Jinsi nilivyopitia na kushinda wakati mgumu kimapenzi...

Mimi bwana wanawake wetu sijui wanawazaga nini

Eti anaweza kukuacha kwenda kwa mwanaume mwingine halafu akarudi kwako nakuamimi kabisa eti unaweza kumpenda kama mwanzo.


Nadhani hii ni moja ya assumption ya kipuuzi sana kuhusu hawa wenzetu...
Mimi wakirudi najipigia free p tu yani hata akiomba vocha situmi,mwisho wa siku anasepa bila kuaga
 
IMG_5445.JPG
the other gender bana
 
Pole sana brother, najua ulipitia wakati mgumu sana, ila hakikisha usimpe nafasi ya kuonana na wewe, anaweza hata kukuloga na ukajikuta uko nae tena,
Yalishanikuta hayo usimpe nafasi tena
 
somehow i understand her, wanawake tuna shida moja, tukipendwa saaana kwetu ni shiiiida, sijui tatizo ni nini jamani? yani wengi tuko hivyo, badala ya ku appriciate ukalijenga lile pendo lidumu utafanya juu chini uharibu, vituko haviishi, tena vya makusudi, ujinga mwingi alimradi umejua jamaa hachomoi

Ni kawaida, inatokea hivyo bcoz ww kama mwanamke, unakua huna hisia na huyo jamaa aliekupenda, hivyo usijilaumu sana mrsleo
 
Habari wanaJF wote humu ndani.

Nitajitaidi kusumarize topic ili nisiwachoshe,but main point zote nitawapatia. Hii ni mada yangu ya kwanza kuandika tokea nijiunge na JF so mtanisamehe kwa mistakes ndogo ndogo zitakazojitokeza kiuandishi.

Nakumbuka ilikuwa mwaka 2016 ndani ya mkoa fulani hapa Tz ndio kwanza muda huo nikiwa nina kama 8months tokea niajiriwe Serikalini. Niko katika matembezi ili niweze kuufahamu zaidi mji huo macho yangu yakakutana na mtoto mmoja wa kike mfupi kiasi,black but beauty, shape nzuri sio ya kuudhi watu ya kumtosheleza yeye na mwenza wake. Naaam moyo wangu uli-hit at the maxmum point na kutulia kabisa,akili yangu ilitafakari uzuri wa msichana yule na finaly ilikubali its true huoni vibaya she is beauty.

Nikajitaidi kuzuia hisia zangu coz wasichana walikuwa sio hulka yangu, nashukuru akapita nikapita nikaenda zangu

Nilifika nyumbani jioni ile nisiwe muongo nilimkumbuka msichana yule but sikujali sana kwa sababu sikuwaza kama kuna siku nitaja onana nae tena.

Nakumbuka ilikuwa zimepita as 2 weeks niko maeneo yangu ya kazi (Hospitali ya wilaya mkoa huo) niko consultation room aliingia yule binti kaja kutibiwa. Nilimuatend akawa kaenda laboratory nami muda wangu wa kazi ulikuwa umeisha, ile natoka getini nakutana naye tena anatokea nje katoka kununua vitu fulani, aliniita akaniuliza ndio unatoka Dokta? Nikamuambia yes, akaonesha kutaka msaada fulani kama unavyofahamu hospitali zetu za wilaya wagonjwa ni wengi sana. Nilirudi nae mpaka maabara kwa bahati nzuri majibu yalikuwa tayari nikachukua nikaenda kummalizia matibabu maongezi kadhaa yaliendelea na finaly tulibadilishana namba za simu.

Mengi yalitokea katikati tukajikuta tayari kila mmoja kampenda mwenzake mapenzi yalianza. To be honest binti alinipenda to the maximum nikajikuta nafahamika hadi kwa mama yake na baadhi ya ndugu zake, pia nikajikuta nami nimempenda kufa aseme nini kilicho ndani ya uwezo wangu asipate.

Anakuja kwangu anafanya kila kitu nachotakiwa kufanyiwa kama mwanaume hakuwahi onesha any bad dot kwa wakati huo yeah inshort nilipendwa mwenzenu mpaka nikawa nahisi hakuna anayependwa kama mie.

