DC Sabaya kuvaa nguo za kipolisi alimaanisha nini? Imekaaje kikanuni?

Me nadhani kuna tatizo sehemu Fulani, kwa watu ambao hawana dhamana kulisemea ni kazi bure.
Labda tuulize ikiwa wewe ni mmoja wa wanakamati ya ulinzi Na usalama unaruhusiwa kuvaa sare za chombo cha ulinzi Na usalama?

Je mkuu wa police hajaliona hili?

Je waziri lugola hajaliona Wala kulisikia ili?

Me nafikiri tufike mahali tujitambue kiukweli SABAYA Huwa anafanya vitu vya KIPUUZI visivyokuwa Na mbele Wala nyuma.

Presidential representative mjiataidi kufanya vitu smart Kama MH alivowaamini. Mnayofanya kiukweli mnamuaibisha sana.

Kwa mfano ukivaa ivo unamanisha nn au unaongezaka nn?

SOME TIMES IGNORANCE OF YOUR MIND IS PRESENTED BY YOUR STUPIDITY ACTION IN YOUR COMMUNITY.

SABAYA SABAYA SABAYA SABAYA SABAYA SABAYA
YOU HAVE TO CHANGE BROTHER,

Acha vitu vya HOVYO.

KUAMINIKA HUKU INATAKIWA UFANYE MAMBO YA KUHAKIKISHA mh Raisi anakuwa Na uhakika wa wananchi wake kuwa hata asipofika ana mtu anamsaidia.

Nimejiuliza sana sijapata majibu maana hii ni mpya kumuona Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya kavaa sare za Polisi hasa kuona sare hizi ameziandika UVCCM huku akijua sio rangi za chama cha CCM ni nguo za jeshi la polisi

View attachment 1204971
 
Upuuzi tuache sisi au Bunge lililopitisha sheria za nguo yoyote ikifanana na yao ni Ya kwao haijalishi ina nembo lebo wala nini.
Bazi lolote la jeshi huthibitika ni la jeshi fulani panapokuwa na nembo ya jeshi husika.

Acheni Upuuzi.
 
Huyo ni mwehu, anajulikana tokea huko st John aliposomea degree yake.

Kama aliweza kujifanya afisa wa usalama wa taifa, aweziahindwa fanya upuudhi kama huu.
Bahati mbaya ndio Aina ya ma dc jamaa alioamua kuwa nao very useless people.

Hawa Ni wanaribifu tu wa raslimali za Taifa. Ila ndio hivyo tena hata chuo alichosoma kinajieleza Ni kama yule rc aliyesomea ushirica
Mkuu hakujifanya kuwa Afisa usalama wa taifa, bali ni kweli kuwa TISS imeajiri mataahira wengi dizaini ya Sabaya
 
Aliyekuambia kuwa hizo ni Sare za Polisi ni nani? Hawa Watendaji wa Serikali wanaweza kweli wakawa na Mapungufu yao ila nadhani sasa ' Wapinzani ' baadhi yenu Akili zenu zinaanza kuwa ni zile zile za ' Kipa Katoka ' tupu. Nina uhakika hata Mheshimiwa Freeman Mbowe ( Mwenyekiti wenu Taifa ) hawezi kuwa ' Mpuuzi ' na Kuhoji ' Kipuuzi ' kama ulivyohoji Wewe hapa na umemtia sana Aibu. Hiyo Siyo Sare ya Polisi sema kidogo inataka Kufanana na Sare ya Polisi na ndiyo maana unaona hata ' Labels ' zake si za Polisi na ni za Chama Kingine kitu ambacho Kisheria hakuna Kosa. Kwahiyo unataka Kusema kuwa Siku moja Taasisi au Chama fulani kikiamua Kuiga Sare zenu za CHADEMA lakini wakaziwekea Alama zingine utakimbilia tena hapa Kusema kuwa Sare za CHADEMA zinatumika vibaya? Napenda Upinzani na nawaheshimu Wapinzani kwani mnasaidia Kuiamsha CCM ila kwa ' Upuuzi ' na ' Uzushi ' kama huu Wapinzani mnajiaibisha na mnatakiwa mbadilike upesi kwani hamjachelewa.
Yaani wewe unekuja na Id hii umekua mbumbumbu kweli, ko mtu kuuliza tu ni chadema, inamaana uko CCM hamuulizi chochote ni Ndio mzee au?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom