Recent content by chapachapa

  1. C

    JamiiForums Tanzania DAWASA Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na ushauri

    Kwanini mnatupa mgao wa maji ubungo Riverside maeneo ya best point na Mandela Rd?
  2. C

    JamiiForums Tanzania DAWASA Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na ushauri

    Pamoja na jitihada za upatikanaji wa maji Dar... Lakini umekuwa ni Jambo la kawaida maji kukatika kwa masaa karibu kila siku.. eneo linalopata maji kwa mgao ni maeneo jirani na hotel ya best point, Zambezi, na maeneo kuelekea external. Haieleweki na haijaelezwa Nini tatizo na lini litaisha...
  3. C

    JamiiForums Tanzania Tuliokoswakoswa kuuawa na majambazi tukutane huku

    Naanza kwa kusema MUNGU mkubwa na ashukuriwe. Naanza kwa kusema majambazi ni watu wabaya Sana tena ni hatari, Binafsi nilikuwa na sehemu yangu ya biashara na nikianzisha biashara ya stationary nikavutiwa na biashara ya kuuza vocha za simu kwa jumla... Siku ya siku ikafika mchana wa saa 8:30...
  4. C

    JamiiForums Tanzania TANESCO tutangazieni kama kuna mgao wa umeme nchini

    Kwa siku tano mfululizo maeneo haya umeme ifikapo jioni unakatwana bila taarifa kwa sisi wateja labda Kama tangazo Hilo sijalisikia. Maeneo ya ubungo Mandela Rd kuanzia external, maziwa, hadi darajani unaotazamana na rivaside. Pamoja na kuwa jirani kabisa na mitambo ya umeme ya ubungo...
  5. C

    JamiiForums Tanzania Airtel mbona hamjali?

    Pamoja na kuvumilia nainua mikono na kaachana nao. Sababu ni nyingi kwanza badala ya kuendeleza vivutio ili wateja waendelee kuwepo mmeamua kupunguza ofa. Mnamfahamu kabisa kwamba watu wanatumia internet zaidi kwa bando za ofa nyinyi mmegandamiza tshs 1000 kwa MB 500. Pili nimewahi kutuma...
  6. C

    JamiiForums Tanzania KERO: Masanja Mkandamizaji kutumia Ulokole kinyume na maadili ya Kipentekoste

    Swala la kuwakwaza wengine sio zuri .... Tunafundishwa kuwa nakiasi ...tunaambiwa tusikae sana miongongoni na wenye mizaha
  7. C

    JamiiForums Tanzania Magufuli aendelea kutumbua Majipu: Mkurugenzi Hospitali ya Ocean Road Asimamishwa

    sawa kabisa hakuna mchezo wala kubebena uzembe wa makusudi na matumizi mabaya ya ofisi wizi rushwa ni wakati wa kutumbuliwa
  8. C

    JamiiForums Tanzania Madawa ya Kulevya: Chambo Fatma Basil, akamatwa Uwanja wa ndege wa Mumbai, India

    ,kamma alipita DsM air port basi wafuatiliwe wote waliokuwepo kazini siku hiyo watoe maelezo kwa nini wao hawakukamata mpaka mtu akamatwe huko ?ashariki ya mbali
  9. C

    JamiiForums Tanzania 50.000/= kuhudhuria maonyesho ya kwaya kumsifu Mungu ni dhuluma

    Wito wangu ni kwamba haina haja ya kulipa mapesa yote hayo badala yake nunua kanda na cd maana baraka za Mungu hazinunuliwi
  10. C

    JamiiForums Tanzania 50.000/= kuhudhuria maonyesho ya kwaya kumsifu Mungu ni dhuluma

    Nasema si haki wala halali kwa wanaofanya biashara kupitia neno la Mungu. Kuna kampuni inatangaza kwamba kutakuwa na kwaya mbalimbali zitakazotumbuiza wakati wa xmas lakini kiingilio kwa high table ni 50,000/= Jamani kwa Mungu kuna high table? Kumtukuza Mungu mpaka niwe na pesa zote hizo...
  11. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta rafiki wa kike miaka 38 hadi 48

    ,...... Isiwe taabu kujua umri wangu nakutajia kuwa Nakaribia 50
  12. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta rafiki wa kike miaka 38 hadi 48

    Kwa umri wako na madhumuni uliyoainisha sio mbaya lakini lengo langu ni kuwa na wa miaka 38 hadi 48
  13. C

    JamiiForums Tanzania Nyumba 5,600 kubomolewa Dar

    Chanzo chako cha uhakika ni kipi kwa topic hii
  14. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta rafiki wa kike miaka 38 hadi 48

    .... Umri wangu nawaambia wale ke sasa wewe umediklea interest hayakuhusu mhe.
Back
Top Bottom