S.M.P2503
Platinum Member
- Nov 25, 2008
- 3,446
- 6,475
Hivi mtu anaweza ku extend visiting visa?au anaweza akabadilisha visiting visa to work visa?
Sahau, Hilo haliwezekani... visitors Visa haiwezi kubadishwa ukiwa UK...
Hivi mtu anaweza ku extend visiting visa?au anaweza akabadilisha visiting visa to work visa?
Ok,je ni njia gani wanayoitumia wanaozamia UK baada ya kuwasili na visiting visa?Sahau, Hilo haliwezekani... visitors Visa haiwezi kubadishwa ukiwa UK...
Ok,je ni njia gani wanayoitumia wanaozamia UK baada ya kuwasili na visiting visa?
Ila kwa waingereza wakija huku wanabadilisha tena kwa kusaidiwa na maafisa Uhamiaji na labour officers wetuSahau, Hilo haliwezekani... visitors Visa haiwezi kubadishwa ukiwa UK...
Bank Statement ya kufoji unaandaaje mkuu?We andaa bank statement iliyoshiba hata ya kufoji...hati ya kiwanja n.k
Duuh!Ofisini wamuandikie barua pale UBALOZINI itaongeza uzito kama ni NGO zile zinazogawa mafuta ya kuchimbana nnya toka huko kwao Ulaya. Waseme wanamtuma akayafate hayo mafuta kiwandani.
Njoo PMBank Statement ya kufoji unaandaaje mkuu?
Nenda pm huwezi kuongelea mambo hayo ya faragha humuBank Statement ya kufoji unaandaaje mkuu?
Do not do it. Ukishikwa utashtakiwa halafu unapigwa ban ndefuuu miaka kadhaa hutakaa ukanyage ardhi ya UKBank Statement ya kufoji unaandaaje mkuu?
HatariOfisini wamuandikie barua pale UBALOZINI itaongeza uzito kama ni NGO zile zinazogawa mafuta ya kuchimbana nnya toka huko kwao Ulaya. Waseme wanamtuma akayafate hayo mafuta kiwandani.
Dah!?Ofisini wamuandikie barua pale UBALOZINI itaongeza uzito kama ni NGO zile zinazogawa mafuta ya kuchimbana nnya toka huko kwao Ulaya. Waseme wanamtuma akayafate hayo mafuta kiwandani.
ni balaaNgumu sana kujua hii.Do not do it. Ukishikwa utashtakiwa halafu unapigwa ban ndefuuu miaka kadhaa hutakaa ukanyage ardhi ya UK