Recent content by chaupimbi

  1. chaupimbi

    JamiiForums Tanzania Nimeambiwa nitafariki baada ya miezi 4 kutokana na kansa ya kongosho (pancreatic cancer stage 4)

    Imeandikwa: WATU WANGU WANAANGAMIA KWA KUKOSA MAARIFA: Wengi wanapenda miujiza ya papo kwa papo baada ya maombezi wanaendelea na maisha yao ya dhambi lakini hawataki kumpokea Yesu katika maisha yao, Hakuna linaloshindikana mbele za Mungu, Kifo hakijawahi kuwa suluhisho LA mtu kuishi vizuri kama...
  2. chaupimbi

    JamiiForums Tanzania Ripoti ya uvamizi Clouds hadharani: Makonda alitishia kuwaingiza kwenye skendo ya dawa za kulevya

    *Nashukuru sakata la MAKONDA limeisha salama sasa tunaelekeza nguvu zetu kwa MADEREVA mpaka hapo watakapopunguza ajali* [emoji41][emoji41][emoji41]
  3. chaupimbi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Yanga yabanwa mbavu na Mtibwa. Yashindwa kutamba Morogoro

    Mechi ijayo Simba anacheza na nani?
  4. chaupimbi

    JamiiForums Tanzania Makonda anapitia kipindi kigumu

    Hii vita ya madawa Shetani ameweka 'Mkono' inahitaji 'Nguvu Ya Roho Mtakatifu' kuishinda....
  5. chaupimbi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Simba SC 2 - 1 Yanga SC: Shiza Kichuya aibuka shujaa wa Simba

    Poleni wanayanga ndo mchezo
  6. chaupimbi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Simba SC 2 - 1 Yanga SC: Shiza Kichuya aibuka shujaa wa Simba

    Alichofanya *kichuya leo* kinaitwa baba mkanye mwanao asile *ngada*
  7. chaupimbi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa wingu lililopo angani sasa na hii mvua inayokuja Yanga mkipona nitatekeleza hili!!

    Mvua inanyeesha kimara
  8. chaupimbi

    JamiiForums Tanzania Fredwaa wa Clouds Fm yuko wapi?

    Yupo likizo
  9. chaupimbi

    JamiiForums Tanzania Anayeamini kuna vita ya kupambana na madawa ya kulevya nampa pole

    Chid Benz yupo Rehab hajahojiwa
  10. chaupimbi

    JamiiForums Tanzania Mimba tatu zimeharibika

    Relax miaka minne michache sana Kaseja Juma tangu kaoa zaidi ya miaka 9 mke wake Nasra kajifungua juzi
  11. chaupimbi

    JamiiForums Tanzania Kifo hakipangwi na Mungu

    True Mungu haui bali hutwaa.... Tena hutwaa mtu aliyeishi miaka mingi aliye mzee ambaye Alikuwa mcha Mungu
  12. chaupimbi

    JamiiForums Tanzania Adui wa mwanadamu duniani

    Mt. 10 wakaja wanafunzi wake wakamwambia kwanini husema nao kwa mifano? Anajibu ninyi mmejaaliwa kuzijua siri za ufalme wa mbinguni bali wao hawajui... Kwamaana kila aliyenacho ataongezewa na asiye nacho hata kile alichokuwa nacho hatanyang'anywa.. Kwa maana wakitazama hawaoni... Hata wakisikia...
  13. chaupimbi

    JamiiForums Tanzania Adui wa mwanadamu duniani

    Nimekwambia yeye amwaminie hatakufa milele katika roho ina maana akifa katika mwili ataenda mbinguni... Ni kweli hata yule asiye mwamini kufa kwake ni kwenda kwenye ziwa la moto.... Yaani atakuwa amekufa milele... Tafsiri maandiko usisome kama kitabu cha kawaida.. Ndio maana Yesu aliwafundisha...
  14. chaupimbi

    JamiiForums Tanzania Adui wa mwanadamu duniani

    Unatafsiri maandiko kiakili na sio kiroho katika ulimwengu wa roho hutokufa kabisa na fahamu kabisa Mungu ni Roho na maisha yetu ya kimungu yapo kiroho ndo maana ukifa baada ya mwili kubaki duniani unakuwa roho kwahiyo utaishi milele ukimfuata yeye.
  15. chaupimbi

    JamiiForums Tanzania Adui wa mwanadamu duniani

    Ukitafsiri maandiko: "kila aishiye na kuniamini hatakufa kabisa hata milele" ina maana hata ukifa utaendelea kuishi milele katika roho hutoenda jehanam
Back
Top Bottom