Recent content by Charlie_Data_Analyst_GIS

  1. Charlie_Data_Analyst_GIS

    Tuhuma za upikwaji wa takwimu za UKIMWI dhidi ya MDH zisifumbiwe macho

    Simply ni uzi wa hovyo kabisa hasa kutokujua unachokiongelea no research fabricated info propaganda as agenda hovyo kabisa
  2. Charlie_Data_Analyst_GIS

    Tuhuma za upikwaji wa takwimu za UKIMWI dhidi ya MDH zisifumbiwe macho

    Totally fallacy... Uzi wa hovyo hawa mods sijui wanafanya kazi gani siku hizi. Hao MDH wanafanya kazi cooperating with the Govt hasa wizara wa Afya NGO nyingi hasa masuala ya afya huwa na mkono wake hasa kama implementing Partners kwa kushirikiana na wadau lakini namna ya ufanyaji wa kazi govt...
  3. Charlie_Data_Analyst_GIS

    GE2020 Asanteni sana Kamati Kuu ya CCM kutuletea Deus Sangu jimbo la Kwela - Rukwa

    Hili ni suala nyeti, Rukwa tofauti na sehemu nyingine ina rasilimali zifuatazo ambazo ni unexploited mpaka leo. Rukwa inaweza kusave DR Congo upande wa Karemii ambayo bandari yake ya Kasanga inajengwa sasa ilihitajika kupunguza population ya Tunduma kwa kufungua fursa hii adhimu kwa watanzania...
  4. Charlie_Data_Analyst_GIS

    GE2020 Asanteni sana Kamati Kuu ya CCM kutuletea Deus Sangu jimbo la Kwela - Rukwa

    Nzuri sana hii mkuu kazi kubwa ni kupima uwezo wa elimu ya mgombea husika katika kuifanyia kazi jamii yake hii inaenda sawa na kuunganisha ujuzi wake na mazingira halisi ya hiyo jamii.
  5. Charlie_Data_Analyst_GIS

    GE2020 Asanteni sana Kamati Kuu ya CCM kutuletea Deus Sangu jimbo la Kwela - Rukwa

    *WASIFU WA MGOMBEA UBUNGE WA CCM JIMBO LA KWELA -RUKWA 2020* Jina Deus Clement Sangu mzaliwa wa kijiji cha Laela wilaya ya Sumbawanga (V) mkoa wa Rukwa. *SIFA ZA KITAALUMA* 1. Shahada ya uzamili ya uongozi na utawala(Masters of Arts Governance and Leadership MA GL ) chuo kikuu Huria Tanzania-...
  6. Charlie_Data_Analyst_GIS

    Msaada: Tumetapeliwa!

    [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Sumbawanga hakuna waganga siku hizi labda kigoma Sent using Jamii Forums mobile app
  7. Charlie_Data_Analyst_GIS

    KARIBU UANDIKIWE MPANGO BIASHARA NA MRADI

    Mwaka 2020 uwe wa neema na baraka kwako mteja wetu, Tunawakaribisha wenye uhitaji tukupe huduma stahiki karibuni sana.
  8. Charlie_Data_Analyst_GIS

    Kuna mtu kapigiwa simu ya Internship kutoka MDH

    [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
  9. Charlie_Data_Analyst_GIS

    Kuna mtu kapigiwa simu ya Internship kutoka MDH

    Habari wanajamvi. Kwa wale mliofanya interview za internship data entry MDH kuna yeyote ambaye amepigiwa simu ya kuitwa kazini, anae jua tunaomba atufahamishe.
  10. Charlie_Data_Analyst_GIS

    KARIBU UANDIKIWE MPANGO BIASHARA NA MRADI

    Kwa wale wanao anza biashara wanahitaji kufanya utafiti wa kina na kuweka misingi mizuri ya kuifuata ili biashara iweze kurejesha faida basi, tupo tayari kukuandikia MPANGO BIASHARA kwa bei nafuu kulingana na uhitaji wako. Kwa wenye kuanzisha miradi na wana shida ya kuandikiwa PROJECT PROPOSAL...
Back
Top Bottom