Recent content by Charles kisengo

  1. C

    JamiiForums Tanzania Ufahamu mfuko wa uwekezaji UTT

    Asante mkuu
  2. C

    JamiiForums Tanzania Ufahamu mfuko wa uwekezaji UTT

    Nataka kwenda kuwekeza hapo UTT... UNIT TRUST OF TANZANIA........ kwa ambae anawafahamu zaidi hawa majamaa naomba anijuze zaidi.... Vipi hamna magumashii na uswahili??
  3. C

    JamiiForums Tanzania Hapo mwanzo mtu alimuumba Mungu kwa mfano wake

    Rudi nyuma shetani huu ki kwazo kwangu
  4. C

    JamiiForums Tanzania BA. in Economics and Sociology

    Habari zenu wadau, Naomba kuuliza kwamba hii kozi ya Bachelor of Arts in Economics and Sociology ambayo inasemakana inatolewa chuo kikuu cha UDOM tu. Je mtu akisoma kozi hii ndio anakuja kuwa nani akimaliza au atafanya kazi zipi za kuajiriwa??? Asante
  5. C

    JamiiForums Tanzania Hivi Lowassa akikataa kutimiza ratiba kugombea Urais 2020 nani atawakilisha upinzani?

    Kwa hii spidi ya mh rais kama ataendelea nayo hivi aisee ata asimame nani 2020 mh rais atashinda kwa hawamu ya pili tena kwa kishindo
  6. C

    JamiiForums Tanzania Swala Tano na Walokole mnazingua maofisini

    Too much is harmful....ata Yesu na Mtume walifanya kazi...
Back
Top Bottom