Recent content by Chambo81

  1. Chambo81

    Masanduku ya kura yadaiwa kukamatwa jimboni Hanang...

    Tunazisubiri taarifa mkuu
  2. Chambo81

    Kipindi Tunamtafakari Dewji, Naomba atujibu Maswali Haya

    Anaonekana anaiogopa sana hasara!
  3. Chambo81

    Kipindi Tunamtafakari Dewji, Naomba atujibu Maswali Haya

    Mi sio shabiki wa mikia ila naomba mikia wawe makini nae huyu mtu wasiingie kichwa kichwa!!
  4. Chambo81

    V.V.U na Upimaji wake (Coincidences)

    Pole sana mkuu Ngorunde kwa kufiwa na ndugu yako!
  5. Chambo81

    Hatimaye Lowassa ashindwa kuhutubia Tunduma

    Siku saba zilizobaki bado unataka hoja juu ya kumchagua lowasa au la!!isitoshe hoja yako imekaa kilevi ndo mana sihitaji kukujibu nikiwa mzima ni kupoteza madini yangu kichwani muda wa hoja umeshapita tunasubiri kupiga kura tu...wewe endelea kujenga hoja sisi tunasubiri kumuapisha lowassa awe...
  6. Chambo81

    Hatimaye Lowassa ashindwa kuhutubia Tunduma

    Bora ingekua nukta ila ni EMPTY!!
  7. Chambo81

    Hatimaye Lowassa ashindwa kuhutubia Tunduma

    Ngoja ifike mida ya jioni kuanzia saa 10 hivi nikishaweka ndovu kadhaa kichwani nitakujibu huo upuuzi uliouleta hapa!!nani kakwambia ili nimpe kura lowasa mpaka nimsikie akihutubia??hivi kwa sasa unaweza kubadilisha maamuzi ya kumpigia kura mtu kwa sababu hujamsikia akihutubia?Lowasa hata...
  8. Chambo81

    Uchaguzi huu tujifunze kupitia kupitia Guinea!

    Bila shaka mavi yamekubana nenda kanye kwanza...lowasa mgonjwa anakufa kesho ila akina filikunjombe wazima wataishi milele!!acha us**£%%ng…€!!
  9. Chambo81

    V.V.U na Upimaji wake (Coincidences)

    Mkuu mtanange huu wa moto kwelikweli nimeufatilia tangu mwanzo naona kila mtu anatoka uwanjani kwa style yake huku wengine ndo wanapiga jalamba..haaaahaaa!!
  10. Chambo81

    V.V.U na Upimaji wake (Coincidences)

    Kazi kweli kweli!!
  11. Chambo81

    Wafanyakazi wa Uchumi Supermarket Dar Wagoma

    Mkuu shaurimbaya hajasema ni wapiganaji ila ni "wapigaji" yaani wazee wa short cut hawalipi ushuru hao wanaendesha biashara kiujanjaujanja hao hawawezi kufilisika mpaka lowassa aingie madarakani ndo atawaweza,huyo magufuli atawanyanyasa wa tz wenzie tu huko mawizarani lakini kwa watu kama hao...
  12. Chambo81

    Lazima mjue kutofautisha

    Oga na ogeshwa
  13. Chambo81

    Lazima mjue kutofautisha

    Kupika na kupakua
  14. Chambo81

    Kuanzia sasa watakaogundulika kuwa na VVU kuanza dawa mara moja

    Haaaaahaa."important thing is to never stop questioning" mpaka kitaeleweka mkuu hapana kupelekwa kama robots hapa!!
Back
Top Bottom