Ushauri wa kimaisha sasa haha utapenda, nikitumia pesa hovyo anakua mkali. Mwanaume nikajisemea Mashaala'h Mungu kanipa mwenza wa maisha.

By that time alikuwa kamaliza form 6. Muda uliwadia kwa yeye kwenda University dah siku anaondoka nakumbuka alishinda kwangu siku nzima analia et anahisi nitapack kwa mwingne siku ilikuwa mbaya kwangu pia coz niliyempenda naye ndio hivyo anasepa. Ilikuwa haina jinsi mengi tuliongea na kupanga. Kila mmoja aliapiza kumsubiri mwenzie,,hahahaa ila mapenzi nyie we sikia tu.

Nakumbuka mpenzi wangu kipenzi kwa wakati huo alifika chuoni mawasiliano frequently hayapiti masaa ma3 bila kujuliana hali,yes tulikuwa kama wahindi wa Mumbai vile. Mwaka wa kwanza akamaliza akarudi home nilienda mpokea akaja kwangu Direct mama yake alikuwa anajua hilo kuwa mwanaye kaja na yuko kwangu coz alikuwa ananielewa sana alitunza siri kwa mzee mpaka siku 3 zilipita ndipo akaenda kwao.

Picha linaanza aliporudi chuoni mwaka wa pili kuna jamaa akaanza kumtokea kipenzi cha moyo wangu mwanamke akawa anafoward text zote za yule jamaa kwangu, na-mind yu that kipindi yuko chuo nilikuwa nikipata any break kazini au hata semina nilikuwa ni lazima nifike mpaka huko chuoni kwao, atakuja ninapofikia kwa siku zote ambazo mie nitakuwa hapo so kupitia hilo nilitambulishwa na kwa rafiki zake pia.

So wakati mpenzi wangu anatongozwa kuna rafiki yake alikuwa ananipatia A-Z coz yule rafiki yake alikuwa akinikubali sana kwakuwa nilionesha kumjali sana yule binti kwa muda wote ambao yuko school. So at the end mpenzi wangu jamani alianza ku-date na yule mwanafunzi mwenzake nami nikiwa najua kila kitu.

Yule rafiki yake alionesha kuumia sana kwanini rafiki yake anafanya vile hali ya kuwa ana mtu ambaye anamjali kwa kila kitu.

Mpenz wangu alibadilika fulani. Kuna siku yule rafiki yake alichukua simu ya Baby mama wangu akascreen shot charting baadhi akaniwatsap. Alimsihi sana rafiki yake aachane na yule mkaka lakini wapi mpenzi wangu hakusikia.

Nikiwa kwenye maumivu makali bila ya kumuonesha dalili zozote kuna siku nikapata safari ya kikazi hapo hapo ambapo yeye alikuwa anasoma, sikumtaarifu nilifika nikafanya kilichonipeleka siku 2 kabla ya kuondoka nikamwambia kuwa niko hapo mjini i need her. Alitahamaki akasema yuko busy kidogo atoweza kuja. Sikutaka kuonesha signal mbaya sikutaka afahamu kilichokuwa kinaendelea.

Sasa bana baadaye akajistukia akasema atajitahidi aje lodge coz haitokua vizuri nikiondoka bila kuonana naye. Alikuja mida kama ya saa mbili usiku after then akafunga simu tukalala. Saa saba usiku niliamka nikachukua simu yake nilipewa password na rafiki yake Sub'hanallah niliyoyaona yabaki siri yangu nilichukua vitu kadhaa nikajiwhatsap.

Asubuhi nilikuwa ngangali sikutaka afahamu chochote, aliondoka kwenda chuo nami nikaanza safari kurudi mkoani.

Siku iliyofuata nikamfowardia zile charting na vijipicha vyao mwishoni nikaandika Its over mapenzi yaishie hapo.

Jaman wewe sikia tu, niliumia sana nilihisi kufa. Kwa mara ya kwanza nililia kisa mapenzi nilijihisi naweuka na nilikuwa namaanisha. Aisee alichanganyikiwa yule binti simu zake nikawa sipokei txt sijibu. Simu za watu wa karibu zikaanza mara rafiki yake ananipa ripoti kuwa binti kutwa nzima hajashinda chuo na hata vipindi hajahudhuria siku mbili nijitahidi tuyamalize nikasema noop.

