa nyerere hapo? inaonekana wewe ni mmoja ya watu wenye akil siyo mgando ila ni mvurugo ambazo pia hazifkirii nje ya kikasha au kibox.hata Mungu atatushangaa kama leo hii tutahangaika kumwombea Nyerere awe mtakatifu wakat sisi wenyewe tumezungukwa na uchafu mwing.awe mtakatifu then what? huu ni ujinga...tusiende kibiblia maana huko ndo ntakuchanganya kabisa hasa kwa kuwa wewe husomi hata bible.tuendelee kujadiliana ki falsafa tu. Museven anatusanifu na anamsanifu Nyerere pia. ana jambo gan jema analolifanya la kujifanya anakal abt nyerere? fikiria matendo yake na uhusiano wake ungekuaje na nyerere? acha ushabik kaka huo ndo unatuponza sisi watanzania.hatutumii kichwa kufikiria.tunahifadhia nywele tu.badala yake tunatumia matumbo na makalio kufikiria.
 
Back
Top Bottom