Duh umenitisha mzee umeweza kukaa miaka miwili ukarudi tena kambini,mimi nina siku sita sijanywa najiona kama niweza kabisa lakin kwa kauri yako inanifanya na mim nisijiami make sio mara ya kwanza nasema hivi.
Kiukwel naomba mungu anitete pombe ndio naweza kunywa nyingi sana tu lakn tatizo...
Hahaaa you are not alone my brother,mhmm kiukwel ujinga wa pitiliza vitu kisa pisi kali kumenicost sana sema mim namba napewa [emoji23] shida inakuja kwenye utekelezaji.
Hahaaa mimi kuna bar nilitangaziwa kwamba sisimamishi sijui shoga.
Ujue kila mtu anastarehe yake,mimi nishajiona nikilewa tu napenda nikapumzike peke yangu usingizi mzuri kesho niendelee na kazi.
Kuwapa tips dada zetu wahudumu naona ni kawaida au kuwanunulia vinywaji sema wao sijui wanchukuliaje...
Uoga wa kiboya kiasi iki mwanamke hawezi kukuheshimu ata siku moja.
Mim nipo napata bia zangu niambie rudi nyumbani saa hii.
Hahaa mim hapan ukwel upole ukizidi ndo unaambiwa vitu kama ivyo
Napenda sana kumuoa mwanamke ninae mpenda kutoka katika uvungu wa mungu wa moyo wangu,love is a beautiful nasema ivyo sababu nimeshawai kupenda na haizidi mara tatu katika maisha yangu.
Kiukwel hamna kaz kama kupata mtu nyote mnapendana
Hivi vigezo bhana wanaweka lakn mwisho wa siku unakuta mtu anakitu special kiasi kwamba ivyo vitu unakua upendi kwa mtu lakn utavumilia tu.
Mahusiano yangu kama matatu manne ya serious wadada wote nilokua nao walikua hawapendi wanaume walevi,wavuta sigara na rafiki yake sigara lakn nilikua...
Kupenda husipopendwa,
Moyo wangu sipendi kuumiza kiukwel,
Napenda kukeep positive enegry ndani yangu kiasi nikiona sehemu hamna dalili ya kupendwa siwez kutumia nguvu ata kidogo naacha iende.
Mzee haingiagi whatsApp mara kwa mara sasa siku moja nikaona nikaona kaview status yangu sasa nikamuuliza huna bango leo... nikaona ona nimekosea kuanza ikabidi una sasa ile kuandika nikaandika una bangi duh afu na sio hiyo nilikua nakula vitu vyangu mhmm hapo hapo simu ikapigwa ehee we kijana...
Ha ha ha kwel kwel mim nikiwa getto napenda sana kunywa spirit nikichanganya na Pepsi yangu afu niko na kitu moja Og safi nakula mziki wangu getto safi kabisa.
Sema nishazoea make ni maisha naishi kalibia baada ya siku tatu.
Lkn nikiwa nimetoka sehemu napenda kunywa zangu safari fresh na fegi...
Matumizi ya pombe yaliongezeka pale niliposhindwa kukabili changamoto nilizokua napitia kwa kipindi kile na kujifanya kama hamna lolote.
Nimekunywa pombe sana jamn mda wangu mwingi nimeliutumia bar na bar karibia zote karibu nanyumbani nilifahamika.
Lengo nilikua nakunywa ili nione kama nitapata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.