Recent content by chambonga

  1. chambonga

    Vitu vipya ndani ya dar es salaam

    punguza mapovu mkuu
  2. chambonga

    Vitu vipya ndani ya dar es salaam

    NAONA JIJI LA DAR ES SALAAM LINAANZA KUBADILIKA KWA KWELI, KUNA MIRADI MIWILI AMBAYO NIMEIONA NIKAONA NIJE NISHARE NANYI WANA JAMII....KUMBUKA HII MIRADI SIYO IKO KWENYE UPEMBUZI BALI IKO ON TRACK! NADHANI IKIKAMILIKA ITALETA MUONEKANO TOFAUTI! KWANI NI MIRADI ILIYO MAKINI NA INAVUTIA, GONGA...
  3. chambonga

    Yanga Yarudi Magazetini

    ongeza na hii mkuu...washabiki wa yanga hawajawahi kuitwa mabaa maid na kocha waok
  4. chambonga

    Je! Ni halali polisi kuwanyima panyaroad dhamana na kukataza wazazi kuwaona?

    ina maana kama hajafika miaka 18 basi ni halali yake kufanya uhalifu? Wapigwe tu
  5. chambonga

    Je! Ni halali polisi kuwanyima panyaroad dhamana na kukataza wazazi kuwaona?

    mkuu watu wanashangaza kweli! Suala la panya road wanaleta siasa! Kwa hili mimi naunga mkono wakae huko huko hata mwaka! Hawa wanachezea maisha ya watu, wanachukua mali za watu kama zao, na wanafanya uhalifu mchana kweupe......halafu anatokea mtu anahalalisha uhalifu wao eti kwa sababu ya...
  6. chambonga

    Linda Smart phone yako,Flat TV,Home theater,na computer visiungue dhidi ya radi au short ya umeme

    Mkuu nitupie bei inbox......hilo suala mimi ni muathirika flat na home theatre vimeondoka, nilifanikiwa kutengeneza h/t lkn tv inahitaji laki saba kwa spare yake nilinunua mwanzo ikaungua tena sasa hivi naiangalia kama pambo
  7. chambonga

    Hujuma Pantoni za Kigamboni

    hapo umenigusa mkuu, mfano kipindi navuka kuja mjini majira ya saa nne asubuh leo nilimsikia yule dada wa matangazo anatangaza kama kuna mtu amesahau begi lake alifuate atalikuta ! Nikajiuliza sana kiusalama inakuwaje hapo? Kama mtu kaweka bomu si atakuwa amefanikiwa? Kiusalama pale ni sifuri...
  8. chambonga

    Cv ya kova tafadhali

    mkuu punguza jazba! au unafahamiana na kova?
  9. chambonga

    Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

    heri nawe mkuu, pamoja sana! muziki wa live una raha yake mkuu, hapa najipanga niweze kufika kwenye show yake ya diamonds are forever
  10. chambonga

    Kamanda kova live ITV anazungumzia panya road

    Hivi ingekuwa wanasiasa wanaandamana angesema jambo dogo! Anapenda sana kuonekana kwenye luninga! Kama mchapa kazi kweli sasa hivi angekuwa eneo la tukio na siyo kuuza sura! Haiwezekani wahuni wa mtaa watawale wakati kuna vyombo vya dola! ​huyu kova ameshindwa kazi!
  11. chambonga

    Kamanda kova live ITV anazungumzia panya road

    huyu ameacha kazi yake ya upolisi amekuwa mwanasiasa! baada ya kudeal na hao washenzi yeye anazunguka kwenye vituo vya televisheni kuuza sura! AMESHINDWA KAZI HUYO KWANI UKIONA MTU ANAONGEA SANA UJUWE AMESHINDWA KAZI
  12. chambonga

    Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

    heri ya mwaka mpya mkuu, nilikutag kwenye post yangu ya onyesho la "diamonds are forever"
  13. chambonga

    Gwajima amtumia salamu CAG Prof Asad kufuatia ombi lake la kujengewa msikiti ofisini

    nilidhani ni andiko lilipo kwenye biblia au q'uruan kumbe ni la binadamu na binadamu mwenyewe mwenye akili za kishetani(chuki) kama gwajima
Back
Top Bottom