Muuza simu used
JF-Expert Member
- Aug 23, 2017
- 4,393
- 7,108
- Thread starter
- #61
hivi mtu unaanzaje kutuma kitu bila kuombwa?kuna watu watakatifu hapa Duniani mpaka mnakera asee
[emoji28][emoji28][emoji28]wewe mjumbe nini!
hivi mtu unaanzaje kutuma kitu bila kuombwa?kuna watu watakatifu hapa Duniani mpaka mnakera asee
ukiwa umezama inabidi ujitafakari then uanze kuchomoka taratibu maana ke wakishaanzaga hivo ni ngum sana kumcontrol tena.
Nahisi hii ipo katika mfumo wa kiherehere kipeo cha pili,kwako mwalimu KashashaaMkuu wewe ndo unakompliketi mambo,
Ukituma tuma bila kukumbuka.
Ila mkuu na wewe umezidi kutumatuma vitu bila kuombwa.
Mkuu umesahau nyingne...-Anakuja getto unaanza kumvua nguo afu anauliza unataka kufanyaje.1:Unamtumia pesa tena bila hata ya yeye kukuomba hajibu kama amepokea wala hakuna cha asante anakausha tu hadi wewe uanze kumpigia simu!
2:Unatuma sms WhatsApp haifungui ama anaweza akaifungua na kuisoma kwa muda unataka na kukujibu muda anamtaka!
3:unamtumia vocha lkn hawezi kukupigia zaidi ya kubeep!
4:Unaweza kumnunulia zawadi kisha akaanza kuiponda
Kuna tabia ndogo ndogo zinakera sana na hazivumiliki
amna upendo apo1:Unamtumia pesa tena bila hata ya yeye kukuomba hajibu kama amepokea wala hakuna cha asante anakausha tu hadi wewe uanze kumpigia simu!
2:Unatuma sms WhatsApp haifungui ama anaweza akaifungua na kuisoma kwa muda unataka na kukujibu muda anamtaka!
3:unamtumia vocha lkn hawezi kukupigia zaidi ya kubeep!
4:Unaweza kumnunulia zawadi kisha akaanza kuiponda
Kuna tabia ndogo ndogo zinakera sana na hazivumiliki
Alafu inawezekana hata tick hajawahi kuwekaNahisi hii ipo katika mfumo wa kiherehere kipeo cha pili,kwako mwalimu Kashashaa
hahaha dah we jamaaWe endelea kuuza simu tu, mapenzi huyawezi yana wenyewe!!
Ya kweli haya mbona sisi tunahonga mpka vocha na kusukia hata SMS hatujibiwiNiwewe tu na huyo mwenzio...hakupend huyo
Mbona sisi tunafanyiwa mambo had tunaona anakera.kila saa anapiga simu yeye..pongez kama zote...asante za kutosha...mchezo ndo had unakimbia mwenyew
Miaka 18 mpka 24 wasumbufu eehana umri gani kama nihawa sungura tope jua ni utoto tu unawasumbua ila km ana umri wa miaka 25 na kuendelea jua hakupendi huyo