Mandingo
JF-Expert Member
- Sep 22, 2011
- 5,531
- 6,593
Suluhisho ni dogo tu!! Ferry ya kuvuka inahitaji kubinafsisha sector hiyo !! Waje wawekezaji kadri ya kukidhi haja ya wasafiri...
yaani wasafiri 1000 kwa pantoni 5 hadi 10 zichuana hapo !! na kila idadi ikiongezeka pantoni ziongezwe !! Ndo tutaendelea, Kwani mteja (msafiri) ni mfalme, Na ni haki yake kusave time yake " time is money "
The Fixer Barasu KATIBUA The Boss
Mkuu hili wazo wakulu hawawezi kukubali labda UKAWA wakiingia magogoni.Pale kuna tiketi fake balaa!Kwa vile majitu yenyewe ya kigamboni ni mazwazwa acha waendelee kupigwa tu siku wakizama pale ndio wata pata akili ya kuandamana hadi mlangoni kwa mkulu ikizingatia pale si umbali mrefu.
Last edited by a moderator: