Recent content by chawa wa mama

  1. chawa wa mama

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Mambo yapo kingbet. Wana options nyingi Sana,. Jaribu kwa promo code 144716UZ
  2. chawa wa mama

    JamiiForums Tanzania Nachukiwa na bosi wangu bila sababu

    Hiyo Hali ninl kawaida sio tu serikalini hata kwenye private institutions, muhimu 1. Usipige stori zozote na wafanyakazi wenzio, wewe uwe msikilizaji tu. 2. Usihoji masuala ya pesa kwenye vikao. 3. Mwoneshe kama hujali na huumii kwa mahusiano yenu mbaya. Japo unaumia kwa ndani. 4. Mwendee...
  3. chawa wa mama

    JamiiForums Tanzania Usijichanganye ukachukua “Simu za mkopo”

    Njoo inbox mkuu
  4. chawa wa mama

    JamiiForums Tanzania Ni kitu gani watu wengine huona kuwa cha kawaida ila wewe huwezi kufanya au kuwa nacho?

    1. Kuning'iniza funguo ya gari 2. Kuhudhuria sherehe. Huwa nachangia tu wife anaendaga 3. Kupiga stori na watu nisiowajua
  5. chawa wa mama

    JamiiForums Tanzania Mama unayefungua nchi muandikie Barua Rais huyu atutembelee anamashabiki wengi Tanzania na jina tumempa

    Nadhani ana wapenzi wengi kuliko hata baadhi ya mawaziri wake. Jamaa anajua kuwakomesha western ambao sisi tunawaogopa. Yeye anawaona mashoga tu Wala ndimu.
  6. chawa wa mama

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    07F057E betpawa, odd 15
  7. chawa wa mama

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Watanzania tukatae Uwanja wa KIA kupewa Oman

    Acheni chuki zenu, kwani waarabu waliwafanya Nini nyie? Waarabu sio uislamu. Ficheni chuki zenu
  8. chawa wa mama

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Dkt. Emmanuel Nchimbi ateuliwa kuwa Katibu Mkuu mpya wa CCM kumrithi Daniel Chongolo

    Hongera Kwa uteuzi ndugu EMANUEL nchimbi
  9. chawa wa mama

    JamiiForums Tanzania Wazee wa Mkataba Mwitongo ndio walishauri Nchimbi arudishwe kwenye Uongozi

    Stori za vijiwe vya kahawa. Nanyi pia gombeeni acheni wivu wa kike
  10. chawa wa mama

    JamiiForums Tanzania Haileti picha nzuri kwa CHADEMA kutomtumia msanii Ney wa Mitego kwenye mikutano yenu

    kwani Ney ni mchaga? aalikwe na lile genge la wachaga? uko serious kweli boss?
  11. chawa wa mama

    JamiiForums Tanzania Baraza la Maaskofu Katoliki (TEC): Hatuungi mkono Mkataba wa Bandari. Sauti ya Watu ni sauti ya Mungu

    WACHA TUSEME, TANZANIA NI YETU SOTE SIO MALI YA WAKRISTO Hivi karibuni kumezuka mjadala mkali kuhusu Serikali kuingia kwenye makubaliano ya kuendesha bandari za Tanzania na kampuni ya DP World. Mjadala huu ulianza na sura ya kisiasa wakati Mwenyekiti wa Chadema Bwana Freeman Mbowe alipotoa...
  12. chawa wa mama

    JamiiForums Tanzania Maswali yangu kwa Baraza la Maaskofu Katoliki (TEC) kuhusu Tamko la Mkataba wa Bandari

    wale wavuta bangi wa TEC sio wa kuwasikiliza
  13. chawa wa mama

    JamiiForums Tanzania Majaliwa ziarani Russia na maamuzi ya Rais Samia kuficha aibu ya kuitikia mwito wa Putin.

    unataka kuwa vuguvugu, tuamue moja, baridi au Moto
  14. chawa wa mama

    JamiiForums Tanzania Huduma kwa wateja TANESCO kupitia namba 0748550000 ni Bomu la Nyuklia

    Hawa jamaa Ni shida, yaani kwangu maisha yangu yote umeme unakata saa 5 usiku Hadi kesho yake Tena asubuhi, ukiwapigia simu maelezo mengi bila vitendo. hamna shirika pale, Bora wangeuza TANESCO hata kwa Bei Chee waiache bandari
  15. chawa wa mama

    JamiiForums Tanzania Sheikh Kishki amfundisha Lema Alifu kwa kijiti

    Hilo Ni kafiri sugu hawezi kukuelewa. jitu linafakamia kula kenge,mamba, nguruwe, Kobe, paka akili za mungu azitoe wapi? achana nae tu
Back
Top Bottom