Una maana gan mkuu?kuna wizi wa interview imefutwa
hawa jamaa hawafai vigezo nnavyo lakn hawajaniitaHabari wanajamvi.
Kwa wale mliofanya interview za internship data entry MDH kuna yeyote ambaye amepigiwa simu ya kuitwa kazini, anae jua tunaomba atufahamishe.
me hao nimeamua kuwakaushia tuu maana inatia hasirahawa jamaa hawafai vigezo nnavyo lakn hawajaniita
hawa jamaa hawafai vigezo nnavyo lakn hawajaniita
Hakuna Organization ya kisenge kama MDH
Kuna madudu gani ulikutana nayo mkuu, share it with us....me hao nimeamua kuwakaushia tuu maana inatia hasira
Cha muhimu ni kuingia kwenye siasa tu,Umri unakwenda kazi hakuna......cha muhimu ni watu kushika mabirika ya kahawa pamoja na kashata na kuanza kutembeza,walaji wapo wengi tu.