Recent content by chazdlamarck

  1. chazdlamarck

    Je, naweza kurudia masomo ya Kidato cha 6 kwa mchepuo tofauti?

    Inawezekana kama form four ulikuwa umesoma physics na ulifaulu pia ikizingatiwa kwamba masomo mengine pia ulifaulu walau kwa ufaulu unaohitajika, kitu kingine kwanin ulisoma EGM na kwanin sahivi tena unataka PCB? Kwanin upoteze mda hivyo kasome clinical medicine miaka 3 kisha baadae utakula MD...
  2. chazdlamarck

    Bufa yangu haitoi bass kabisa ikiunganishwa na TV, tatizo linaweza kuwa ni nini wakuu?

    Ngoja niangalie mkuu tena mkuu wangu ,ingawa nishafanya kila juhudi inashindikana hebu nijaribu na leo
  3. chazdlamarck

    Bufa yangu haitoi bass kabisa ikiunganishwa na TV, tatizo linaweza kuwa ni nini wakuu?

    Ahsante mkuu ,ila mwanzon kabisa nilipoileta tv nilifikilia labda ni waya nikaenda nikanunua waya mpya ila wap hali ni ile ile tu
  4. chazdlamarck

    Bufa yangu haitoi bass kabisa ikiunganishwa na TV, tatizo linaweza kuwa ni nini wakuu?

    Habari zenu wakuu, kama inavyojieleza hapo juu nina kitv changu hapa cha Sundar na kisabufa cha Seapiano ila tangu ninunue hivi vitu nikiunganisha tv na bufa kunakuwepo na kutokutoka kwa bass ya bufa yaani hata kama napiga mziki nasikia sauti ya Twitter (spika) tu. Naomba kuuliza kunaweza kuwa...
  5. chazdlamarck

    PCB?

    Chemistry na biology ndo Kigezo kikubwa kwa afya walau uwe na C hasa Kama unataka uwe Daktari
  6. chazdlamarck

    PCB?

    Kupata one PCB haukufanyi wewe usome kile unachokitaka au unachokipenda, inategemea una one ya ngap na vip kuhusu competition Mfano kwa PCB taker walio wengi wanataka wawe madaktari na hawakumbuk kuwa hapo lazma uwe uko kwenye vigezo stahik lakn siyo kupata one tu. Mfano mtu mwenye one ya 9...
  7. chazdlamarck

    Msaada jinsi ya kubadili course SUA

    Mkuu BVM Kwa huo ufaulu wako hutapata maana wanachukua mwisho 1 ya 9 mara chache sana kukuta 2 tena za 10, cha msingi nenda kasome hiyo diploma tu au kasome ualimu
  8. chazdlamarck

    USHAURI: Moyo wangu umetekwa na mwanafunzi

    Mkuu hapo mm sjaona kosa maana umesema umempenda kitu ambacho tumeagizwa pia kwamba tupendane ko hamna shida, ila kama umempenda ukimaanisha unataka papuchi yake hapo jiandae tu kuelekea kunako Wanaume wa nguvu
  9. chazdlamarck

    Matokeo ya Kidato cha Sita kwa Mwaka 2019 yametangazwa rasmi leo

    Hapo mzee hawez pata MD maana kwasasa vyuo karibia vyote wanatumia vigezo sawa kudahiri na pia ukizingatia na competition. But ajaribu tu hata vyuo vya nje anapata kiurahis kabisa bongo siasa nyingi
  10. chazdlamarck

    Msaada kuhusu kuhama combination CBG to PCB

    Dogo chamsing hapo wewe nenda shule kama unataka PCB kasome mambo ya unataka kuwa nani utajua mara baada ya kufaulu ule mtihan ACSEE, kwasababu unaweza enda a level na malengo kibao lakin ukaja kuishia kusoma tu diploma kitu ambacho unakuwa umepoteza mda wako mwingi kisa tu ulitaka kuwa mtu flan...
Back
Top Bottom