Aisee inshort nilipigiwa simu nyingi sana ndani ya siku zile mbili sijui hata namba ya Brother angu aliitoa wapi brother naye alinipgia akinisihi tuyamalize. Nikaona isiwe kesi niliamua kumsamehe tokea moyoni kwanza yeye sio wa kwanza kufanya ushenzi huu. Nilichuka simu nikampigia akapokea ile anapokea anashindwa kuongea analia tu, neno ninaloliskia "nisemehe mume wangu nadhalilika mimi". Dah nilimuonea huruma sana..nikamtaka arudi hosteli kwanza then akifika hosteli anitaarifu nitaongea nae. Alifanya hivyo ndani ya muda mfupi alikuwa hosteli, alikuwa wazi kwa yote,nilimsamehe..ukurasa upya ukaanza. Maisha yaliendelea

Finaly binti alimaliza chuo mwaka jana 2019 akarudi home huku mkoa, sasa alipokuwa amerudi alinikuta mie pia kuna sehemu nyingne nafanyia kazi kituo cha afya fulani hivi private so nikitoka Government naenda private nikawa niko busy sana na kazi through out the week kupata siku nzima kuwa free ilikuwa may be siku moja au isipatikane kabisa,yote hii kutokana na kupambana ku-make money pesa ndio kila kitu bwana.

Basi bana second round ikaja kuna jamaa mmoja hapa town akamuelewa mpenzi wangu akaanza kumtokea mpenzi wangu mimi tena, Dah nikama gundu kwenye hii safari ya mapenzi. Kwa kifupi jamaa alifanikisha kumpata mchumba wangu at that time nilikuwa sijui lolote coz kama nilivyosema nilikuwa busy sana though nilijitaidi sana kutafuta muda wa kuwa nae japo mara mbili kwa week. Aisee usisikie kuachwa kwa kustukiza.

Nakumbuka that Day Bint alinitumia txt nikiwa niko home"aliniita kwa jina langu Akasema Nimempata nimpendae,Mungu kanipatia wakufanana nae,ahsante kwa mda wote niliokua naww 3 yrs hujapata niumiza,ulinifanya kua mwenye furaha mda wote,ulinijali nakuijali familia yangu pia,nikutakie kila lakheri kwenye safar yako ya maisha,mungu akupatie mke sahih wa maisha yako kama mim nilivyopata bwana sahih bye"..Aisee nilihis naota..nilihakikisha ile no ikawa yenyew nikahis naota nilinawa maji uson nikajua nikweli haukua usku ndio kwanza saa sita mchana...nikasema noop may b anatania nikapga sm alipokea nikamuuliza Mamy sm yako unayomwenyew akajib yap,txt umetuma mwenyew akijb kwa kujiamin kabisa yap,nikamuuliza umefikilia kwa undan au ata kuomba ushaur kwa watu wako wakaribu kwa huo uamuz wako akajibu Yap...na akaongezea kua hana hisia namim kabisa kwa wakati ule...

Dah kidume nilishindwa kuendelea nakaz maskin nikaomba hudhru kwa incharge nikajizoazoa mpak home nikalala kitandan,..Nakumbuka nikaweka ile nyimbo ya Bright Subira nikawa naisikiliza ilinipa fellings mbaya sana nikalia kwa mara ya pili kisa mapenz..nikasema noop nikampgia sm yule mchumba angu sku yapili aje home skuingia tena kazin sku iyo niliwaambia naumwa niluchukua ED 2 days kazin kwa wanavyonifaham mchapa kaz sana mpk walinambia aisee ww kwel unamwa mpk umeshindwa kabisa kuja kazin sio kawaida yangu kuchukua ED zakipuuzi..bas next day alikuja Nikajikuta naomba msamaha bila ya kosa nikimsihi asiondoke nililia mbele yake nakupiga got pia aisee nakumbuka nilionyesha udhaifu mkubwa sana mbele yake mpaka nikikumbuka leo hii nacheka...Bint hakuonyesha kujali aliongea maneno meng sana yalioniumiza,

Nuru ilipotea kabisa uson mwangu,week yakwanza ilikua ngumu sana kwangu,nilidharilika mim watu waliokua wakimuona mpenz wangu akiwa na mtu mwngne waliniuliza,yeye alikua comfortable kabisa dah Niliumia ata sijui nisemeje jaman..nakumbuka kula kwangu ilikua shida mpka rafik zangu wakaribu ambao niliwaambia A_z yaliyo tokea ilibid watumie nguvu nying sana kunifanya nirud kawaida kwanza...nakumbuka kunasiku niko home saa 7 usiku Usingz aupand nilienda Night club kwa mara yakwanza tena nikiwa pekeangu..ilibaki kidogo sku ile ninywe pombe nashkuru mungu alinisimamia skugusa pombe nilirud home sa kumi na moja asubh...inshort nilikua ktika hali mbaya sana sana...kwa bahat nzur ndan ya uo mwenz Annual leave ilikua inaanza nilichukua likizo nikaenda home...nilijitaid kuficha chochote kisijulikane home lakin kama unavyojua mzaz kwa mtoto ake mama aligundua kijana ake sko sawa alinibana sana ilibid nimpatie tu ukweli.

Cha kushangaza Mama hakuonyesha kujali..alitabasam akaniambia mwanangu wakat uliopitia ni wakat muhim sana ktk safar yako ya kupata mke wakweli sasa nadhan umetambua wasichana wakoje umekua mwanangu...likizo iliisha nilirud kazin....niliichuka sm niliirestore factory nilifuta kumbukumbu zote...nikajiapiza kuanza maisha mapya..

Marafik zangu walifurahi sana kuniona nikiwa nimerudi kazin mda mwng walinipa company niseme ukweli walikua watu muhimu sana wakati huo...ahsanten sana marafik zangu Patrick and Kitashika...

Taratibu nilianza kurecover...nikaapa nitakaa single atleast for a year ndipo nianze kufikilia kua na msichana may b kama kutakua na umuhim..

PICHA LINAANZA miez kama mi 4 tu tokea tuachane nayule Mdada kuna siku niko job nikoana no Ngen inanichek nikapokea Diiih nikasikia saut ya yule mdada ananiita kwa jina langu,coz nilikua naifaham sauti yake,kwa kibur nikamuulize ww nan akajitambulisha oky nikusaidie nin,nikaongea mwa saut ya chin kabisa akanambia anaitaji kuonana namim nikamuambia kama alivyokua anajua ratiba zangu niko busy sana na nikweli niko busy sana...may b nitatafuta mda nmpigie tuongee kuonana itakua uongo may b asubr sku 3 mbele itakua j2 nitakua off...akasema nimchek nikitoka job...nilifanya ivyo by sa mbili usku nko ome nikamtext chap akapga inaonyesha alikua kakaa sm mkonon anasubr sm yangu...Ebwana eee akanza et alikosea sana kuondoka kwangu,anahis mungu kamlaani kwa unyama alionifanyia, ndugu zake, marafik zake wote hawaishi kumsema.

Anakiri alikurupuka kwa maamuzi aliyoyachuka hana aman kabisa na uyo mtu alie nae..kwanza ananyanyasika,mda wote akili yake iko kwangu japo kimwli yuko uko aliko..inshort aliongea mengi aliomba sana sana sana msamaha,mambo yalikua mvurugano uko aliko Jamaa ake alikua player boy kichizi akaanza kujiliza...skujibu kitu nilikata sm nikamtxt im so tire i hv to reast..akapiga tena skupokea sm ilipokata nilizima sm nikalala..kama kawaida sku iliyofuata akanitafuta asub sana nikiwa najiandaa kwenda kazin nawasha sm tu nikakuta txt nying sana....nikamjibu kwa txt Mda wako ushapita ww bint Baki kwa uyo mtu wako au tafuta kwngne sio mim tena...bas ile j2 akaomba aje home kwangu nikamkaribisha kwa shart moja sitokua pekeangu takua na rafik angu...nilipomuadisia jamaa yangu alicheka na kushangaa sana akanambia,mim skushauri kitu ila kumbuka dharau za yule bint nawakat uliopitia,

ww mtu mzm maauzi juu yako...bas j2 bint akaja aisee alilia sana alitutaka sana radhi mie na rafik angu..but rafik angu hakujib lolote zaid ya kumuambia yy hawez kumsaidia kwa lolote aongee na mim binafsi...

