Recent content by Chamso

  1. C

    JamiiForums Tanzania Nilikosea kuolewa na huyu, nimekutana na perfect choice kazini

    Mwambie mumeo now huna mapenzi naye tena, kisha andaa mahali yake mrudishie, kisha nenda kwa huyo jamaa ukawe huru, kuliko kumfanyia mumeo hivyo, hivi unajua kuwa amelipia hyo kitu!?
  2. C

    JamiiForums Tanzania Bunge limegubikwa na wasemaji wasiojua tofauti ya speak and talk

    Msikilize tena Bashe utamuelewa,
  3. C

    JamiiForums Tanzania Misemo inayoandikwa kwenye vyombo vya usafiri, we acha tu!

    Moyo Tulia Mjini kuna vya Watu
  4. C

    JamiiForums Tanzania Tanga stone

    Tanga stone zinapatikana kwa anayehitaji, mzigo unaletewa popote ulipo, Kwa maelezo zaidi piga 0738548159
  5. C

    JamiiForums Tanzania Naomba mumshauri kwa upole huyu kijana

    Mpe akugonge, ukishampa atapotezea, mimi niliwahi kuwa na msichana kwenye mazingira kama hayo alinisumbua miaka 7, ila baada ya kumgonga nikaona kawaida mpaka leo kila m2 na maisha yake Sent using Jamii Forums mobile app
  6. C

    JamiiForums Tanzania Wale wote tunaosomesha wachumba na vimada, kujeni pande hizi

    Njoo nikusomeshe
  7. C

    JamiiForums Tanzania Ijue Historia ya Firauni na uongo aliozushiwa

    Hivi imewezekanaje mpaka leo bado ana ngozi kwenye mwili wake? je kuna picha za hao wengine ?
  8. C

    JamiiForums Tanzania Nini kinamliza mwanamke kitandani?

    Kumbe ndiyo hivyo! kwel , mnatuweza! na zile kiss baada ya mwanamke kushusha mzigo! nazo ni maigizo tu?
  9. C

    JamiiForums Tanzania Kanisa la Rumi (Roman Catholic) Lilianzisha Uislam ili kuendelelea kuitawala na kuihadaa Dunia

    Tumia muda wako kuisoma Quran ipo iliyotafasiriwa katika lugha tofauti, kisha ndiyo urudi tena kuendelea na hiyo mada coz hujui chochote kuhusu uislam, na kama uliwahi kusoma basi ungetumia ushahidi wowote kutuonesha kwamba hicho unachokisema ni kweli. Ila nakushauri chukua muda wako na usome...
  10. C

    JamiiForums Tanzania Mjadala: Basi kubwa na pikipiki vikitembea vyote kwa 120km/hr nani atatangulia?

    Basi itawahi kufika, hii ni kutokana na tairi ya Basi kuwa kubwa ukilinganisha na ya pikipiki, hivyo mzunguko wa tairi ya basi unachukua umbali mkubwa ukilinganisha na wa pikipiki.
Back
Top Bottom