Hebu tuambie: Ni mwanaume mwenye tabia zipi huwezi kuwa naye kwenye mahusiano?

Huyo alikua hatar.. kibaya zaid wapenda sifa huwa waongeaji mno na kujichanganya yan mtu anasahau km alishakusimulia anarudia story ile ile.. Mama angu nae ni muongeaji kwel Yan anaweza simulia kitu baada ya siku mbili anasahau km amekusimulia, anasimulia tena bas mm kila akinisimulia huwa najifanya ndyo mara ya kusikia hiyo yan nashangaa kabisa kumbe imerudiwa mara kumi huko

Pole, usije iga hiyo au Mungu akuepushe na hicho kinasaba.
 
Ukiwa msafi mi inatosha kwangu, lkn scrub, kupaka cream na Kuchonga kucha hapana kwakweli
Yetoni!

Hao vijana wa dasalam ndio michezo yao hio. Si wa mkoa huku sabuni ni jamaa, mafuta minara na kitana usafi umekamilika🤣🤣🤣

Hayo mambo ya kutinda kucha na nyusi tunajua mashori ndio kazi yenu.
 
Nimeongea na mke wangu swali hili akanijibu hivi:- Kamwe hawezi kuwa na uhusiano na mwanamme.

Mtumiaji sumu kama alcohol na sigara.

Mfupi kuliko yeye.

Mshirikina na mwabudu mizimu.

Asiye na confidence.

Mmbea,

Msengenyaji,

Asiyejali familia.

Anayefuatilia mambo ya kike.

Mwenye fitina.

Mwenye dharau.

Mvivu.

Mwenye maringo.

Mwnye kujiamini bila kuwa na akili.

Anayethamini maneno ya mitaani na kutokuthamini uwepo ama mchango wa mke katika maisha.

Asiyejali wala kutetea hisia za mke wake.

Mwenye kiburi na ubinafsi!.

Mwenye hasira, visasi na vinyongo.

Malaya na mlaghai.

Mwenye kutaka kuwa na wake wengi kwa kisingizio eti dini na mila!. Pyuu!

Anayeogopa wanawake wasomi na kugandamiza uwezo wa mke.

Asiyeweza kumtetea mkewe katika hali zote wakati wako wote ama mke hayupo.

HUYO NDIYE MKE WANGU MWENZENU!.
Hapo kwenye kuogopa wanawake wasomi mwambie asituingilie.......

Sisi ndio tunaoishi nao tunawajua kero zao..... Usomi ni jambo moja kuwa mwanamke ni jambo jingine.....sisi wanaume hatuvutiwi na wanawake wanachanganya Usomi na kuwa mwanamke...... Unaweza ukawa msosi but Usomi wako usiingie katika wewe kuwa mwanamke..... Behave kama mwanamke accordingly na sio vinginevyo...
 
Ahahahah et mtu mbad... Hivi kuna mahusiano gani kati ya mwanaume na flirting maana unaweza kuta mwanaume ana girlfriend wake kabisa lakini kutwa kuflirt na wanawake wengine na ukimuuliza anasema anapenda tu na siyo kwamba ana lengo la kuwatafuna..
Shida ni mazoea ambayo ninyi wanawake mnakuwa nayo na wanaume.

Wanaume wanapenda sana kuzinguana ( flirting) na girlfriends wao, ila shida huwa yale mazoea huwa yana athiri sana heshima sababu mabinti ninyi mnamakuzi ya kumhofia mwanaume na sio kuheshimu mwanaume.

Wanawake wa kibongo ukisha anza kuishi nae ili akuheshimu inakulazimu umuwekee wa mbuzi at least upate ile nidhamu ya uoga....

Unakuta mwanamke upo nae hakupi ile attention ya mwanamke kwa mwanaume wake kama kukuletea kinywaji, mfano m'mekula chakula atoe vyombo mara moja nyumba iwe safi hata mkikaa hivi mnacheki movie au kupiga story nyumba ni nadhifu. Mwanaume ukimwambia anaanza kukuona wewe wenzake aidha atakupuuza au atakujibu majibu ya kukera kama "kwann na wewe usifagie au usioshe vyombo" hapo ndipo wanaume tabia za kikauzu zinaanza sababu wanawake wanakuwa wanaendeleza ule utamaduni wa kutaka kufokewa kama walivyolelewa kwao wakiwa wadogo, so tukienda na ninyi kizungu mnaanza kutuona kama wenzenu wakati 90% am taking care of you..... Sasa why don't you return the favor kwa kuwa obidient and a best friend kwangu...... Heshima sio kumuogopa mtu na kufanya maelekezo yake under the influence of hofu au amri na vitisho kutoka kwake.... Bali Heshima ni kutambua mipaka ya when to speak calmly, what to speak, when to laugh, when to be serious, when to help..... Its all about understanding the person u are with.....
 