Nilimjibu jibu moja yule bint"Mungu amekupa wakufanana naww na uyo ndie mume wa maisha yako so ni jukumu lako kumbadilisha mumew kua vile unavyotaka wewe."bint aliondoka kurud kwake uku akijitaid kutuma watu kadhaa kwangu wote niliwapiga chin mara hii sikutaka kusikia la mtu yeyote..bint alikua akitofautiana na uyo jamaa yake ananichek kuniomba ushaur na kulalamika kwangu haha mi namchora tu...Nakumbuka mara ya mwsho alinambia ivi.."Katik maisha yangu yote sitokuja kukusahau ww mwnaume,nitakumis sana najua..Naomba uniombee nami nije pata tena mwanaume atakae nijali na kunipenda kama ulivyofanya ww,nam nakuombea uje upate mwanamke wa ndoto zako."

Mara kadhaa amekua akinitafuta kunipa hi akinikumbuka mara chache huo tunaonana mtaan..
...safari yake na yangu iliishia apo...naleo ndio nmetimiza mwaka mmoja tokea Niachane na uyu mdada.. maisha yangu yamerud kawaida sana..kupanga ni kuchagua
Polen kwa kuwachosha..
I'M THE WINNER ON THIS BATLE.
Duuuh mbon story zinafanana,ila tofauti kidogo tu Kuhus kulia,kuomba msahama,na kuwaaambia marafiki..mie niliugulia mwenyew hakuna anayejua labda nyinyi sasa...nilijifarj kwa kwenda sehem za starehe nisizowah kwenda nae na kuzichakata papuchi mpya za kipare,kipemba,kichaga,kisomali na kizaramo
 
Kwanza pole kwa mshikemshike wa mapenzi.

Pili wewe ni boya kwa sababu zifuatazo:

1. Bado hujakua.
2. Mwanamke hasomeshwi, una bahati hujajinyonga.
3. Mwanamke msamehe kwa yooote ila sio kucheat.
4. Ni daktari lakini una swaga za kiukondakta, no wonder ulidate na mteja wako.

La mwisho ashakum si matusi.
2&3
 
Mwanamke mpende, muheshimu lakini usimfanye ajione kuwa wewe kwake umefika

Mimi hapa demu wangu amenitumia msg tuachane,, mimi nilijua anaomba hela

Wewe piga sepa mzee maisha ya kubembeleza yamepitwa na wakati
 
Ha ha ha ....Pole Sana mkuu
nakumbuka niliwahi samehe mtu alienza kuchiti baada ya kuomba msamaha Kwa chozi zito na marafiki kibao kuniambia maneno ya kuniogopesha ......

huruma ikaniingia nikajikuta sharkan nkasamehe .....Ebhneee huko mbele mwamba nimejaa sina mambo mengi nategemea nichukue jiko si akaja pindua meza ....... dah nliumia kweri kweriiiii

ila maisha yameendelea yalishapita ni mwaka sasa...
 
Wee!! Daktari siyo mtu mzuri kwa nini hukumsamehe mwenzio? anakulilia anakubembeleza mtoto wa kike kwa kitu kidoogo hicho kweli? labda hukumpenda huyo!! Mwenzako Mage nilimsamehe! na kiroho pwakuu! swafii!

Yaani ile anajibembeleza pale mapokezi jinsi ya kujirudisha kwangu, huku tayari limesha simama long time!! nasema tu huyu sijui nimpinde hapa hapa kwenye Mabox haya?? kwa nini nijitese na mtu amerudi mwenyewe!!! watu wengine km dawa vile!!

