Taarifa za Zitto na Dr. Kitila kwa Umma Juu ya Kuvuliwa Nafasi za Uongozi ndani ya CHADEMA

Status
Not open for further replies.
Ngoja nipange kusikia kinachojili huku na kunywa kahawa na kashata.
 
Update...
 

Attachments

  • 1461861_10202044107919718_736909040_n.jpg
    1461861_10202044107919718_736909040_n.jpg
    98.7 KB · Views: 1,675
  • 1466108_10202044112759839_406083327_n.jpg
    1466108_10202044112759839_406083327_n.jpg
    102.9 KB · Views: 4,861
Drama za nini tena...press etc. Kwanini asimuombe JK ameteu viti maalumu ampe na uwaziri!
 
Hujambo na karibu.katika mtiririko wa zitto kabwe na kitila mkumbo kwa vyombo vya habari.

Habari kufuatia muda si mrefu.
Karibu.

mkuu nimevunja ratiba zangu ili nimsikie anataka kusema nini huyu yuda wa 2 baada ya yule wanayemzungumzia kwenye vitabu vitakatifu, sijajua atafanyia wapi hii press conference maana nasikia ile location ya awali wamekataliwa wasifanyie huko!!!
 
Ngoja nipange kusikia kinachojili huku na kunywa kahawa na kashata.

Nimeshuka vijana wengi wa siku hizi ni wafuata mkumbo bila kujua uyakinifu na upembuzi wa habari(mamluki),msimamo wangu CDM haiwezi kuchukua dola 2015 bado sana haijakomaa kisiasa
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom