Recent content by changaa

  1. C

    Zanzibar inachangia nini kwenye Serikali ya Muungano? Isije ikawa wanatumia Kodi za Bara

    Wazanzibar wamebakia kwenye huu muungano kwa sababu wao ndio wanufahikaji wakuu Leo hii muungano ukivunjika, Zanzibar hawana cha kupoteza Wana kila kitu ila Tanganyika hatuna cha kujivunia tutaanza mwanzo kabisa kama nchi inayozaliwa upya Tanganyika haina -jeshi -serikali -mahakama -wimbo wa...
  2. C

    JKT yasitisha Mikataba ya Vijana 854 waliofanya Uasi

    Nchi nyingi zilozoendelea wamewekeza vyema kwenye ulinzi(jeshini) Ukichukulia mfano marekani, urusi au China Hawana maigizo kuhusu masuala ya ulinzi Kama wanajua hawawezi kuwaajiri hao vijana jeshini kwa nini wanawasajili kwenye mafunzo hayo ya JKT Jeshi la Kujenga Taifa(JKT) hili ni sehemu...
  3. C

    Uwezekano wa vita kati ya Urusi na Ukraine

    We unahisi vita ni kama kuingia Gest Wenzetu wanatumia akili rafiki Sent from my VFD 301 using JamiiForums mobile app
  4. C

    Kabla ya Bagamoyo, Palikuwepo na mpango wa Bandari ya Mwambani, Tanga

    Kuna internal genetic behaviour amabazo kiasili tumezipoteza kama wanadamu Tupo tu kama mazezeta bendera fata upepo Kuanzia viongozi wetu hadi wananchi Tupo kama; manyani Nyani anacheka kindule la mwenzake, kitu asichikifahamu kumbe wote wanakundule zinazofanana. Sent from my VFD 301...
  5. C

    Wanawake wengi ndio wanaolisha familia siku hizi, tatizo akina baba mbona wanafeli?

    Haki sawa ndicho walichopigania kupata Sent from my VFD 301 using JamiiForums mobile app
  6. C

    CAG atupe hasara ya kutotekelezwa kwa mradi wa umeme kwa miaka 50

    Hii miradi yote imeanza kupakwa tope na kwa mwendo huu hakuna kitakachokamilika Na watanzania tumenogewa na misemo hii, ngoma hii tutaicheza usiku kucha ila pakikucha hakuna wakutupangusa matongotongo
  7. C

    Watu wa Kanda ya Ziwa tukubali kula ugali wa sembe; kiwango kikubwa cha mahindi yamehifadhiwa kwa sumu za kuzuia wadudu

    Napenda kuwashauri watu ya kanda ya ziwa kwamba siku hizi mambo yamebadilika Nafaka nyingi sasa hivi huifadhiwa kwa njia za kisasa sio kwa njia za asili kama ilivyozoeleka zamani Kwa kiwango kikubwa mahindi yanayonunuliwa masokoni, asilimia zaidi ya 90, mameifadhiwa kwa sumu ya kuzuia wadudu...
  8. C

    Mkimzingua ataunda chama chake

    Uhuru wa kutoa maoni ni haki sioni kama wamekiuka hilo
  9. C

    Baba alivyokuwa hai

    Baba alijua ipo siku utakua na hayo yote utayangamua mwisho wa safari yako ya mafanikio Uwezi kuishi maisha ya mwenzako huo ni utumwa ishi maisha yako utakuwa huru moyoni mwako
  10. C

    Mama Samia ameingia kwenye mtego wa wafanyabiashara kubembelezwa kulipa kodi, tumekwisha!

    Wajuzi wa mambo wanakwambia awamu ya JK, kuna wakati hazina kulikuwa hakuna kitu na ili alipe mishahara ya wafanyakazi lazima akwee pipa akawapigie magoti wazungu Tulidharaulika kila kona, na hata vinchi vidogo kama Malawi na Rwanda walisimama na kutukebei na bila hiyana JK hakupanua hata domo...
  11. C

    Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

    Maneno yako yamejaa laana na chuki
  12. C

    Rais Samia, huyu mkurugenzi wa Tarime Mji wafanyakazi tumemchoka

    Huyu mkurugezi anajiona kama mungu Mtu, suala la uhamisho kwa watumishi wa umma upo kisheria lakini yeye ameenda kinyume na hilo kwa miaka mingi. Tumevumilia labda atabadilika lakini misimamo yake binafsi tumeichoka. Amewatenga watumishi wa wilaya ya mji wa tarime na watumishi wa wilaya...
Back
Top Bottom