Sasa nakwambia Mage alijirudisha bana Mweee! tena akanisaidia lipa mahali nusu kwao! nikasema hapahapa! ndo najitibu hivo! piga mashine mpaka akachakaa kabisaaaaa!!! na vitoto2 juu! shenz type Taaatibu nikaibua mashine nyingine Mpyaaa! km mwanae wa kumzaa! mbona alizimia!!!

Kimoyoni nikamwambia namimi nilikuwa hivohivoila sasa zamu yako tambaa na wanao ukitaka kaa au waache! duuu alipata tabu yule dada hata nisahau kudadaadekii! huyo uliweka hasira tu mbele , vipimo si unavyo? Maabara?

Madaktari sometimes mnapimaga wenyewe! ungempima tu asijekukupa ngoma! unakuwa mpole!! piga mashine hasa mpaka uache kumbukumbu hapo!!! mwambie sasa tambaa vizuri ukitaka ! itauma mke km hujamzalisha!

Siwezi kukubali mwanamke nimpende aondoke hivi hivi tu, na huyo fara lazima alee watoto wa mkewe!!! huwezi ondoka bila mimba yangu, nikikupenda lazima wende na mimba mbili!! huko mbere utanitafuta tuu halafu ndo zamu yangu kulinga sasa! utakomaje?

Utanibembeleza mpaka utanibeba hawa wana wake hawa!!! sasa huyo sahau umesha mpoteza, ungepiga mashine mpka asikusahau maisha yake yote!! ... hapo mkuu ungeroga hkn ambaye angekutenda tena lkn hapo atakuja mwingine ni hivohivo!

Kosa mnalofanya vijana wa kijiji! show off !! mara twende kwa mama akujue, mara rafiki zangu, sijui dada zangu!! wewe mjuane hukohuko kimya kimya !! tu, ukisha pata team ya kutosha unajua huyu hata akichomoa ataonekana kituko, haendi mbali hapo oa sasa!!

Siyo unapata week moja tu kila mtu amesha jua, big no!! tunza respect yako ikibidi kuwa nao hata watatu wanne hivi! wenye tabia tofauti tofauti ili mradi unatafuta... rhuksa!! yaani huyu akibandua huyu anabandika tena rafiki yake awemo! sasa! hkn stress!

huyo demu wako ndo alivo fanya wewe ukaka kikristu!

Tena Daktari si ndo kabisaaa, Hosp, Maweee nyama ziko kila mahali, hapo OPD si wanakuja Malaika wengi tuuu! tena Vinchachuda vidogooo! vya primary na shidazao Waarabu, Wagunya! Wahindi, Wazungu, foreigners kibao, Tena wenye hela zao, amabo waweza kukuiba Toka Hosp hiyo!

Sema ulikuwa domo zege tu Hswaaa!!! au siyo Dr wa kweli! Drs hawaliagi njaa za mademu wale! ooh! vinurse vyoote hivo, tena bandika bandua leo vipo kesho wanakuja wengine, jamani female Drs wenzako, tangu chuo hukuwaona?, Basi hata wafagizi vidogooo? wazoa taka wapo wadogo wazuri!, wapishi aah bana weee! wadad wa maabara tena una fanya Hospital mbili tofauti!! mpaka umpate wa nje iko kazi. wenyewe ke wanafikaga bei mapema tangu una hamia , wewe siyo Daktari halisi labda!

Walahi huyo demu ana bahati sana kukupata weye domo zege ningekuwa mimi! heee! wala sigombani nae! wala simususiii, wala simuonyeshei jinsi navojirusha na mademu wengine, wala hatajua chochote kunihusu.

Nakuwa mpoleee asije akaghairi akanirudia! atajua baada hata ya miaka 3 hivi mbele huko kuwa jamaa ana maisha tofauti! tena ya juu zaidi, Kumuacha mwanadamu hasa mwana ume mwenye taaluma yake inahitaji taaluma na maandalizi makubwa sana. hachakai kadiri ke unavomuacha ndo anazidi kupendeza na kuwa juu!! ke anazidi kuwa chini!

Mshukuruge
 
Dah! Safi sana kijana ,nimesoma huku Nina maumivu moyon utafikiri nini mimi.
 
Back
Top Bottom