Recent content by charles mgina

  1. C

    Ofa! Ofa!!!! kabambe ya EFD machine (risiti)

    Epuka na faini zisizo na lazima kwa kutumia mashine bora ya kisasa ya Efd machine toka Pergamon. sasa kwa bei ya laki 590000 badala laki 8 utapata machine yako..na unajua nini kingine cha kuvutia kuhusu machine hizi unaweza kwenda mbali na ukwamwachia mtu dukani huitaji kuogopa atakuibia au...
  2. C

    Series (Special thread)

    Series nazokubali 1 the blacklist 2. Power 3. Hostages 4 the following 5 the haves and haves not 6 90210
  3. C

    Nahitaji Korosho

    ebwana mambo vipi] naweza kujua gharama kwa kilo moja na gharaa ya tani moja unaweza kuniuuzia sh ngapi..na je ka pia unaweza kunipa gharama za usafirishaji toka mtwara kuja dar kwa fuso au gari lolote kwa tani moja ni sh ngapi
  4. C

    Nahitaji Korosho

    Na mimi nahitaji koroshooo hata tani moja tuwasiliane 0717178455
  5. C

    Majina ya vitabu vinavyowabadilisha watu maisha yao kifedha ni hivi hapa, 2018 inakusubiri kwa mafanikio

    Nicheki kwa namba ya simu 0717178455 ninavyo vyote vya softcopy naweza kukutumia kwa watsap bila shida
  6. C

    Majina ya vitabu vinavyowabadilisha watu maisha yao kifedha ni hivi hapa, 2018 inakusubiri kwa mafanikio

    Nicheki namba hii mi nitakupa softcopy ya hivyo vitabu no yangu 0717178455
  7. C

    Waliowahi kuomba na kupata Visa tukutane hapa tupeane uzoefu

    Inawezekana huyo mtu unaenda kumvisit sijui ana shidaaa au anasoma afany kazi so wanamashaka we utaoshi vipi kuleeee....maana kuwa na bank statement sio shida wabongo wanaoneshaga statement kumbe hela kaazima akifika kule anarudisha lakin kingine hio milion 30 umetengeneza kabla angalau ya miez...
  8. C

    Mayai ya kisasa tray 100 yanauzwa

    Tuma no kuna biashara fasta
  9. C

    Ofa Machine ya.juice ya miwa ya umeme 700000

    Pata machine ya juice ya miwa ya umeme bado mpyaaa bei poa kabisa 700000 tu imetumika mwezi mmoja tu ....machine ni ya umeme ipo katika hali nzuriiii no ya Piga simu 0717178455 bei laki 7 tu Piga simu 0717178455
  10. C

    Hydra Form Brick Making machines

    Nenda ubungo pale opposite na shekilangooo kule nyuma kuna makampuni ya kichina mengi sana wanauza machine za kufyatulia matofali kila aina pale na kila aina machine nyingine xa ujenz
  11. C

    Nahitaji mashine ya juice ya miwa

    Nitafute nitakupa machine idea na biashara ilivyo namba yangu 0717178455
  12. C

    Nasupply asali na pilipili mbuzi

    Kampuni ya ck product ya dar_es-salaam tegeta tunapenda kuwafahimisha wale wote wa penzi wa pilipili kaliiii yaani hot chill na pilipili isiyowasha sana yaani mild chill ck tunasupply pilipili kwenye maduka mbalimbali ya pilipili kwenye masupermarket bakery maduka ya jumla maduka ya rejareja...
  13. C

    Shamba lenye hekar 30 linauzwa mkuranga

    Pata shamba lenye hekari 30 linauzwa mkuranga limepimwa lina minazi zaid ya 10 mananasi na mpunga matikiti na mazao na mikorosho zaid ya 20 lipo mkuranga bei ni poa kwa zaid tuwasiliane kwa simu 0717178455
  14. C

    INAUZWA King'amuzi cha Apple kinauzwa

    Ebu fafanua kidgooo ikiwezekana tuwekee televishen gani ukiwa nacho unaweza ukazipata na pia fafanua unaposema akitumii malipo ila kinatumia bando ya nini tigo airtell halotel au voda.na je tunapataje na sh ngap tuwlezeee kidogooo mkuu maana na mimi nilikuwa.natafuta kingamuz
  15. C

    Mashine ya juice ya miwa

    Sasa nenda kaulize mahali kama machine ya miwa mpya hata zile za kuetengeneza kariakooo ni sh ngapi shida sio jinsi material waliounda kaka lyamber shida vile vifaaa vya kutengenezea machuma motor zile.na vitu vingine ni gharama bro
Back
Top Bottom