Recent content by Chang'o

  1. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Liverpool wapo vizuri at the moment, kama wataweza kucheza kama walivyocheza na spurs au man city leo watapata ushindi.
  2. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania SWALI: Ipi Club Bora kwa Tanzania 2013??

    Simba ndio bora, 3 mara 2 sio mchezo hadi wanatimuana
  3. C

    JamiiForums Tanzania Ripoti Maalum: Buriani Nelson Mandela

    RIP Kamanda, tutakukumbuka daima!
  4. C

    JamiiForums Tanzania Rais Jakaya Kikwete amteua Dkt. Asha-Rose Migiro kuwa mbunge

    Tutegemee mabadiliko ya baraza la mawaziri soon.
  5. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rage akinukisha tena simba

    Akizungumza leo makao makuu ya club amesema kuwa TFF hawana mamlaka ya kuagiza kuitishwa mkutano wa simba kwa hiyo hakuna mkutano wowote utakaofanyika ndani ya hizo siku 14. Pia amesema ameivunja kamati yote ya utendaji na amemteua Richard Michael Wambura kufanya shughuli zote za klabu...
  6. C

    JamiiForums Tanzania Taarifa za Zitto na Dr. Kitila kwa Umma Juu ya Kuvuliwa Nafasi za Uongozi ndani ya CHADEMA

    Mbona tunafananisha usingizi na kifo?
  7. C

    JamiiForums Tanzania Taarifa za Zitto na Dr. Kitila kwa Umma Juu ya Kuvuliwa Nafasi za Uongozi ndani ya CHADEMA

    Lakini mkuu kama umefuatilia vizuri maelezo yao haya maswali yote uliyouliza hapo juu wameyatolea ufafanuzi. Me nafikiri ni muda muafaka sasa tujadili hoja za pande mbili baada ya hapa tufanye compromise then mapambano ya kuikomboa nchi kutoka kwa manyang'au wachache yaendelee!
  8. C

    JamiiForums Tanzania Taarifa za Zitto na Dr. Kitila kwa Umma Juu ya Kuvuliwa Nafasi za Uongozi ndani ya CHADEMA

    Matangazo live na clouds radio, walio majumbani wafungue radio ya watu.
  9. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania LIVE BOXING NOW Manny Pacquiao vs Brandon Rios

    yeah ameshinda kwa points, majaji wote watatu wamempa ushindi. Ilistahili kwa kweli, tusubiri inawezekana mwakani mwezi may kukawa na pambano la kihistoria, manny vs mayweather
  10. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mashabiki wa simba dar ni wanafiki

    Kama rage anang'ang'ania uongozi sasa atashirikiana na nani wakati kamati nzima ya utendaji haipo tayari kufanyakazi nae tena?
  11. C

    JamiiForums Tanzania Wanaigeria wamweka kiti moto diamond kwa kuvaa vibaya kwenye arusi ya peter wa p-square

    Kiukweli kabisa p-square wamesema hawamjui diamond wala hakuna hata mmoja wao aliyeoa. Kwa wasanii wa bongo wamesema wanamjua AY na Mwana-fa.
  12. C

    JamiiForums Tanzania Upotoshaji Mkubwa dhidi ya Ubakaji na Kapuya

    Me nafikiri hatua ya kwanza tanzania daima waende hapo magomeni kwenye hiyo shule wapate maelezo ya huyo mtoto kama kweli ni mwanafunzi na details nyingine zote zitapatikana hapo. Me nafikiri hapo ndio pa kuanzia.
  13. C

    JamiiForums Tanzania Kapuya Matatani: Adhibitiwa na kitoto kinachodai alikibaka, akakiambukiza virusi

    Hili suala linahitaji takafali ya kina, tuweke pembeni siasa
  14. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwagane yeya !! Mwagane yeya !! Daaah

    Kweli jamaa ni bonge la player, nasikia ni teacher wa primary school.
  15. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Live updates: Yanga v/s Jkt Oljoro, Azam v/s Mbeya City

    Dk ya 83 Azam wanasawazisha 3-3
Back
Top Bottom