SWALI: Ipi Club Bora kwa Tanzania 2013??

SWALI: Ipi Club Bora kwa Tanzania 2013??

Mandla Jr.

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2013
Posts
3,098
Reaction score
631
Wana JF,
Tanzania tuna ligi kuu ya vodacom na ligi nyingine kama ligi daraja la kwanza. Na kuna timu nyingi zinashiriki ligi hizo.

Ni timu gani imekuwa Bora kwa mwaka huu 2013??
 
It's obvious my friend!! Mbeya city
 
Under 20 ya Simba sports. Kombe la uhai sponsored by Azam!
 
Yanga -Bingwa VPL 2012-2013
Na bado wanaongoza ligi 2013-2014
 
Kama una matokeo ya mechi ya MTANI JEMBE
Teh ha ha utajua nani alipigwa na jibu unalo.
 
Yanga ni clabu bora mwaka huu, kwanza wamechukua ligi mwaka huu na bado wanaongoza ligi mwaka huu.
 
Wana JF,
Tanzania tuna ligi kuu ya vodacom na ligi nyingine kama ligi daraja la kwanza. Na kuna timu nyingi zinashiriki ligi hizo.

Ni timu gani imekuwa Bora kwa mwaka huu 2013??

Dah!
Mkuu heading yako nikajua unazungumzia klabu ya disco.. Kidogo nijiandae kutaja "ntobolo night club" ipo ng'wanankwale, Shinyanga!!

kama ni mambo ya mpira basi Ashanti united ndio kila kitu!
 
Dah!
Mkuu heading yako nikajua unazungumzia klabu ya disco.. Kidogo nijiandae kutaja "ntobolo night club" ipo ng'wanankwale, Shinyanga!!

kama ni mambo ya mpira basi Ashanti united ndio kila kitu!

Hata kusoma maelezo umeshindwa?? Kweli Tanzania kuna mizigo mingi, si mawaziri tu!
 
Yanga -Bingwa VPL 2012-2013
Na bado wanaongoza ligi 2013-2014

Mtoa mada ataje klabu iliyo bora kisha jibu lake tutaliheshimu hata kama akiwataja vibonde Simba, vinginevyo Young Africans SC haina mpinzani.
 
Back
Top Bottom