Nimekuwa nasoma taratibu nyuzi mbalimbali, vitabu na kufungua demo account ya FXTM broker kwenye account ya cent na kuanza na cent 3,000 (hii nimeiweka ili niweze kuona real profit ambayo naweza ipata kwa siku kulingana na capital yangu ninayoipangilia). Si haba nimekuwa napata dola 3-5. Juzi na...
Aisee mlete mwl RTC atusaidie... ptv sports imepotea.. Mimi uefa wamarekani wa AFN walikuwa wanaonesha west side HD ya kufa mtu. Sijui kama wataonesha wakati huu. Hope Sony nao watatupa laliga.. epl ndio kizungumkuti.. japo tv1 wataonesha zile za kwese ila ni za kuotea sana
Post sent using...
Habari wakuu wa nyumba. Mimi ni mpenzi na mtumiaji wa free to air channels kwenye madishi makubwa. Kwasasa natumia tiger T245+ pro ambayo nataka kuupdate kupanda kidogo kwani hii nataka kuihamisha. Sasa naomba mawazo ni ipi receiver Bora na ya kisasa kwa sasa. Asante
Sent from my HUAWEI VNS-L21...

Hivi wanalala mule mule vile? Dah hatari hii. Nasikia kuna wengine akikustukia muoga na una mkono wa birika anakuzungusha rum nzima akivuta tu kabati 'ni huyu?' hadi uharo upande kichwani kwako
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.