Recent content by Chance ndoto

  1. Chance ndoto

    JamiiForums Tanzania Wanaume wengi mshukuru mfumo umewabeba. Wanawake wangewatesa Sana kwa sababu wanawake wengi wanaakili na wanajitambua kuliko wanaume wengi

    Unakuta aliyeandika hili kila siku tunajua ni mwanaume kumbe naye mwanamke. Ila jf.
  2. Chance ndoto

    JamiiForums Tanzania Nilitembelea Buguruni Kimboka weekend. Hali inatisha

    Chai. Hii wazee. Eneo la kimboka lishakufa. Sahvi kuna bar inaitwa kalembo. Na haina wateja kabisa. Na eneo hilo limekua eneo safi sana maana barabara imepita mbele. Madada poa hawazidi kumi. Na wengi wao hutumia guest inaitwa agivea iko kwa ndani. Ambayo ni ya mdogo wake marehemu kimboka...
  3. Chance ndoto

    JamiiForums Tanzania Lissu aonekana Mahakamani leo

    Yawezekana yupo kwaajili ya matibabu kwa mantiki katoka na gari la gereza mpaka hapo
  4. Chance ndoto

    JamiiForums Tanzania Je unaweza kujielezea? Hebu jielezee hapa tuone

    Ushaferi hadi hapo. Mimi kiukweli kitu pekee ni kuonyesha thamanj au wazungu wanasema value proposition. Tafuta maumivu yao, social proof. Tumia elevator pitch. Yaani mambo kama matano hivi employ kwenye hitaji lako, utapata unachotaka. Kiufupi kuwa chawa, sifia, onyesha unaweza, sifia, onyesha...
  5. Chance ndoto

    JamiiForums Tanzania Dini ndiyo 'Software' (KIRUSI) namba moja inayo-Program Waafrika kuwa Masikini wa kutupwa kizazi hadi kizazi

    Hivi wazungu wa asia na wayahudi kumbe hawafanyi kazi jumatatu mpaka ijumaa? SIKUJUA
  6. Chance ndoto

    JamiiForums Tanzania Ukinunua gari kataa kabisa ofa ya kujaziwa mafuta mengi, jaza lita chache kuona ulaji wake

    Ila kuna watu mnachekesha. Kwahiyo ukijaziwa mafuta mengi huoni yanavyoisha.😂😂😂😂 Lala mzee usiku huu
  7. Chance ndoto

    JamiiForums Tanzania Kwanini Tanzania ndiyo nchi rahisi zaidi duniani kwa mgeni kuishi kienyeji bila vibali na asichukuliwe hatua yoyote?

    Nimefuatilia sana mienendo ya nchi yetu na nikagundua jambo la kusikitisha: Tanzania imekuwa kama 'shamba la bibi'. Yaani ni nchi pekee ambayo mgeni anaweza kuingia kama mtalii, akapanga nyumba, akafungua kijibiashara au kuanza kazi za 'consultancy', na akaishi miaka mitano bila kuguswa na...
  8. Chance ndoto

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kumwachisha mtoto kunyonya kidole?

    Anakua mzembe saaaaana. Labda kama una sababu
  9. Chance ndoto

    JamiiForums Tanzania Kama biashara yako ipo kwenye hii list halafu huna website, unawapoteza wateja kila siku!

    Faida ya website ni ipi kuacha reputation na kuonekana. Kuna faida zingine zozote.
  10. Chance ndoto

    JamiiForums Tanzania Yule mama mchungaji maarufu aliyekuwa akishauri kuhusu ndoa, hatimaye ndoa imemshinda

    Wale walizaliwa tarehe moja mwaka mmoja, Wametengana.
  11. Chance ndoto

    JamiiForums Tanzania Kifuani nahisi kama kuna kitu nimeenda hosptal wakaniambia ni gas tu

    Badluck. Baba yangu alihisi vitu vyote hivo. Ila hiyo ni gas, acid. Na ni dalili moja kwa moja za shida ya moyo. Alipima ma ecg. Hakuna kitu. Akapotezea. Mwaka baadae 2024 ghafla akiwa njiani anaendesha gari akazidiwa, akapelekwa hospitali. Zoezi. Likahamia shida ikawa moyo. With no direct...
  12. Chance ndoto

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    N Nawakumbusha mkiweza pita na elfu kumi piteni hapa. Jamaa ana upepo.
  13. Chance ndoto

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Huyu porto na pacha wake watatupa kweli magoli mawili leo?
  14. Chance ndoto

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Naona kadi zikagoma Mimi madrid akanipa na ndugu yake benfica akapata goli dakika za mwisho. Acha nikale supu sasa.
Back
Top Bottom