Recent content by CHARLES MGANDA JOHN

  1. CHARLES MGANDA JOHN

    Kuelekea siku ya Afya ya Akili Duniani

    Hata Mungu huheshimu maamuzi na uchaguzi wa mwanadamu. ndiyo maana akampa utashi!
  2. CHARLES MGANDA JOHN

    Kuelekea siku ya Afya ya Akili Duniani

    Nazungumzia afya ya akili mkuu, kutoboa, maisha marefu ni jitihada na kudra!
  3. CHARLES MGANDA JOHN

    Kuelekea siku ya Afya ya Akili Duniani

    KUELEKEA SIKU YA AFYA YA AKILI DUNIANI POMBE NA AFYA YA AKILI Kila ifikapo tarehe 10 ya mwezi wa 10 kila mwaka, dunia huadhimisha siku ya afya ya akili duniani. Nikiwa kama mdau wa Afya ya akili, naomba nichangie kwenye eneo moja kwanza la Pombe na Afya ya akili kwa sasa! Kwa kifupi sana...
  4. CHARLES MGANDA JOHN

    Kuna uhusiano gani kati ya wenye nyumba ndogo kuwa na msongamano wa watu?

    Mwenye watoto wachache labda anayo nafasi kubwa ya kujijenga zaidi kiuchumi kwa kuwa pesa zake hazina tegemezi wengi.
  5. CHARLES MGANDA JOHN

    Tukumbushane maisha ya UDSM enzi hizo, wazee wa Bibo na Main Campus

    Umenikumbusha mbali Sana mkuu. Kwa sisi wapenda gospel Basi kule mabibo hostel uwanjani palikuwa hapatoshi! TuliPiga maombi Sana usiku, ila Kuna watu walikuwa wanagongana hadharani huko mida ya usiku! Kuna inshu iliibuka baadae kwa jina la "Muamala" sijui Nani anakumbuka?
  6. CHARLES MGANDA JOHN

    Mke wangu kanificha mengi, naomba ushauri

    Ni Kama tabia ya wife wangu kabisa. Inakera sanaa
  7. CHARLES MGANDA JOHN

    Jinsi nilivyopitia na kushinda wakati mgumu kimapenzi...

    Mimi nshakuwa field Marshall wa kuumiza na kuumizwa! Hongera mkuu kwa ujasiri
  8. CHARLES MGANDA JOHN

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    ANAYETAKA KUJA SENGEREMA MIMI NIJE MBOGWE GEITA
  9. CHARLES MGANDA JOHN

    Mtu akiandika hivi huwa najisikia hasira

    Xaxa vp mxhikaji Wang? Huwa natamani kupasuka
Back
Top Bottom