Recent content by chapamamba

  1. C

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kushinda michezo ya kamari

    sawa mkuu
  2. C

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kushinda michezo ya kamari

    Kamba style? lossoJR ...acha kutukatisha tamaa wenzio bana...
  3. C

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kushinda michezo ya kamari

    Mkuu Rakims.. Nimejaribu almost mara Tatu lakini bado sijapata matokeo.. Nothing.. No that dream nor what.. Anything wrong?
  4. C

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kushinda michezo ya kamari

    asante@Rakims
  5. C

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kushinda michezo ya kamari

    jamani, hizi Rose water ukienda madukani unakuta nyekundu au nyeupe... Ipi inafaa? Rakims
  6. C

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kushinda michezo ya kamari

    Rose water nyekundu inafaa kwa kazi hiyo?
  7. C

    JamiiForums Tanzania Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

    Vodacom mijizi toka longi.. Ukipiga customer care kuna videmu vinacheka cheka tu.. Sijui wanaviokotaga wapi? Usithubutu kulala na salio la voda ukiamka asubuhi wamekulamba lotee
  8. C

    JamiiForums Tanzania Uzi wa kwanza baada ya JamiiForums kurudi, ulimmiss nani na nini?

    nilikuwa najaribu tu kama ban imeondolewa...duuh.. Nilimisije... Mshana Jr,, mzizimkavu... Nilikuwa kama mkiwa
  9. C

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    wengine hatujui kabisa mambo ya kubeti,na vyuma vimeumana balaa! mnapotuwekea ubashiri wenu hamjui tu mnakuwa mmetupiga tafu sana tena sana,sasa ukiweka matokeo yanakuwa yanasaidia nini
  10. C

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    mzee,tuwekee mkeka wa leo tufaudu maujanja
  11. C

    JamiiForums Tanzania Mbowe, tengua haraka uteuzi wa Katibu Mkuu wa chama (Mashinji) vinginevyo usitulaumu

    mbona chadema ilishaanguka zamani tu
  12. C

    JamiiForums Tanzania Wapingaji uwepo wa Mungu wameongoka na kukengeuka msimamo wao?

    hatimaye umerudi tena
  13. C

    JamiiForums Tanzania Telekinesis

    ok,asante
  14. C

    JamiiForums Tanzania Telekinesis

    nata natamani sana kupata ufahamu kuhusu haya mambo
  15. C

    JamiiForums Tanzania Telekinesis

    kinapatikana wapi
Back
Top Bottom