Ni sahihi kumtongoza Msichana mbele ya mama yake?

Ni sahihi kumtongoza Msichana mbele ya mama yake?

Wamama ni werevu sana:
Hata kama umepanda daladala, akitangulia yeye kupanda halafu akakuona kijana smart kama mimi umekaa peke yako, nimetupia viwalo fresh, simu ya maana mkononi, buti safi sio ndala, ngozi inaonyesha wazi sina dhiki za ajabu wa stress za kipumbavu, atakacho kifanya atakaa siti ya upande wa pili, binti yake akija atamwambia akae na wewe, wawe karibu. Gari ikianza kujaa mama ataenda kukaa siti za mbele makusudi.

Lakini ukiona mama anakuwa mbogo, ujue kimuonekano ulifeli siku hiyo kumshawishi mama mkwe akupe fursa.
imewahi kukutokea nini?
 
Rudi kwa Shigongo akafundishe jinsi ya kumaliza hadithi. Hii haijaisha kwa "nukta"!!
 
Una muonekano wa njaa njaa sio bure [emoji3][emoji3]
 
Hii kauli hapa "kukatokea vurugu na malumbano makali" inaonyesha wazi una uso wa kikauzu zaidi ya harmorapa.
Shukuru Mungu bi mkubwa hajakupigia kelele ya mwizi, ungeshakufa.

Next time ukipata chance ya kukutana na mtoto mkali hata kama yupo na babake mzazi na kavaa gwanda za bakabaka na ana bunduki begani, nicheki pm nikupe mbinu, namba utachukua na mshua atakulipia nauli.

Legendary Out.
Mbinu ninazo sema sikujua km yule ni mama yke maana ata kwrnye hawakukaa pamoja
 
Nilikuwa smart na simu nilikuwa na samsung A10 nilikuwa very smart maana uko najoe nilikuwa nafuata gambe lengine na sina sura ya kihuni

Yaan ata sielew huyu mama alitakaje
😂😂 umavyojielezea kwa upole sasa😂😂
 
Yupo sahihi na pia ulionesha dharau kujibizana nae..!!

unajua walitoka wap/wanaenda wapi/huyo mama yupo katika hali gani..?

vp kuhusu mtoto wako wa kike anatongozwa na wewe ukiwepo hapo hapo..?

nadhani hata uyo binti aliona ujiheshimu kwa kitendo cha kubishana na mama yake.
Kwaio ww unashaur ningefanyaje maana mama kaja pale kashavimba kila jibu ntalompa yy analigeuza kuwa la shar nimemjibu nimenfananisha ananijibu sio yy na bra bra kibao
 
Back
Top Bottom