Recent content by Charles Makunga

  1. C

    JamiiForums Tanzania Nini dawa ya muwasho sugu sehemu za siri?

    Bro pole sana, nicheki 0627627138 nikupe dawa, siku 7 utakuwa umesahau hiyo shida kabisa
  2. C

    JamiiForums Tanzania Its an advice request

    Chuo gani hapa Tanzania ntapata kusoma Postgraduate ya masuala ya Policy? Msaada please
  3. C

    JamiiForums Tanzania Mikataba kwenye ajira binafsi

    Hawa waajiri hasa waajiri wa kigeni (foreigners) hawapendi kabisa ishu ya mikataba, wanapenda kuajiri kisela sela sana, yaani mnaelewana kwa mdomo tu kwamba mtalipana kiasi fulani cha pesa kwa muda fulani basi. Sasa changamoto inakuja kwenye malipo ni kasheshe, wananyanyasa sana wafanya kazi...
  4. C

    JamiiForums Tanzania Kozi gani umesoma ambayo huwezi kumshauri mtu mwingine aisome?

    Ni kweli, TCU sio wajinga wapitishe kozi af isiwe na maslahi kwa wataoisoma!?. Mi naona kozi zote zina tija na itategemea na wewe mwenyewe ulieisoma io kozi utavo pursue changamoto na ku win. Sent using Jamii Forums mobile app
  5. C

    JamiiForums Tanzania Kwa nini serikali isiruhusu waTz kucheza vodeo za X?

    Yaan wabongo mkiona typng error mnaikamiaa, na ushajua content inamaanisha nini
  6. C

    JamiiForums Tanzania Kwa nini serikali isiruhusu waTz kucheza vodeo za X?

    Ni sawa wametupita sana, ila nadhani ni muda sahihi wa kutupilia mbali ile dhana ya kwamba tutunze maadili, honestly maadili hayavunjwi kwa issue kama hii, maana video za X zipo mtandaon nyingi za nchi za nje mtu yyt anaweza kuingia na kuangalia at same time anaiingizia pesa nchi maana anatumia...
  7. C

    JamiiForums Tanzania Kwa nini serikali isiruhusu waTz kucheza vodeo za X?

    My main aim is, uwepo uhuru wa mtu kutengeneza website, utafute watu wazawa ama watu wa nje ya tz, wacheze X then upost kwenye website yako watu waangalie then upige hela! i think ni wazo zuri maana utalipa kodi kama kawaida na uchumi utaongezeka, na pia vigezo na mashart kuzingatiwa, mfano...
  8. C

    JamiiForums Tanzania Wale tuliochaguliwa UDOM 2016/2017 tukutane hapa

    kuna vilivyopo brother, acha kuwakatisha tamaa wenzio
  9. C

    JamiiForums Tanzania Naomba wa Ushauri: Kwa Machaguo Haya Nitapata Chuo?

    babuu chuo utapata apo hii round we andaa mapene tu
  10. C

    JamiiForums Tanzania Wale tuliochaguliwa UDOM 2016/2017 tukutane hapa

    kupata updates za chuo na maelezo mengine meeengi, karibuni sana UDOM hop hamtajuta kuchagua UDOM
  11. C

    JamiiForums Tanzania Mtakaopangiwa UDOM mtafurahi sana hakuna kubebana

    wale walio chaguliwa UDOM wekeni namba zenu hapa niwa add kwa grp la watsapp mpate update za chuo chenu
  12. C

    JamiiForums Tanzania Bodi ya Mikopo yakaribisha maombi mapya ya mikopo kwa waliopangwa UDOM Special Diploma

    Dah ivi na sisi wa degree ambao hatukuomba mwanzoni tutapata hio nafasi tena?
  13. C

    JamiiForums Tanzania Tuliochaguliwa UDOM tukutane hapa

    lipo mkuu,, weka namba ako tu wata ku add
  14. C

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu ulipaji ada 1st year UDOM

    dah asee we man ni kweree asee daaaah,,.. hahahaha unaenda soma koz gan man?
  15. C

    JamiiForums Tanzania Tuliochaguliwa UDOM tukutane hapa

    Hii ni kwa wale wakak na wadada walio chaguliwa UDOM na continuing students , TUPIA hapa namba ako ya whatsaap uunganishwe direct kwa group ili ku share ideas
Back
Top Bottom