Recent content by charles passian

  1. C

    JamiiForums Tanzania Pilipili mwendokasi katika kukuza uchumi kwa mkulima

    Nitaomba kujua hasa kilimo cha kisasa kuanzia gharama za uendeshaji mpaka soko lake nipo Morogoro Sent using Jamii Forums mobile app
  2. C

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha miti, hasa Mitiki

    Asante kaka kumbe hekari 30 zitanitoa roho na mie ni kijana ndo natafuta hela Anyway mie sihitaji hadi mbao siwez kuuza ikiwa na 5 yrs shambani ili nifanye mambo mengine
  3. C

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha miti, hasa Mitiki

    Anayejua gharama za ulimaji mpaka uvunaji
  4. C

    JamiiForums Tanzania Wahaya wengi ni wasomi lakini Kagera ni maskini kwanini?

    Acheni ukabila mwalimu aliliona hilo wahaya akawafyelea mbali hahahhahahahahha oya acheni uboya tutaanza kutimuwana mikoani
  5. C

    JamiiForums Tanzania Kuhusu nkinga

    Habari zenu madaktari anayeifaham nkinga hostal nataka kwenda kufanya internship
  6. C

    JamiiForums Tanzania Kuhusu hospital ya rufaa ya kinga

    Jaman nataka kwenda hospital ya nkinga kwa ajiri ya mafunzo anayeifaham tafadhali anisaidie
  7. C

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha matikiti maji (watermelon): Ushauri na Masoko

    Mniadd jaman kwenye GRP la kilimo 0765666926
  8. C

    JamiiForums Tanzania NEW: Tetesi AJIRA WAALIMU

    jamani lisemwalo lipo na kama halipo linakuja! tufatilie
Back
Top Bottom