Ni pombe gani huwa inakupa mzuka na kuona Dunia ni sehemu salama?

Mnyama K-VEEE na maji kubwa pembeni afu mdudu/mbuzi anaivishwa kilo mbili3 bas najiona muruuuuua kbsa
 
Kwa kweli Pombe ina ka vibe kake fulani Hasa ukiwa na washikaji au Mbebezi wako halafu mkatoka na usiwe na pesa ya mawazo.. Yaani piga kilaji, piga Nyama, Huku ukiwa na uhakika wa usafiri wa kukupeleka Sehemu ya kupumzika...

Binafsi Nikifika sehemu Ya monde halafu Nikaanda kula Windhoek Zangu baridi... Huku Mziki unagonga masikio Yangu.. Nasahau tabu na karaha zote za dunia.. Halafu Nione na totoz kali zikipita basi Mimi burudaaaani kabisa.


Kwa upande wako Ni kilaji gani huwa unakipenda?
MANGUREE
 
Acha pombe, tafuta pesa wekeza

Umesikia?
Hahahah
tapatalk_1583740688699.jpg
 
Raha ya kunywa, mie niwe na moshi pia wa kupuliza haaa hapo lazima nikae ulimwengu mwingine kidogo.

Ha ha ha kwel kwel mim nikiwa getto napenda sana kunywa spirit nikichanganya na Pepsi yangu afu niko na kitu moja Og safi nakula mziki wangu getto safi kabisa.

Sema nishazoea make ni maisha naishi kalibia baada ya siku tatu.

Lkn nikiwa nimetoka sehemu napenda kunywa zangu safari fresh na fegi kidogo za kuudanganya ubongo kwamba nikitu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom