Mzee baba hakuna boss anayetamani kumwona mfanakaz wake anasherekea na mshahara wake , tofauti na hapo ataitwa majna mengi km mwinz n.k! Hakika kuajiriwa bongo ni utumwa
Mm n mhavidhina sana wa vitabu, naomba unitumie mkuu riwaya yoyote uliyonayo ikiwezekana zote km unazo ili nizidi kunenepesha na kuimarisha ubongo Wangu!
Nitumie kupitia nntugwa@gmail.com
Nitashukuru sana bosi
____________
Tangu juzi nimekuwa nikiandika na kufuta. Nimejizuia sana kusema lakini nimeona niseme japo kwa "kifupi" kwa sababu kukaa kimya katikati ya uovu ni kuunga mkono uovu huo. Polisi wameua tena. This time wamemuua binti mdogo asiye na hatia, Aquilina B. Aqueline mwanafunzi wa mwaka wa...
Turudi nyuma kidogo.
Musiba alikuwa wa kwanza kumpinga Lisu kwamba Tanzania Si salama. Baada Ya kushindwa kumshtaki akasahau alichosema, akaja na majina Ya watu hatari. . Tena akielezea hatari yao Tangu miaka kadhaa ilitopita. . . Maana yake ni kwamba, anakubaliana na Lisu kwamba Tz si shwari...
Karibu Mh. Zitto,
Pili pokea salamu zangu maana nimekuwa mlevi wa Sera na aina siasa unazoziendesha!
Tatu, naomba nijikite kwenye hoja thabiti uliyokuja nayo , ni ukweli usiopingika kuwa maji yamekuwa mtego wa masikini hapa nchini kwetu tangu tupate Uhuru na mwarobaini wake haujapatikana...
Doto n mmoja wa wanahabri wachache ninaowakubali sana hapa bongo, ukisikiliza mijadala Yake star TV huwa sitoki mkavu/mtupu! Wanahabri wengine, tuige mfano wa huy jamaa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.