Recent content by Chandler

  1. C

    JamiiForums Tanzania Natafuta wimbo wa Kikongo jamaa analalamika sana nakusema neno 'Tabu Kwachu Tabu Kwachu'

    Pia download Shazam kuepuka kuhangaika Kama hivii
  2. C

    JamiiForums Tanzania Fundi wa GPS tracking kwenye pikipiki, bajaji na magari Mwanza na mikoani

    Rekebisha ni Wiring na sio wayaring
  3. C

    JamiiForums Tanzania Nina vijana wawili wamekosa msaada kwenye soka wakuu nahitaji msaada wenu

    Wachukue video kadhaa uwe nazo, katika ulimwengu wa kidigatali huu picha ni muhimu sanaaa
  4. C

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Nauza magari ya aina mbalimbali

    Huyu jamaa itakua ni mgeni kwenye udalali, ndiomaana bei anataja tu tofauti na wenzie insta, gari Kule zinapostiwa kwa bei ndogo, ye huku anataja tu yoyote anayojisikia 😂😂
  5. C

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Nauza magari ya aina mbalimbali

    Wewe ndio mmiliki au dalali? Kama dalali kuna mtu mwingine katikati au simu moja kwa mmiliki? Nakuuliza hivo kwasababu nimeona imepostiwa insta kwa bei tofauti.
  6. C

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Nauza magari ya aina mbalimbali

    Wewe ndio mmiliki au dalali? Kama dalali kuna mtu mwingine katikati au simu moja kwa mmiliki? Nakuuliza hivo kwasababu nimeona imepostiwa insta kwa bei tofauti.
  7. C

    JamiiForums Tanzania Music industry haiwabebi wasanii Wachanga

    Nakutafuta mkuu kuna mdogo wangu namsamimia , nahitaji mauzoefu yako kidogoo mkuu, nataka kumtoa amerekodi ngoma mbili tatu
  8. C

    JamiiForums Tanzania SoC04 Vigezo na Masharti ya kushiriki katika Shindano la Stories of Change - 2024

    Usiweke andiko kama attachment ( word/pdf) hii Ina maanisha ninii?
  9. C

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya Zikiii yamjibu Diamond, yamtaka afuate masharti ya mkataba na makubaliano!

    Hii ni official statement na inatolewa kihuni hivii, duuh!
  10. C

    JamiiForums Tanzania Je, umeionaje ngoma ya mapozi ya Diamond, Mr. Blue na Melody?

    Huu ni mtizamo wako binafsi, usifosi kila mmoja auchukie wimbo, hii ngoma mi binafsi nimeisikiliza Mara nyingi mno, so baki na msimamo wako, but usifosi wote tuione ngoma ni mbaya, kwangu Mimi hii ni ngoma Kali na itafanya vizuri
  11. C

    JamiiForums Tanzania Je, umeionaje ngoma ya mapozi ya Diamond, Mr. Blue na Melody?

    Preference zako haziwezi ku judge ukali wa ngoma, hii ni ngoma Kali subiri baada ya wiki moja utaelewa, Tabasamu ilivyopiga Mara ya kwanza watu wali ikataa, ili tunaojua mziki tulijua ni suala la muda, that is origins and pure bongo flavor
  12. C

    JamiiForums Tanzania Tanzanian traditional local foods

    Nzuri sanaa hii, lakini ulitakiwa uweke na maelezo kidogo kwa faida ya wengi tafadhali.
  13. C

    JamiiForums Tanzania Mipango ya safari ya kwenda Marekani

    Hata Mimi hii imenishinda, siwezi kuacha kuishi nnavyotaka kisa mjinga mwingine na shida zake ananiongelea negative, wabongo wana inferiority complex kiasili tuu hii ni kutokana na exposure ndogo, kipato duni, wivu na chuki, na hawapendi kujifunza kwa mtu aliyewazidi. Sisi wa Africa maisha yetu...
  14. C

    JamiiForums Tanzania Wadau tusaidiane, mbinu gani nitumie kuisahau timu ya taifa?

    Stars inakera mnoo, sijui Kama wachezaji na makocha wanajua maumivu wanayopitia Mashabiki. Mechi ya Jana wameuza.
Back
Top Bottom