Recent content by charles mususa

  1. C

    JamiiForums Tanzania DP World waje, tusiogope kushitakiwa nje ya nchi

    Apuuzwe apuuzwe
  2. C

    JamiiForums Tanzania TRC mjitangaze kwa nguvu zote, wakati huu ndo wakati wa kutengeneza jina

    Hakuna Shirika la wagonjwa was akili kama like. Namba yao iliyokwenye website Yao ya TTCL ya uongo. Sasa sikiliza vituko vyao. Nilitaka kukata tiketi 7 na familia yangu ili niondoke 22/12 Moshi kwa ajili ya Christmas na matukio ya kumaliza misiba ya kifamilia ilipofika tarehe 14 nikaingia...
  3. C

    JamiiForums Tanzania Polepole alipuka tena, awajibu Bulembo na Nape

    I salute you avune alichopanda.Nape alivuna alichopanda wakati wa mwendazake.It is the right time for him and his associate Bashiru makonda etc
  4. C

    JamiiForums Tanzania Rais Samia akutana na Baraza la Maaskofu (TEC), Kilaini aelezea Historia yake na utaifishaji wa mashule 1970

    kuna Ile while inapotea St Joseph kule Goba imejengwa na wakristu KWA kuchangia lakini ulizia karo yake wee utakimbia.Shule imekuwa kea ajili ya watoto wa vigogo tu hadi aibu.Kanisa limegeuza huduma za elimu na afya biashara
  5. C

    JamiiForums Tanzania DC Sabaya kuvaa nguo za kipolisi alimaanisha nini? Imekaaje kikanuni?

    mbona watu wakivaa nguo zinazofanana na za jeshi wanakamatwa
  6. C

    JamiiForums Tanzania Tanzania tunajidumaza kiufahamu kwa kutoiamini Kenya

    👍👍👍
  7. C

    JamiiForums Tanzania Tuondoe aibu hii anayosababisha Spika Ndugai

    Na akiondoka mwenyewe walewale jamaa zake CCM wanaanza kumnanga
  8. C

    JamiiForums Tanzania Mashehe wa Uamsho, nani alaumiwe kati ya Serikali ya Rais Kikwete, Magufuli na Samia?

    Huo unaoita utaratibu mbaya Huo ndio uonevu wenyewe
  9. C

    JamiiForums Tanzania Mizengo Pinda: Natamani Katiba ya Tanzania ibadilishwe, ili Rais Magufuli aongezewe muda zaidi

    Sikujua kama huyu mzee ANAWEZA ongea kama mgonjwa duuh hatari
  10. C

    JamiiForums Tanzania Pascal Mayalla: NEC ni Tume huru ya uchaguzi kama lilivyo bunge na mahakama kwa sababu vyote hivi msingi wake ni Rais

    Huu uzi umerudi tena!!!! amedeclare interest kama kawaida?
  11. C

    JamiiForums Tanzania Hivi Lissu akiendesha harambee kanisani kanisa mtamkubalia? Lakini IGP Jana alisema wanasiasa wasitumie mimbari ya Mungu kisiasa

    Mi mkatoliki kanisa hil ilimeanza kuwa la hovyo.Dini no matendo yangu mengine upuuzi mtupu.
  12. C

    JamiiForums Tanzania Washabiki jiulizeni, ni kwanini wanataka 100%?

    Simple logic Paskali Kama refa na kamisaa tayari wamevaa Jezi za Simba na refa anasema kuche kusiche lazima Yanga ifungwe kuwa nini Yanga wasiweke mpira kwapani. Acha ukapuku
  13. C

    JamiiForums Tanzania Askofu Gwajima aushangaa ubalozi wa Marekani kuzungumzia suala la Mbowe aliyedondoka au kuvamiwa

    R Alishafundishwa adabu na Bashite guys mchumuia tumbo
Back
Top Bottom