Bufa yangu haitoi bass kabisa ikiunganishwa na TV, tatizo linaweza kuwa ni nini wakuu?

chazdlamarck

JF-Expert Member
May 29, 2017
256
92
Habari zenu wakuu, kama inavyojieleza hapo juu nina kitv changu hapa cha Sundar na kisabufa cha Seapiano ila tangu ninunue hivi vitu nikiunganisha tv na bufa kunakuwepo na kutokutoka kwa bass ya bufa yaani hata kama napiga mziki nasikia sauti ya Twitter (spika) tu.

Naomba kuuliza kunaweza kuwa kuna tatizo wapi au mimi kuna kitu sielewi hapo wakuu?
 
Nijibu hili swali


Hiyo seapiano yako ukiweka flash pale sehemu ya flash inatoa mkito?
 
Ukiconnect na Tv haiwezi kutoa bass kubwa kama utakavyoconnect flash, muhimu kagua vizuri namna ulivyochomeka waya za sauti zingatia L na R, pia ongeza sauti mpaka mwisho kwenye sea piano alafu uwe una control sauti kwenye Tv, ikishindikana basi tatizo lipo kwenye Tv mkuu labda haiwezi kusukuma bass ya sabufa.
 
Back
Top Bottom