Recent content by Chapa mpaka ilale

  1. C

    JamiiForums Tanzania Ni sahihi kumtongoza Msichana mbele ya mama yake?

    Kwaio ww unashaur ningefanyaje maana mama kaja pale kashavimba kila jibu ntalompa yy analigeuza kuwa la shar nimemjibu nimenfananisha ananijibu sio yy na bra bra kibao
  2. C

    JamiiForums Tanzania Ni sahihi kumtongoza Msichana mbele ya mama yake?

    Umewah kuniona
  3. C

    JamiiForums Tanzania Ni sahihi kumtongoza Msichana mbele ya mama yake?

    Mbinu ninazo sema sikujua km yule ni mama yke maana ata kwrnye hawakukaa pamoja
  4. C

    JamiiForums Tanzania Ni sahihi kumtongoza Msichana mbele ya mama yake?

    Ndio nilikuwa natoa hoja km hzo na nilimwambia yule mama kuwa asinifokee mana mm sio muhuni
  5. C

    JamiiForums Tanzania Ni sahihi kumtongoza Msichana mbele ya mama yake?

    Yaan mm huwa nashangaa hawa wanawake hata siwaelewag mama yngu mm mwenyewe upo ivo toka zaman akiona kabint kanajileta pale hme anakafukuza
  6. C

    JamiiForums Tanzania Ni sahihi kumtongoza Msichana mbele ya mama yake?

    Nilikuwa smart na simu nilikuwa na samsung A10 nilikuwa very smart maana uko najoe nilikuwa nafuata gambe lengine na sina sura ya kihuni Yaan ata sielew huyu mama alitakaje
  7. C

    JamiiForums Tanzania Ni sahihi kumtongoza Msichana mbele ya mama yake?

    Nilinwambia kuwa nimemfananisha na mtu fulaan huyu ivo nilipenda kumfahamu ndio maana nikamwomba namba ya simu lkn haikusaidia kitu
  8. C

    JamiiForums Tanzania Ni sahihi kumtongoza Msichana mbele ya mama yake?

    Ni hoja hii ndio nilikuwa nawaambia mzazi unamkazia mtoto utasema atakaa nae 24/7
  9. C

    JamiiForums Tanzania Ni sahihi kumtongoza Msichana mbele ya mama yake?

    Weeh !! Kipind naomba namba mtoto anataka aiandike ndio nashangaa tumevamiwa "namba yke ya simu ya nn ww nn ambacho mm simpi nyiny ndio wale vijama mnachezea watoto wa watu na makelele kibao "
  10. C

    JamiiForums Tanzania Ni sahihi kumtongoza Msichana mbele ya mama yake?

    Habarini wana Jamii Forums leo nimeona nishare na nyinyi hii mda maana wanawake ni viumbe ambao hawaeleweki kabisa. Kuna siku niko kwenye basi maeneo ya majohe hapa SSM sasa nikakutana na dada mmoja kazur balaa ikabidi nianze kutafuta timing nikasema huyu kituo chochote akishuka nashuka nae...
  11. C

    JamiiForums Tanzania Je, ni sahihi Ndugai kuvaa vazi la Spika wa Bunge kwenye sherehe ya kuapishwa kwa Rais Magufuli?

    Mm ni kichaa na ndio maana nimechagua vichaa wenzangu
  12. C

    JamiiForums Tanzania Wanawake sio watu wazuri

    Hii itakuwa kwel maana ni misukosumo tu toka siku ya kwanza nakumbuka baada ya kusex nae eti akaanza kunilaumu eti nimemkojolea nikamwambia acha ufala nenda bafuni ukaoge uyu inaonekana mimba alishaibeba mda so akatafuta game ili arishie huku sasa kaja kukuta mm mbish kila cku ni bra bra tu
  13. C

    JamiiForums Tanzania Wanawake sio watu wazuri

    Anibambikie !! Shaur lake nikikuta sura sio yangu tu najitoa sihusik
  14. C

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Petitman: Mkongomani Bilionea anayempa 'support' Diamond kifedha

    Nimemsoma mleta mada ni mshenzi nia yke hasa ilikuwa petitman atukanwe io ndio ilikuwa shida yke
  15. C

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Maabara Kuu ya kupima sampuli za COVID-19 yaonyesha mafenesi, mapapai na mbuzi yana uambukizi

    Huyo si ndio dokta majibu basi si aende huko maabara akatumbue maana kwa vyovyote tu kosa ni lao km mashine mbovu walishindwaje kujua afu pia kisayansi mashine zoOte kabla haijanunuliwa lazima ifanyiwe test sasa imekuaje hz ni propaganda tu
Back
Top Bottom