Nakujaaa chap
Hata mkikwazana inakua rahisi kusolve, kuliko mahusiano yale mnaishi ndani kama mtu na polisi full kuogopana na kufanyiana ubabe. Staki kabisa mtu wa hivyo
Sasa ukitaka mtu awe best wako the kuwa makini namna una evolve na mtu.... Unakuta unataka mtu wa hivyo ila awe na hela, six pack, awe mrefu, awe mweupe na nywele za kishombe shombe...... Wanawake wa Tanzania aliyewaroga ameshakufa walahi..... Sasa hizo sifa ndizo unafunga nazo ndoa eti jamani
 
Wapo wengi tu, niliwahi kufanya kazi sehemu kuna dada wa makamo tu, alikuwa anasifia familia yake kuanzia watoto wake walivyowazuri, wana akili, shule wanayosoma, gharama za shule yao, mume wake kazi anayofanya, maendeleo yao, yeye mwenyewe anavyotunza familia nk. hadi inakera kumsikiliza, na alikuwa akifanya hivyo pale kunapokuwa na ka-mjadala kanakohusu maisha, kwa wiki moja unaweza simuliwa vitu hivyo sio chini ya mara 2.
But me sioni shida hapo, it means yupo proud na familia yake.... Mtu kama huyo ni kumsikiliza nankumuuliza maswali ili afunguke zaidi. Sometimes ukimpatia mtu anachotaka inasaidia kuleta furaha katika eneo mlipo.
 
Shida ni mazoea ambayo ninyi wanawake mnakuwa nayo na wanaume.

Wanaume wanapenda sana kuzinguana ( flirting) na girlfriends wao, ila shida huwa yale mazoea huwa yana athiri sana heshima sababu mabinti ninyi mnamakuzi ya kumhofia mwanaume na sio kuheshimu mwanaume.

Wanawake wa kibongo ukisha anza kuishi nae ili akuheshimu inakulazimu umuwekee wa mbuzi at least upate ile nidhamu ya uoga....

Unakuta mwanamke upo nae hakupi ile attention ya mwanamke kwa mwanaume wake kama kukuletea kinywaji, mfano m'mekula chakula atoe vyombo mara moja nyumba iwe safi hata mkikaa hivi mnacheki movie au kupiga story nyumba ni nadhifu. Mwanaume ukimwambia anaanza kukuona wewe wenzake aidha atakupuuza au atakujibu majibu ya kukera kama "kwann na wewe usifagie au usioshe vyombo" hapo ndipo wanaume tabia za kikauzu zinaanza sababu wanawake wanakuwa wanaendeleza ule utamaduni wa kutaka kufokewa kama walivyolelewa kwao wakiwa wadogo, so tukienda na ninyi kizungu mnaanza kutuona kama wenzenu wakati 90% am taking care of you..... Sasa why don't you return the favor kwa kuwa obidient and a best friend kwangu...... Heshima sio kumuogopa mtu na kufanya maelekezo yake under the influence of hofu au amri na vitisho kutoka kwake.... Bali Heshima ni kutambua mipaka ya when to speak calmly, what to speak, when to laugh, when to be serious, when to help..... Its all about understanding the person u are with.....
Nimejifunza kitu apo
 
Yetoni!

Hao vijana wa dasalam ndio michezo yao hio. Si wa mkoa huku sabuni ni jamaa, mafuta minara na kitana usafi umekamilika

Hayo mambo ya kutinda kucha na nyusi tunajua mashori ndio kazi yenu.
Huku dar ni kichefuchefu

Mpaka unakaa unajiuliza hivi huyu pesa anatafuta saa ngapi?

Halafu wa vijijini ndo wanaharibika balaa hapa mjini full kuiga
 
Na yote haya na mtakayoendelea kuandika bado nna uhakika mna vitu vyenu bado mtaangalia hata kama umeona unachopenda. Wengine bado mnataka mahusiano ya boys and girls tu hata kwa umri wenu.
 
Hivi vigezo bhana wanaweka lakn mwisho wa siku unakuta mtu anakitu special kiasi kwamba ivyo vitu unakua upendi kwa mtu lakn utavumilia tu.
Mahusiano yangu kama matatu manne ya serious wadada wote nilokua nao walikua hawapendi wanaume walevi,wavuta sigara na rafiki yake sigara lakn nilikua natumia nilianza kwa kujificha lakn nilipooana washanizoea natumia tu mbele yao na wakazoea.
Ukimpenda mtu mkawa na chemistry nzuri i mean ile your girlfriend is also your friend mbona hizo principle zake anavunja.
Sema tu be smart
 
Back
Top Bottom